Mke wangu ananilazimisha nimuombe msamaha mbele ya Kanisa

kama unajitaji huo msamaha fuata tu masharti lazima kuna sababu mpaka akakwambia uende kanisani , yumkini ulitenda kosa hilo mkiwa kanisani au katika mazingira ya kanisani hivyo anataka na yeye ajisafishe,kubali yaishe urejeshe amani uokoe ndoa huko nje kuna mbwa mwitu wakali utakuja mkumbuka mke wa ujana wako na itakuwa too late.
 
Kumdhalilisha binadamu kwa kupiga magoti iwe ni mke au mwenye nchi kwa wabunge ni kufuru ambayo majibu kila aliyehussika itamtesa. We kneel before GOD only , not to every mortal soul.
 
Umemkosea nini?.
 
Hujalikosea Kanisa, na wala hukumkosea mbele ya Kanisa. Sorry mkuu kusema hili, huyo mke wako ni mpumbavu.
 
Naona unamsemea MEMBE
 
Muda mwingine kuomba msamaha ni dalili za ushemale mie siwezi hata Trump aniwekee magobole yake kichwani mwangu
 
Hakuna kosa lolote linalostahili msamaha wa namna hiyo mkuu.
Huyo mwanamke anaona unamuogopa sana ndio maana anaomba ujinga kama huo na pia hana akili.
Anataka akudhalilishe.
 
Usikubali kufanya hivyo mkuu. Kupiga magoti?
 
I would NOT.

Tena ningemuonyesha visa aniombe mwenyewe msamaha kanisani na video na akodi na bendi *****.
 
Kama huo ndio msimamo wako sisi umetushirikisha ili?
 
Kwani mwana umefanya kosa gani? pengine mwanamke yuko sahihi kulingana na uzito wa kosa. Hivyo basi mshaurini namna nzuri na mbadala wa kuomba msamaha tofauti na kwenda kunyoosha mkono kupiga mke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…