Mke wangu ananinyima uroda! Nifanyeje?

we tafuta pa kupoozea kiu,mkikutana kitandani hamna kusumbuana,wala hata usimwombe unyumba,akiona mwezi mzima hasumbuliwi atajistukia
 
hilo ndo taizo la chama kimoja.jitahidi kuanzisha demoklasia ya mapenzi.kwake huzungushi,yaani kakuweka kiganjani ndo maana anatingisha kiberiti.wanawake ni wengi kuliko wanaume so nashangaa kinachokuumiza kichwa.lakini uwe mwangalifu sana na usiniige mimi coz UKIMWI unaua.
halafu uwe unapiga hodi kabla ya yote.
 

Si bure kama atakuwa na ugonjwa wa zinaa basi atakuwa ametingwa na mtu. Find out.
 
 
Yazekana kuna hali ambayo mkeo haipendi kwako. 1. Yazekana hujifanyii usafi kama vile usafi wa kinywa. 2. Kutokwa na jasho lenye harufu mbaya wakati wa majambozi. 3. Kutokunyoa sehemu za siri pamoja na ndevu. 4. Kutomfikisha mkeo kileleni. 5. Kutokumletea mkeo zawadi kama Chupi, sindiria na skintait. Ukitekeleza haya mambo hakika majibu utayapata mkuu.
 
mnavyopenda kushabikia uasherati!hebu muacheni afb wangu,siku hizi nampa haya yalikuwa ya 2011,saa hizi tuna kasi zaidi, ari zaidi ila nguvu ndo ya zamani!
we tafuta pa kupoozea kiu,mkikutana kitandani hamna kusumbuana,wala hata usimwombe unyumba,akiona mwezi mzima hasumbuliwi atajistukia
 
Kama anageuka geuka ina maana anayoandika hapa ni uongo mtupu, hakuna haja ya kumpa ushauri, wastage of time!!!!!
 
Hayo ni matatizo yanayozikumba ndoa nyingi,kaa nae chini umwambie ukweli kwa upole,asipokuelewa au kusema ukweli kinachomsumbua fanya maamuzi ya busara broda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…