Mke wangu ananipiga makofi kila ninapochelewa kurudi nyumbani, nifanyaje jamani nimechoka!

Nani alikutuma uoe mwanamke anayekuzidi nguvu.ushauri wangu tafuta tu gym ya ngumi ukajifue,au dojo lililokaribu nawe
 
mijanaume ya hapa Dar inatudhalilisha sana wanaume
 
Ww unajitetea tu si useme ukitoka unapitia bar na kwa machangudoa tu....huyo mkeo aongeze jitihada akutandike has a hadi unyooke
Muongo huyo atakuwa anapitia kwa michepuko, sizani kama mke n i kichaa mme yupo kazini akirudi mlapue hivi hivi anajitetea tu ngoja ale tu vibanzi mpaka akili imkae sawa
 
Muongo huyo atakuwa anapitia kwa michepuko, sizani kama mke n i kichaa mme yupo kazini akirudi mlapue hivi hivi anajitetea tu ngoja ale tu vibanzi mpaka akili imkae sawa
Umeona eeeh kwakweli achezee tu vitasa
 
Rudi mapema ukiwa umebeba kitenge na biskuti za watoto ili awe na sababu ya kukupokea badala ya kukubutua.
 
Tafuta kazi nyengine unayosema unafanya sio Seremala fundi seremala nawajua vizuri kama atampiga kibao mwanamke lazima azimie tena kesi ya seremala kupigana kawaida tu ni sawa ya mcheza karati kupigana na raiya wa kawaida ni kosa kubwa nafahamu sulubu za seremala Leo unapigwa hadi unalia ww labda FUNDI Suruali ww
 
Jikaze na wee nae eboo!!

Mungu jaalia mimi katika kizazi changu nisipate mzembe kama huyu maana hii kwangu ni murder case, unakuja kwangu unashitaki mkeo anakupiga, nakutwanga risasi za bega na pumbu mie nijue moja tuu
 
Wanaume wamezidi sana wanawafanyia wake zao sio kabisa hata umfanyie nini lakini bado unaonekana mke hufai acha apigwe tu mpaka akili imkae vizuri
Naunga hoja mikono my dear achezee natamaninungekuwa na nguvu ningekuwa sitaki mchezo kabisa
 
ulioa au uliolewa?
 
UKIPATA KAZI YA ZIADA MWITE AJE AKUSAIDIE ILI MMALIZE MAPEMA. NINA UHAKIKA HATARUDIA TENA WALA HATAKUJA KUKUSAIDA MARA YA PILI AU YA TATU.
 
Utakuwa umeolewa bcoz Inaonekana kiuchumi upo chini na hapo kazini ni kwa huyo unayemuita mkeo. Mwanaume ukipenda mteremko jiandae kupokea vitasa. Katubu ili upate mke badala ya Mume
 
Kaka unadhalikisha wanaume wenzio. Mke wako anakupigaje makofi? Tena umetoka kutafuta kwa shidah namna hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…