Mke wangu ananikera anataka attention yangu kila saa

Umenikumbsha mbali sana! Syo mke alikuwa tu Dem tu na alikuwa kibonge bakaaa
Yeye kila muda alikuwa ananipigia simu na kutuma sms yaan anaweka dakika zaidi ya 500 au ata buku alafu anatak zote aongee na mm aiseee me niliuza mpaka simu
 
Anachoka sanaa ana kilo 95 za uzito ukienda mara mbili kwa siku atashindwa kufanya kazi zingine nyumbani mwili unapata ngazi
Ni wajibu wako pia kumsimamia apungue chief.. kwa maana uzito mkubwa si mzuri pia kwa afya
 
Ni wajibu wako pia kumsimamia apungue chief.. kwa maana uzito mkubwa si mzuri pia kwa afya
Nime msimamie sanaa apungue ila nikaona ikaanza kuleta ugomvi nakaona Isie shida nikamuacha after all napata kila kitu kwake.
 
Wewe ndiyo mwenye tatizo mkuu.yaani inabidi uombe msaada wa kisaidiwa kujielewa haraka.unajua hivyo ndivyo inavyotakiwa mke awe.mke siku zote anatakiwa kuwa kama mtoto.yaani anakuwa haeleweki hivi.Wanawake wa type yako wako wachache sana hasa hapa Tanzania.Akitokea mtu wa kumpa hiyo attention utarudi humu na kilio kingine mkuu.Mshukuru sana Mungu kukupa mke mwaminifu katika ndoa yake
 
Sawa ila wewe hutaki kuelewa kero yangu, kwani asipo toka nje anasadia mimi au inasaidie yeye athubutu tu nimgundue, ata watoto namuachia naanza upya tena sinaga huruma na ujinga huo.
 
Umenikumbsha mbali sana! Syo mke alikuwa tu Dem tu na alikuwa kibonge bakaaa
Yeye kila muda alikuwa ananipigia simu na kutuma sms yaan anaweka dakika zaidi ya 500 au ata buku alafu anatak zote aongee na mm aiseee me niliuza mpaka simu
Huo ulikua usumbufu sasa...pole sana
 
Kazi za kufanya nizitoe wapi zaidi ya kupika na kupakua ana dip ila hataki kwaajiriwa anasema ameridhika kuka home
Hapa ndipo tatizo lilipoanzia, angekuwa busy na kazi asingepata muda wa kukuganda Kama unavosema, jaribu kumtafutia kazi ama shughuli ya kufanya ili imkeep busy at least atapunguza kukuganda
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwenye ndoa Kuna Mambo! Et unagonga mlango Kama kichaa. Kaka pole, Ila huyo dada Kama unasema Hana kazi, trust me mtafutie kazi akirudi home amechoka hatokusumbua tena
 
Anakulinda sababu amegundua kuwa wewe ni kicheche
 
Hutaki au
 
You have said it all [emoji95]
 
Hapa ndipo tatizo lilipoanzia, angekuwa busy na kazi asingepata muda wa kukuganda Kama unavosema, jaribu kumtafutia kazi ama shughuli ya kufanya ili imkeep busy at least atapunguza kukuganda
Kweli mkuu ila mke wangu ni mvivu sijui kwasabb ya mwili au ndo jinsi alivo zaliwa,......nyumbani kuna cherehani ila hakitumii wakati ana ujuzi wa ufundi
 
Hizo ndo really character of good woman my bro mpe nawe attention ya kutosha coz people suffer to much uko outside
 
Hizo ndo really character of good woman my bro mpe nawe attention ya kutosha coz people suffer to much uko outside
Attention nilisha na nampa ya kutosha ila anahitaji zaidi na zaidi, kwani unataka nisifanye kazi au kupanga ya kesho tutakula nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…