Mke wangu ananinyima unyumba, ni mwaka wa 2 sasa nifanyaje?

Wakuu,
Nilioa na nina miaka 7 kwenye ndoa, na tumejaliwa kupata watoto wawili.

Mke wangu alibadilika kila nikimuomba unyumba ananiambia hataki, nimetumia njia nyingi kumshawishi akubali lakini anasema anaumwa, mara amechoka yani visingizio ni vingi ili mradi tu asifanye na mimi tendo la ndoa.

Hali hii ilinitesa sana siku za mwanzo lakini baada ya kuanza kuchepuka nikawa naona kawaida, lakini kila nikimuomba hadi wa leo hakubali.

Hakuna mgogoro au shida yeyote iliyosababisha mke wangu aache kunipa unyumba, ila ndiyo hivyo.

Wazazi wangu, viongozi wa serikali na wa kidini wameshauri mno ila hali iko palepale.

Nifanye nini wakuu, je niachane nae, nikaripoti katika dawati la jinsia kuwa nafanyiwa ukatili au nifanyaje?

Nasoma comments.
Ni vigumu kutoa ushauri bila kusikiliza upande wa pili, I.e ku balance story, ili kujua chanzo cha huo mgogoro
 
Attachments

  • 17417168260570.mp4
    1.7 MB
Mwambie aachane na hizo family planning, zinakata sana stimu kwa wanawake
 
Wakuu,
Nilioa na nina miaka 7 kwenye ndoa, na tumejaliwa kupata watoto wawili.

Mke wangu alibadilika kila nikimuomba unyumba ananiambia hataki, nimetumia njia nyingi kumshawishi akubali lakini anasema anaumwa, mara amechoka yani visingizio ni vingi ili mradi tu asifanye na mimi tendo la ndoa.

Hali hii ilinitesa sana siku za mwanzo lakini baada ya kuanza kuchepuka nikawa naona kawaida, lakini kila nikimuomba hadi wa leo hakubali.

Hakuna mgogoro au shida yeyote iliyosababisha mke wangu aache kunipa unyumba, ila ndiyo hivyo.

Wazazi wangu, viongozi wa serikali na wa kidini wameshauri mno ila hali iko palepale.

Nifanye nini wakuu, je niachane nae, nikaripoti katika dawati la jinsia kuwa nafanyiwa ukatili au nifanyaje?

Nasoma comments.
Hii ngonjera tupu.

Lambda kama uko single ndio utaielewa.
 
Pole sana. Nadhani kuna tatizo analo anaogopa kukushirikisha.kama si hivyo basi amevamiwa na jini mahaba.hilo sasa ni suala la koroho kabisa.Inawezekana akikushirikisha tatizo lake ndoa inaweza kufia hapo
 
Wakuu,
Nilioa na nina miaka 7 kwenye ndoa, na tumejaliwa kupata watoto wawili.

Mke wangu alibadilika kila nikimuomba unyumba ananiambia hataki, nimetumia njia nyingi kumshawishi akubali lakini anasema anaumwa, mara amechoka yani visingizio ni vingi ili mradi tu asifanye na mimi tendo la ndoa.

Hali hii ilinitesa sana siku za mwanzo lakini baada ya kuanza kuchepuka nikawa naona kawaida, lakini kila nikimuomba hadi wa leo hakubali.

Hakuna mgogoro au shida yeyote iliyosababisha mke wangu aache kunipa unyumba, ila ndiyo hivyo.

Wazazi wangu, viongozi wa serikali na wa kidini wameshauri mno ila hali iko palepale.

Nifanye nini wakuu, je niachane nae, nikaripoti katika dawati la jinsia kuwa nafanyiwa ukatili au nifanyaje?

Nasoma comments.
Wanawake wengine? wamefwariki
 
Back
Top Bottom