Mke wangu ananisimulia akitongozwa

Miaka kumi umri wa mtoto na anatongozwa sasa maana kizazi hiki cha kijinga sana
 
Afadhali tumepanda gari moja tuwafundishe hawa maana kila izi wa kuzilalamikia ndoa wakati ndoa ni paradise ndogo
Hatukatai kupishana kwa vitu vidogo mnavimaliza wenyewe bila kushirikisha nje hata wazazi hawatakiwi kujua matatizo yenu

Vijana bikra itawasaidieni kufurahia ndoa hawa waliotumika afadhali ajielewe majukumu yake
 
Mkuu ukiwa na makubaliano ya aina yoyote na binadamu ambaye si wewe kila jambo linalohusu kwenda kinyume na hayo makubaliano kutoka kwa huyo binadamu lipe ùwezekano ila kama hakuna dalili au halijatokea usiruhusu livuruge hayo makubaliano.
Hapo ni kutaka kuishi kwa matumaini wakati kitu hicho hakipo mkuu

Kwani huamini kama kuna wanawake au wanaume hatutoki nje ya ndoa zetu
 
Mkuu,kwahiyo unaamini kwamba mkeo yuko tayari achapwe na fimbo moja tu mpaka kifo chake?.

Kwamba hlimkuta bikra na atadumu kuwa na experience ya fimbo yako daima?.Unajidanganya mkuu.
 
Hapo uliposema kuhusu bikira umeonesha ulivyo bado junior kweny hz ishu
 
Mkuu ukiwa na makubaliano ya aina yoyote na binadamu ambaye si wewe kila jambo linalohusu kwenda kinyume na hayo makubaliano kutoka kwa huyo binadamu lipe ùwezekano .
Mkuu hata makubaliano tu baina yako na nafsi yako weka uwezekano fulani ya kwamba inawezekano wa wewe kwenda kinyume upo. Vinginevyo utaishia kujichukia tu.
 
Hivi anaweza kuzini kabla ya kutongozwa
Labda abakwe
Kiufupi kuzini kwa mwanamke anaejielewa ni ngumu sana
Na hawa viumbe wakiingia wanaingia kijumla
Huenda anakusimulia mitongozo aliyoikataa ili kukufanya uamini kuwa ni mwaminifu. Mitongozo anayoikubali anaanzaje kukusimulia! Usiwe zuzu. Fungua macho ndugu. Hawa viumbe usiwawekee guarantee 100%
 
Mkuu,kwahiyo unaamini kwamba mkeo yuko tayari achapwe na fimbo moja tu mpaka kifo chake?.

Kwamba hlimkuta bikra na atadumu kuwa na experience ya fimbo yako daima?.Unajidanganya mkuu.
Miaka kumi sasa anachapwa nayo huko mbeleni mpaka atoke aende wapi wakati ni uzeeni mnakula matunda ya ujanani
 
Huenda anakusimulia mitongozo aliyoikataa ili kukufanya uamini kuwa ni mwaminifu. Mitongozo anayoikubali anaanzaje kukusimulia! Usiwe zuzu. Fungua macho ndugu. Hawa viumbe usiwawekee guarantee 100%
Inaonekana Huna imani ndugu nikukaribishe wapo wanaojielewa
Najua anaweza kufanya sio kwamba unamlinda
Bali yeye mwenyewe anauthamin mwili wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…