Mke wangu ananinyima unyumba, ni mwaka wa 2 sasa nifanyaje?

Unafukua mkuu
 
Mnyime na wewe.

Bora uendelee kunyimwa siku zote. Kwa akili unategemea atakupa, hujitambui
 
Shida ni kwamba wewe mwenye umekosa maamuzi,, huyo Kuna muhuni anapiga sasa kwako anaona michosho chakufanya tafuta manzi mwingine hrf hamia huko huko hapo unakuwa unatoa huduma za msingi tuuu ili watoto wasiteteleke, hakikisha unapotea kwenye macho yake wala usitumie nguvu nyingi potea uwe unatoa matumizi tuuuu na kujipangia siku maalum kwaajir ya kuwaona watoto huyo mwanamke hakutaki penzi limeisha Isha,, sasa ili kumuonyesha kwamba wew ni mwanaume muachie nyumba tembea!
 
Mkuu waza na upande chanya .

Pengine wife wako amechepuka na mtu mwenye Ukimwi . Sasa akajua unakuta hawezi kukwambia na hatakai nawewe uumie .
 
Hisia na wewe zimeisha 😅😅😅 Jaribu kuji update
 
Inabidi upewe taji
 
Shida ilianzia hapa
 
Wanawake wana siri nyingi. Unaweza kukuta amekanyaga mawaya anakuokoa using'ang'anie. FIKIRIA ZAIDI. KAMA HAJAKUDAI ZAIDI NA MnAISHI WOTE NENDA UKAPIME KAMA UKO SALAMA. MKWEPE. HUKO KWINGINE HAKIKISHA KINGA MUHIMU.
 
Mkuu naaona unataka kucheka kupitia comments Za wadau.

Kwanini upate tabu wakati sinza kitambaa cheupe sio Mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…