Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muongo huyo atakuwa anapitia kwa michepuko, sizani kama mke n i kichaa mme yupo kazini akirudi mlapue hivi hivi anajitetea tu ngoja ale tu vibanzi mpaka akili imkae sawaWw unajitetea tu si useme ukitoka unapitia bar na kwa machangudoa tu....huyo mkeo aongeze jitihada akutandike has a hadi unyooke
Umeona eeeh kwakweli achezee tu vitasaMuongo huyo atakuwa anapitia kwa michepuko, sizani kama mke n i kichaa mme yupo kazini akirudi mlapue hivi hivi anajitetea tu ngoja ale tu vibanzi mpaka akili imkae sawa
Wanaume wamezidi sana wanawafanyia wake zao sio kabisa hata umfanyie nini lakini bado unaonekana mke hufai acha apigwe tu mpaka akili imkae vizuriUmeona eeeh kwakweli achezee tu vitasa
Tafuta kazi nyengine unayosema unafanya sio Seremala fundi seremala nawajua vizuri kama atampiga kibao mwanamke lazima azimie tena kesi ya seremala kupigana kawaida tu ni sawa ya mcheza karati kupigana na raiya wa kawaida ni kosa kubwa nafahamu sulubu za seremala Leo unapigwa hadi unalia ww labda FUNDI Suruali wwMimi ni mwanaume niliejaaliwa kuwa na watoto wawili wakike na wa kiume na mke wangu nimemuoa miaka kumi iliyopita huko mkoani iringa, shughuli zangu ni fundi seremala katika hizi kampuni za ujenzi za kichina zilizotapakaa hapa jijini dar ambazo tunajenga nyumba mbalimbali za miradi ya jamii.
Sasa mara nyingi pesa huwa tunalipwa kwa kila wiki, sasa hapa kati huwa napigika sana yaani nakuwa sina pesa hivyo ni lazima nijiongeze kwa kufanya kazi za ziada pindi ninapotoka kazini ile saa kumi, sasa najikuta nakuwa huko mitaani mpaka saa mbili au saa tatu usiku ndipo namaliza kazi zangu za ziada na kupata pesa then naelekea home.
Lakini ninapofika nyumbani nakumgongea mke wangu anifungulie mlango nikiingia ndani tu maneno yanaanza, nikimjibu kuwa nilipitia sehemu kufanya kazi maana nimerudi kazini nikiwa sina pesa naambulia vibao usoni napigwa mpaka nalia ndugu zangu huku nikiambiwa na mke wangu...usinijibu mimi nakwambia...roho inaniuma sana ndugu zangu naomba mnishauri nifanye nini ili kuepukana na vipigo hivi mimi jamani?.
Naunga hoja mikono my dear achezee natamaninungekuwa na nguvu ningekuwa sitaki mchezo kabisaWanaume wamezidi sana wanawafanyia wake zao sio kabisa hata umfanyie nini lakini bado unaonekana mke hufai acha apigwe tu mpaka akili imkae vizuri
Mimi ni mwanaume niliejaaliwa kuwa na watoto wawili wakike na wa kiume na mke wangu nimemuoa miaka kumi iliyopita huko mkoani iringa, shughuli zangu ni fundi seremala katika hizi kampuni za ujenzi za kichina zilizotapakaa hapa jijini dar ambazo tunajenga nyumba mbalimbali za miradi ya jamii.
Sasa mara nyingi pesa huwa tunalipwa kwa kila wiki, sasa hapa kati huwa napigika sana yaani nakuwa sina pesa hivyo ni lazima nijiongeze kwa kufanya kazi za ziada pindi ninapotoka kazini ile saa kumi, sasa najikuta nakuwa huko mitaani mpaka saa mbili au saa tatu usiku ndipo namaliza kazi zangu za ziada na kupata pesa then naelekea home.
Lakini ninapofika nyumbani nakumgongea mke wangu anifungulie mlango nikiingia ndani tu maneno yanaanza, nikimjibu kuwa nilipitia sehemu kufanya kazi maana nimerudi kazini nikiwa sina pesa naambulia vibao usoni napigwa mpaka nalia ndugu zangu huku nikiambiwa na mke wangu...usinijibu mimi nakwambia...roho inaniuma sana ndugu zangu naomba mnishauri nifanye nini ili kuepukana na vipigo hivi mimi jamani?.
UKIPATA KAZI YA ZIADA MWITE AJE AKUSAIDIE ILI MMALIZE MAPEMA. NINA UHAKIKA HATARUDIA TENA WALA HATAKUJA KUKUSAIDA MARA YA PILI AU YA TATU.Mimi ni mwanaume niliejaaliwa kuwa na watoto wawili wakike na wa kiume na mke wangu nimemuoa miaka kumi iliyopita huko mkoani iringa, shughuli zangu ni fundi seremala katika hizi kampuni za ujenzi za kichina zilizotapakaa hapa jijini dar ambazo tunajenga nyumba mbalimbali za miradi ya jamii.
Sasa mara nyingi pesa huwa tunalipwa kwa kila wiki, sasa hapa kati huwa napigika sana yaani nakuwa sina pesa hivyo ni lazima nijiongeze kwa kufanya kazi za ziada pindi ninapotoka kazini ile saa kumi, sasa najikuta nakuwa huko mitaani mpaka saa mbili au saa tatu usiku ndipo namaliza kazi zangu za ziada na kupata pesa then naelekea home.
Lakini ninapofika nyumbani nakumgongea mke wangu anifungulie mlango nikiingia ndani tu maneno yanaanza, nikimjibu kuwa nilipitia sehemu kufanya kazi maana nimerudi kazini nikiwa sina pesa naambulia vibao usoni napigwa mpaka nalia ndugu zangu huku nikiambiwa na mke wangu...usinijibu mimi nakwambia...roho inaniuma sana ndugu zangu naomba mnishauri nifanye nini ili kuepukana na vipigo hivi mimi jamani?.
Na siku zinavyozid kwenda ndio atazidi kudharaulika.Usikubali mwanamke akupande kichwani
Mwanamke kunipandishia sauti ni dharau tosha achilia mbali kunyanyua mkono wake
Tena sana unakata kabisa fimbo unahifadhi ndaniNaunga hoja mikono my dear achezee natamaninungekuwa na nguvu ningekuwa sitaki mchezo kabisa