- Thread starter
- #21
Asante kwa Ushauri.Kuna kila dalili umemuoa mtu usiyemfahamu...
Kwa kuwa hamna watoto, piga chini huyo mke wa jinn mahaba...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa Ushauri.Kuna kila dalili umemuoa mtu usiyemfahamu...
Kwa kuwa hamna watoto, piga chini huyo mke wa jinn mahaba...
Aisee niliwaamini Sana watu wa huko kwetu.Pole mkuu umemjua wiki moja unalipa mahari unaweka ndani
Hapana hakuwa bikramkuu karne hii unatafutiwa mke wakuoaa alihali mzigo ndio unakaa nao ndani ama kweli umebeshwa gunia la misumari alihali una upara.
Pole sana wajulishe hao waliokutafutia huyo mke wajue hali unayopitia ....ila mwanamke kama unamsugua vyema mbususu hawezi kukunyima kamwe labda pengine hana hisia na wewe"
Je ulimkuta bikra?
Pesa ya kula ipo inatosha. Leo samaki kesho nyama. Maziwa matunda yapo. Ila bado Sina gari Wala nyumba. Naendelea kutafuta.Kuna mengi maybe una pesa so alifata pesa maisha mazur hvo au family ilimforce sababu kama hzo
Namrudisha kwao kabisa. Kungwi na Somo wake watamkuta kwa mama ake.mrudishe kwa Somo wake.
Namimi ni muhanga wa hiki kituwasalamu wakuu.
Ni hivi huyu binti kanichosha.
tukiwa kitandani usiku ana vitimbi sio poa. Nikimgusa au kumtomasa ananitolea kauli za Ajabu mara utasikia wewe hebu niache mara mambo gani hayo mi sitaki. Wakati mwingine nikimshika anaukamata Mkono wangu na kuurusha kutoka kwenye mwili. Nambembeleza Sana lakini Lakin wapi naumbulia Mzungu wa Nne. !! imefika muda namwambia your not romantic hata kidogo eti kunipa Utamu mpaka ajisikie mwenyewe ndo utasikia haya leo tufanye sasa.
Juzi nilimtumia meseji nzuri ya Mahaba jinsi ninavyoikubali K yake huku nikimuelekeza jinsi ya Kufinyia kwa ndani binti akanijibu "Hivi wewe ni mjinga umechanganyikiwa" aisee nilichoka kabisa. Hapa nilipo Sina hamu tena.
Huyo binti ni Mke Wangu nilie-mtolea mahari. Kwa lugha nyepesi ananinyima unyumba au kunipangia siku za kunipa.
Nafikiria kumrudisha kwao maana hata kuzaa aliniambia atazaa baada ya Miaka miwili eti hawezi kuingia kwenye Ndoa na kukimbilia kuzaa.
Pia heshima yake kwangu ni ndogo Sana. Anapenda kunibishia ndani ya nyumba hatusikilizani. Muda mwingi yupo busy anachat na Mama ake na Ndugu zake wengine. Anapenda kutoa Siri za ndani kwetu yaani nikikwama kidogo tayari kashamwambia mama ake au dada ake "Hela yenyewe hamna leo kaniachia 2000" [emoji24][emoji24]
Kabla sijachukua maamuzi magumu tafadhali naomba mnishauri vipi Kuna mke kweli hapa. Au napoteza muda.
Chukua maamuzi magumu kisha uje kutuomba ushauri hapawasalamu wakuu.

Toa ramani[emoji56]Labda nikueleze kwao ukamtafute
Angekuwa na wakubwa wala asingehangaika kupost humu
Tatizo lilianzia hapa.Hatukakaa kwenye Uchumba. Nilifahamiana nae kwa muda wa wiki Moja nikaoa. Maana nilienda kuoa Kikabila huko kijijini kwetu. Hata kukutana nae tulikutanishwa na Wakubwa wetu.
Kwisha habari yako...Hatukakaa kwenye Uchumba. Nilifahamiana nae kwa muda wa wiki Moja nikaoa. Maana nilienda kuoa Kikabila huko kijijini kwetu. Hata kukutana nae tulikutanishwa na Wakubwa wetu.
Hapa ndo tatizo lilipoanzia .ulioaje kabla hujajua kama utaweza kuishi naeHatukakaa kwenye Uchumba. Nilifahamiana nae kwa muda wa wiki Moja nikaoa. Maana nilienda kuoa Kikabila huko kijijini kwetu. Hata kukutana nae tulikutanishwa na Wakubwa wetu.
Wanawake wengi sana muache....toa mahali kwingine oawasalamu wakuu.