Mke wangu ananilazimisha nimuombe msamaha mbele ya Kanisa

wanawake kama hao ndio wanatakiwa sasa,unahofia kudhalilishwa,wewe ulivyokua unachepuka hukua unamdhalilisha mkeo?
 
Mbona mnashidwa mtetea mwanamke mwenzenu?[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mke wako mjinga sana yani anafikiri akifanya hivyo aibu itakuwa upande wako tu, vipi kuhusu watoto au yeye mwenyewe? Mkuu nakazia tu usiombe msahama wa staili hiyo.
 
Kwani mlivyo hitilafiana mlikuwa kwenye huo umma wa kanisa mkuu
Kuwa mwanaume sio mvulana
 
Kwani hilo kosa/dhambi uliifanya kanisani mpaka ukaombee msamaha huko?
 
Kanisani unaenda kutubu kwa Mungu tu.mambo ya mke n.a. mme yanaishia chumbani.
Unless Iwe imeletwa n.a. nabii kwa njia ya ufunuo
Haya mengine ni ya kwake
 
M

Mkewe atakuwa akina Atuganile Mwakifulefule,,,unamkosea dada msamaha unaomba ukoo mzima [emoji23][emoji23][emoji23] pambana na hali yako.
Hahha afu itabidi tu uoe mnyaki; unatukubali sana kimoyomoyo
 
Nenda tu mzee baba Mbona Nape katubu na kadhalilishwa na mambo yanaenda?Just kidding kaka baki na msimamo wako!
 
Nenda nae kanisani,
Muombe msamaha na yote anayotaka uyafanye,
Hii itafanya upime ujinga wa mkeo,ujinga wa viongozi wa kanisa,
Halafu ukisha Fanya anayotaka tangaza hapo hapo kuachana nae mbele ya hao hao anaotaka waone unavyomuomba msamaha
Safi mwanamke gani huyo
 
Kwani akimuomba mkewe msamaha wakiwa ndani kuna ubaya gani?
Msamaha unatolewa kwa masharti hili la wakristo wa wapi??
Kwa hiyo anataka watu wote wajue mumewe ni mkosaji ili iweje??
 
Usifanye huo upuuzi bana!!

Tena ikiwezekana mwambie aondoke kwako akatufute mwanaume mwingine!
Shwaini sana huyo!
 
Nenda nae kanisani,
Muombe msamaha na yote anayotaka uyafanye,
Hii itafanya upime ujinga wa mkeo,ujinga wa viongozi wa kanisa,
Halafu ukisha Fanya anayotaka tangaza hapo hapo kuachana nae mbele ya hao hao anaotaka waone unavyomuomba msamaha
Safi sana ampige chini na yy mbele ya kanisa
 
Pole mkuu
 
Kwani akimuomba mkewe msamaha wakiwa ndani kuna ubaya gani?
Msamaha unatolewa kwa masharti hili la wakristo wa wapi??
Kwa hiyo anataka watu wote wajue mumewe ni mkosaji ili iweje??
Kama hawezi masharti si aache, inawezekana mke hataki kumsamehe ndio maana kampa conditions asizoweza kufanya[emoji1][emoji1]
Binafsi mimi sioni cha ajabu kuomba msamaha kama nimekosa kwelikweli, tena ntatumia hiyo nafasi kuonekana mimi ndio mshindi (kama alilenga kunidhalilisha aibu itamrudia yeye)[emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…