Mke wangu ananipiga makofi kila ninapochelewa kurudi nyumbani, nifanyaje jamani nimechoka!

Hivi unataka kutuaminisha kuwa unampenda sana ndo mana anapokupa kichapo unauchuna tu au kuna jingine linalokufanya uwe mlenda namna hiyo, hujui ww ni kichwa cha familia? Ebu simama kama dume ww acha kulialia mwishowe kuna cku utakuja kutuambia umebakwa na mkeo ww. Shubhamiiti!!
 
Unafaa upewe masufuria na ndoo zote, upike na kuchota maji, kutandika vitanda n.k na usionekane kwenye vijiwe/kundi lolote la wanaume, usije chelewa kurudi nyumbani. (Makofi yanauma).
 


siku uimbe basi jamn !i love ths!
 
Aibu nimeona mimi!
Omba likizo kisiri siri.. Kaa nyumbani wiki nzima na pesa usimpe.. Akiuliza mwambie umeacha kazi ili awe anakuona siku nzima!
 
Hii no dharau sana kwetu wanaume..husiwe unaandika hii aibu kwenye public....je hujui ya kuwa mwanaume ni kichwa cha nyumba?? Sasa kwanini wewe umekuwa mkia?? Ebu jitambue usimame upya kama Kichwa...nakushauri siku moja umpige ila husimuumize kuanzia hapo heshima itarudi nyumbani
 
Acha kazi ukae home au urudi home mapema.
 
Mwanaume lofa kama wewe inabidi ukachukue Nafasi ya babu seya , Haiwezekani unatushushia hadhi yetu namna hii
 
mmmnh basi kila mtu atajifanya kidume,kinaheshimiwa nyumbani,kumbe mpo humu mnaopigwa mpaka mnalia kama mmefiwa,ila mnapita kimya kimya hahahahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…