Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,784
- 13,642
Kwani nyakanga anasemaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta Binti mwingine akupunguzie stress hafu jiafanye huna time nae hata ukija home huombi mechi atajikuta anakulaumu hafu na wewe utamwambia makosa yakewasalamu wakuu.
Ni hivi huyu binti kanichosha.
tukiwa kitandani usiku ana vitimbi sio poa. Nikimgusa au kumtomasa ananitolea kauli za Ajabu mara utasikia wewe hebu niache mara mambo gani hayo mi sitaki. Wakati mwingine nikimshika anaukamata Mkono wangu na kuurusha kutoka kwenye mwili. Nambembeleza Sana lakini Lakin wapi naumbulia Mzungu wa Nne. !! imefika muda namwambia your not romantic hata kidogo eti kunipa Utamu mpaka ajisikie mwenyewe ndo utasikia haya leo tufanye sasa.
Juzi nilimtumia meseji nzuri ya Mahaba jinsi ninavyoikubali K yake huku nikimuelekeza jinsi ya Kufinyia kwa ndani binti akanijibu "Hivi wewe ni mjinga umechanganyikiwa" aisee nilichoka kabisa. Hapa nilipo Sina hamu tena.
Huyo binti ni Mke Wangu nilie-mtolea mahari. Kwa lugha nyepesi ananinyima unyumba au kunipangia siku za kunipa.
Nafikiria kumrudisha kwao maana hata kuzaa aliniambia atazaa baada ya Miaka miwili eti hawezi kuingia kwenye Ndoa na kukimbilia kuzaa.
Pia heshima yake kwangu ni ndogo Sana. Anapenda kunibishia ndani ya nyumba hatusikilizani. Muda mwingi yupo busy anachat na Mama ake na Ndugu zake wengine. Anapenda kutoa Siri za ndani kwetu yaani nikikwama kidogo tayari kashamwambia mama ake au dada ake "Hela yenyewe hamna leo kaniachia 2000" 😭😭
Kabla sijachukua maamuzi magumu tafadhali naomba mnishauri vipi Kuna mke kweli hapa. Au napoteza muda.
Tatizo linaanzia hapa.Hatukakaa kwenye Uchumba. Nilifahamiana nae kwa muda wa wiki Moja nikaoa. Maana nilienda kuoa Kikabila huko kijijini kwetu. Hata kukutana nae tulikutanishwa na Wakubwa wetu.
Tatizo lilianzia hapa.Hatukakaa kwenye Uchumba. Nilifahamiana nae kwa muda wa wiki Moja nikaoa. Maana nilienda kuoa Kikabila huko kijijini kwetu. Hata kukutana nae tulikutanishwa na Wakubwa wetu.
mimi wangu nilimpata kwa njia kama yako, na kwa yanayo kupata nikama yakwangu tu, yani ni tabu nanimeshindwa nafikili kumpa uhuru wake tu mana ni balaawasalamu wakuu.
Ni hivi huyu binti kanichosha.
tukiwa kitandani usiku ana vitimbi sio poa. Nikimgusa au kumtomasa ananitolea kauli za Ajabu mara utasikia wewe hebu niache mara mambo gani hayo mi sitaki. Wakati mwingine nikimshika anaukamata Mkono wangu na kuurusha kutoka kwenye mwili. Nambembeleza Sana lakini Lakin wapi naumbulia Mzungu wa Nne. !! imefika muda namwambia your not romantic hata kidogo eti kunipa Utamu mpaka ajisikie mwenyewe ndo utasikia haya leo tufanye sasa.
Juzi nilimtumia meseji nzuri ya Mahaba jinsi ninavyoikubali K yake huku nikimuelekeza jinsi ya Kufinyia kwa ndani binti akanijibu "Hivi wewe ni mjinga umechanganyikiwa" aisee nilichoka kabisa. Hapa nilipo Sina hamu tena.
Huyo binti ni Mke Wangu nilie-mtolea mahari. Kwa lugha nyepesi ananinyima unyumba au kunipangia siku za kunipa.
Nafikiria kumrudisha kwao maana hata kuzaa aliniambia atazaa baada ya Miaka miwili eti hawezi kuingia kwenye Ndoa na kukimbilia kuzaa.
Pia heshima yake kwangu ni ndogo Sana. Anapenda kunibishia ndani ya nyumba hatusikilizani. Muda mwingi yupo busy anachat na Mama ake na Ndugu zake wengine. Anapenda kutoa Siri za ndani kwetu yaani nikikwama kidogo tayari kashamwambia mama ake au dada ake "Hela yenyewe hamna leo kaniachia 2000" [emoji24][emoji24]
Kabla sijachukua maamuzi magumu tafadhali naomba mnishauri vipi Kuna mke kweli hapa. Au napoteza muda.
Kosa lilianzia hapo huyo alikuwa ni WA part time tu. Mke wa kuoa anachunguzwa sana Mimi tulikuwa uchumba miaka 3. Huyo siyo mke wa kuishi naye. Watu wazima wamenielewaHatukakaa kwenye Uchumba. Nilifahamiana nae kwa muda wa wiki Moja nikaoa. Maana nilienda kuoa Kikabila huko kijijini kwetu. Hata kukutana nae tulikutanishwa na Wakubwa wetu.
Tatizo lilianzia hapaHatukakaa kwenye Uchumba. Nilifahamiana nae kwa muda wa wiki Moja nikaoa. Maana nilienda kuoa Kikabila huko kijijini kwetu. Hata kukutana nae tulikutanishwa na Wakubwa wetu.
Nimeshamrudisha kwao. Namsubiri kurudishiwa ng'ombe wangu na mbuzi basi.Tatizo lilianzia hapa
Tatizo lilianzia hapa.Hatukakaa kwenye Uchumba. Nilifahamiana nae kwa muda wa wiki Moja nikaoa. Maana nilienda kuoa Kikabila huko kijijini kwetu. Hata kukutana nae tulikutanishwa na Wakubwa wetu.
Si umesema mlikutanishwa tu na wakubwa, angewezaje kuwapinga wakubwaDaah sasa alikubali vipi kuolewa na Mimi.
Pesa wapi na anaacha buku mbiliKuna mengi maybe una pesa so alifata pesa maisha mazur hvo au family ilimforce sababu kama hzo
Yah, hata mm nimewahi kuwa nae alikua na tabia hizo hizo mpka nikamuachaHana hisia na wewe so hakupendi thus why inakuwa hvoo..ova!
😳😳Yah, hata mm nimewahi kuwa nae alikua na tabia hizo hizo mpka nikamuacha
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Asante Sana nduguMkuu Happ hamna hisia na wewe achana nae, hujapangiwa kuwa nae
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mkuu kila action ina consequences zakeHatukakaa kwenye Uchumba. Nilifahamiana nae kwa muda wa wiki Moja nikaoa. Maana nilienda kuoa Kikabila huko kijijini kwetu. Hata kukutana nae tulikutanishwa na Wakubwa wetu.