holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 1,859
- 2,986
Wakuu,
Nilioa na nina miaka 7 kwenye ndoa, na tumejaliwa kupata watoto wawili.
Mke wangu alibadilika kila nikimuomba unyumba ananiambia hataki, nimetumia njia nyingi kumshawishi akubali lakini anasema anaumwa, mara amechoka yani visingizio ni vingi ili mradi tu asifanye na mimi tendo la ndoa.
Hali hii ilinitesa sana siku za mwanzo lakini baada ya kuanza kuchepuka nikawa naona kawaida, lakini kila nikimuomba hadi wa leo hakubali.
Hakuna mgogoro au shida yeyote iliyosababisha mke wangu aache kunipa unyumba, ila ndiyo hivyo.
Wazazi wangu, viongozi wa serikali na wa kidini wameshauri mno ila hali iko palepale.
Nifanye nini wakuu, je niachane nae, nikaripoti katika dawati la jinsia kuwa nafanyiwa ukatili au nifanyaje?
Nasoma comments.