Mke wangu ananinyima unyumba, haniheshimu na anatoa siri zetu za ndani kwa nduguze

wasalamu wakuu.
Ni hivi huyu binti kanichosha.
tukiwa kitandani usiku ana vitimbi sio poa. Nikimgusa au kumtomasa ananitolea kauli za Ajabu mara utasikia wewe hebu niache mara mambo gani hayo mi sitaki. Wakati mwingine nikimshika anaukamata Mkono wangu na kuurusha kutoka kwenye mwili. Nambembeleza Sana lakini Lakin wapi naumbulia Mzungu wa Nne. !! imefika muda namwambia your not romantic hata kidogo eti kunipa Utamu mpaka ajisikie mwenyewe ndo utasikia haya leo tufanye sasa.
Juzi nilimtumia meseji nzuri ya Mahaba jinsi ninavyoikubali K yake huku nikimuelekeza jinsi ya Kufinyia kwa ndani binti akanijibu "Hivi wewe ni mjinga umechanganyikiwa" aisee nilichoka kabisa. Hapa nilipo Sina hamu tena.
Huyo binti ni Mke Wangu nilie-mtolea mahari. Kwa lugha nyepesi ananinyima unyumba au kunipangia siku za kunipa.
Nafikiria kumrudisha kwao maana hata kuzaa aliniambia atazaa baada ya Miaka miwili eti hawezi kuingia kwenye Ndoa na kukimbilia kuzaa.
Pia heshima yake kwangu ni ndogo Sana. Anapenda kunibishia ndani ya nyumba hatusikilizani. Muda mwingi yupo busy anachat na Mama ake na Ndugu zake wengine. Anapenda kutoa Siri za ndani kwetu yaani nikikwama kidogo tayari kashamwambia mama ake au dada ake "Hela yenyewe hamna leo kaniachia 2000" 😭😭

Kabla sijachukua maamuzi magumu tafadhali naomba mnishauri vipi Kuna mke kweli hapa. Au napoteza muda.
Tafuta Binti mwingine akupunguzie stress hafu jiafanye huna time nae hata ukija home huombi mechi atajikuta anakulaumu hafu na wewe utamwambia makosa yake
 
wasalamu wakuu.
Ni hivi huyu binti kanichosha.
tukiwa kitandani usiku ana vitimbi sio poa. Nikimgusa au kumtomasa ananitolea kauli za Ajabu mara utasikia wewe hebu niache mara mambo gani hayo mi sitaki. Wakati mwingine nikimshika anaukamata Mkono wangu na kuurusha kutoka kwenye mwili. Nambembeleza Sana lakini Lakin wapi naumbulia Mzungu wa Nne. !! imefika muda namwambia your not romantic hata kidogo eti kunipa Utamu mpaka ajisikie mwenyewe ndo utasikia haya leo tufanye sasa.
Juzi nilimtumia meseji nzuri ya Mahaba jinsi ninavyoikubali K yake huku nikimuelekeza jinsi ya Kufinyia kwa ndani binti akanijibu "Hivi wewe ni mjinga umechanganyikiwa" aisee nilichoka kabisa. Hapa nilipo Sina hamu tena.
Huyo binti ni Mke Wangu nilie-mtolea mahari. Kwa lugha nyepesi ananinyima unyumba au kunipangia siku za kunipa.
Nafikiria kumrudisha kwao maana hata kuzaa aliniambia atazaa baada ya Miaka miwili eti hawezi kuingia kwenye Ndoa na kukimbilia kuzaa.
Pia heshima yake kwangu ni ndogo Sana. Anapenda kunibishia ndani ya nyumba hatusikilizani. Muda mwingi yupo busy anachat na Mama ake na Ndugu zake wengine. Anapenda kutoa Siri za ndani kwetu yaani nikikwama kidogo tayari kashamwambia mama ake au dada ake "Hela yenyewe hamna leo kaniachia 2000" [emoji24][emoji24]

Kabla sijachukua maamuzi magumu tafadhali naomba mnishauri vipi Kuna mke kweli hapa. Au napoteza muda.
mimi wangu nilimpata kwa njia kama yako, na kwa yanayo kupata nikama yakwangu tu, yani ni tabu nanimeshindwa nafikili kumpa uhuru wake tu mana ni balaa

Sent from my SM-S920L using JamiiForums mobile app
 
Hatukakaa kwenye Uchumba. Nilifahamiana nae kwa muda wa wiki Moja nikaoa. Maana nilienda kuoa Kikabila huko kijijini kwetu. Hata kukutana nae tulikutanishwa na Wakubwa wetu.
Kosa lilianzia hapo huyo alikuwa ni WA part time tu. Mke wa kuoa anachunguzwa sana Mimi tulikuwa uchumba miaka 3. Huyo siyo mke wa kuishi naye. Watu wazima wamenielewa
 
Hatukakaa kwenye Uchumba. Nilifahamiana nae kwa muda wa wiki Moja nikaoa. Maana nilienda kuoa Kikabila huko kijijini kwetu. Hata kukutana nae tulikutanishwa na Wakubwa wetu.
Mkuu kila action ina consequences zake
Sasa hayo unayokutana nayo sasa ni matokeo ya action zako mwenyewe. Unaweza vipi kuoa mtu ambae humjui kabisa??
 
Back
Top Bottom