Mke wangu ananinyima unyumba, haniheshimu na anatoa siri zetu za ndani kwa nduguze

Tafuta Binti mwingine akupunguzie stress hafu jiafanye huna time nae hata ukija home huombi mechi atajikuta anakulaumu hafu na wewe utamwambia makosa yake
 
mimi wangu nilimpata kwa njia kama yako, na kwa yanayo kupata nikama yakwangu tu, yani ni tabu nanimeshindwa nafikili kumpa uhuru wake tu mana ni balaa

Sent from my SM-S920L using JamiiForums mobile app
 
Hatukakaa kwenye Uchumba. Nilifahamiana nae kwa muda wa wiki Moja nikaoa. Maana nilienda kuoa Kikabila huko kijijini kwetu. Hata kukutana nae tulikutanishwa na Wakubwa wetu.
Kosa lilianzia hapo huyo alikuwa ni WA part time tu. Mke wa kuoa anachunguzwa sana Mimi tulikuwa uchumba miaka 3. Huyo siyo mke wa kuishi naye. Watu wazima wamenielewa
 
Hatukakaa kwenye Uchumba. Nilifahamiana nae kwa muda wa wiki Moja nikaoa. Maana nilienda kuoa Kikabila huko kijijini kwetu. Hata kukutana nae tulikutanishwa na Wakubwa wetu.
Tatizo lilianzia hapa
 
Hatukakaa kwenye Uchumba. Nilifahamiana nae kwa muda wa wiki Moja nikaoa. Maana nilienda kuoa Kikabila huko kijijini kwetu. Hata kukutana nae tulikutanishwa na Wakubwa wetu.
Mkuu kila action ina consequences zake
Sasa hayo unayokutana nayo sasa ni matokeo ya action zako mwenyewe. Unaweza vipi kuoa mtu ambae humjui kabisa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…