Mke wangu ananinyima unyumba, haniheshimu na anatoa siri zetu za ndani kwa nduguze

Hapana hakuwa bikra
 
Namimi ni muhanga wa hiki kitu
 
Chukua maamuzi magumu kisha uje kutuomba ushauri hapa
 
Hatukakaa kwenye Uchumba. Nilifahamiana nae kwa muda wa wiki Moja nikaoa. Maana nilienda kuoa Kikabila huko kijijini kwetu. Hata kukutana nae tulikutanishwa na Wakubwa wetu.
Tatizo lilianzia hapa.
 
Hatukakaa kwenye Uchumba. Nilifahamiana nae kwa muda wa wiki Moja nikaoa. Maana nilienda kuoa Kikabila huko kijijini kwetu. Hata kukutana nae tulikutanishwa na Wakubwa wetu.
Kwisha habari yako...

Yaani karne hii bado unataftiwa mke?

Ebu acha utani rudisha mke wa watu na ukatafte wako

Huyo hakupendi na hatokaa akupende...umelala yooooo
 
Hatukakaa kwenye Uchumba. Nilifahamiana nae kwa muda wa wiki Moja nikaoa. Maana nilienda kuoa Kikabila huko kijijini kwetu. Hata kukutana nae tulikutanishwa na Wakubwa wetu.
Hapa ndo tatizo lilipoanzia .ulioaje kabla hujajua kama utaweza kuishi nae
 
Wewe unajuaje kuwa anawasiliana na Nduguze na Mamake na kuwaambia kuwa umeacha pesa ndogo nyumbani?

Ila Binti dizaini anakudharau na hana hisia na wewe. Uwezekano kuwa unato*mb*ewa ni mkubwa pia.

Pole!
 
Wanawake wengi sana muache....toa mahali kwingine oa

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
tafuta mtaalamu wa nyota aangalie nyota yako na yake au Google jinsi ya jumla limbwata au kamroge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…