The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
1.Mwambie atoe vizibiti mimba.Wakuu
Nilioa na nina miaka 7kwenye ndoa, na tumejaliwa kupata watoto wawili.
Mke wangu alibadilika kila nikimuomba unyumba ananiambia hataki, nimetumia njia nyingi kumshawishi akubali lakini anasema anaumwa,mala amechoka yani visingizio ni vingi ili mradi tu asifanye na mimi tendo la ndoa.
Hali hii ilinitesa sana siku za mwanzo lakini baada ya kuanza kuchepuka nikawa naona kawaida,lakini kila nikimuomba hadi wa leo hakubali
Hakuna mgogoro au shida yeyote iliyosababisha mke wangu aache kunipa unyumba,ila ndiyo hivyo.
Wazazi wangu,viongozi wa serikali na wa kidini wameshauri mno ila hali iko palepale,
Nifanye nini wakuu, je niachane nae,nikaripoti katika dawati la jinsia kuwa nafanyiwa ukatili au nifanyaje?
Nasoma comments.
2. Tafuta hela. Atakupa usiku na mchana