Mke wangu ananikera anataka attention yangu kila saa

Hapana ana nikera sanaa kama a anapenda atafute fashioni nyingine yakunipenda sio kua mateka wake,.......
Umekuja kuomba ushauri hapa au umekuja kufanya nini? Sasa umeanzisha uzi wa nini? Kumsema tu mkeo ama?

Ulishawahi kuongea naye na kumuomba akupe privacy yako? Alisemaje? Na kama alikataa ulichukua hatua gani kama mwanaume?

Nimeanza kuhisi pengine tatizo ni wewe na siyo mkeo!
 
Hongera mkuu kwa ushauri mwanana kwa mwamba. Haya ndo mambo tunayoyategemea humu. Safi Sana.
 
Nilimuoa na 105kg nikapambana nikaishia kwenye 95kg ni mvivu wa mazoezi, na anapenda kula vuzuri tu nakaona isiwe shida nikamuacha hivo.
ungemkomalia ...Siku akipata magonjwa kama kisukari na BP itakuwa shda kwenye gharama za matibabu na inaamika nchini japan na china kuwa"

Kadri mtu anavyokuwa na uzito mkubwa ndivyo anapunguza life span yake....au unataka kuwa mgane mkuu....

mpigishe tizi walau awe na 80KG

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
mkuu embu jaribu kuishi naye kwa akili.. hata vitabu vya dini vilisema tuishi nao kwa akili.. usijaribu kushindana nao au kujaribu kutumia nguvu nyingi. tumia akili za kiume na ujanja
 
Yaani naongea nae hata leo asubh kabla ya uuzi hu, ila anatoka tu kwa masaa sio kwa siku anarudi vile vile,.. simu nilisha mkataza kama hamna issue usipige akiacha sanaa nikama massa matano baada ya hapo atakubipu tu, unampigia unamuuliza nini, atakuambia simu imejipiga yenyewe loh, ule ni udhaifu sio mahabah
 
Baba, mie nimeshindwa paka tulipata ugomvi akasema namisimaga kwa kula vzri kwangu, siko tayari kuanzisha vita nyingine mda ukifika kila mtu atabeba msalaba wake.
 
Mkuu if you only knew..... if you only knew akili zetu wanawake zilivyo.....ungemuenzi mke wako na ukaishi nae na mapungufu hayo.

We are very conniving... we are smarter than you think. Na asingekuwa anataka attention angekuwa anacheat bila shaka 100 kwa 100 kubali kataa.

Hatuwezi kubali hiyo attention kama tunacheat. Subutu, ili tustukiwe love bites mwilini, Ili tustukiwe tuna harufu tofauti.

Mkuu unatujua au unatuskiaa?
 
Hapana ana nikera sanaa kama a anapenda atafute fashioni nyingine yakunipenda sio kua mateka wake,.......
kwa hiyo unataka kuweka term and conditions za kupendwa. Yaani unampangia mtu njia za kukuonesha upendo, sio fair

naelewa upendo kila mtu anaupenda ila attachment huwa ni tatizo ila si kwa kiwango ulichofikia. Inachoonekana huyo mwanamke anakupenda kuliko unavyompenda maana toka mwanzo wa post hadi mwisho sijaona sehemu yoyote uliyoonesha affection kwake

Usimuone fala au mjinga na usidhani kila unapompa negative reaction haumii. Anaumia sana ila since anakupenda anamezea na kukuoneshea tabasamu bila hata kukuropokea chochote..siku ukiyaona mabadiliko unayoyatamani bhasi ndio ufa kwenye ndoa yenu umeanza

all the best
 
So how much should I sacrifice for my freedom again its too much, i need meditation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…