Mke wangu ananisimulia akitongozwa

Oh mkuu nataka nikurudishe katika mstari na hata pia hili jibu unalo

Sio wanawake wote wanatoka nje ya ndoa zao!

Pia kuji expose mwili wake na kujua hilo si kila mwanamke anaweza kuvaa nguo fupi au ya wazi
Na kutokana na asili ya mwanamke hata avae nguo fupi na mhuni kweli kweli ila bado hatajiamini na hiyo nguo kila muda ataishika na kuipandisha
Kama ni mpasuo ataforce kujifunika unajua kwanini?

Mwanamke siku zote hujengwa na mwanaume

Beba jukumu lako ndani ya ndoa mbona hatotoka boss wangu
 
Hivi anaweza kuzini kabla ya kutongozwa
Labda abakwe
Kiufupi kuzini kwa mwanamke anaejielewa ni ngumu sana
Na hawa viumbe wakiingia wanaingia kijumla
Mimi mwenyewe nilikuwaga na akili kama za kwako.. mpaka Leo sitaki demu bikra[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1430][emoji1430][emoji1430][emoji1430]
 
Kama unajiamini nitumie namba zake inbox[emoji23][emoji23][emoji23]...
 
Ila kwakeli!

Chama pendwa, chenye wanachama wengi kuliko sisiem!

Chenye wanafunzi wanaosoma daily bila kifaulu mpaka wanaaga dunia!

Chenye kuweza kufukuza wanachama na kuwafuata kuwabembeleza ili warejee chamani kwa kuwapigia magoti!

Dah!
 
[emoji817][emoji817] tunaendelea kuwaambia vijana wasione ndoa jehanam ndogo

Ndoa ni paradise ila umpate wa kuendana nawe
Em kwanza tuanze kwa kujua ni nini maana hasa ya kutongozwa?mwanamke kusalimiwa na mwanaume hakumaanishi ametongozwa bali itaonekana ametongozwa kama atawekwa kitako iwe ni bar,chini ya mti,w'app chat au text za kawaida,telegram kupigiwa simu on air etc sasa nashindwa kukuelewa unaposhangilia hapa!!!

Obviously yeye ndo anaetengeneza mazingira ya kutongozwa either kwa kugawa gawa mawasiliano yake hovyo,kucheka cheka na watu wa hovyo hovyo kisha anakuja kukujaza ujinga kwamba natongozwa sana na wewe kama zuzu unajichekesha chekesha hujui anakuandaa hata siku ukimkuta mazingira siyo akwambie “na yule alikuwa ananitongoza si nishakwambiaga natongozwa sana jamanii”.be a men, kwanza mkataze kukueleza hizo habari za kijinga na mwambie atumie akili yake mimi mwanamke hawezi kuniambia ratiba zake zake za kutongozwa linaweza likanitoka jibu kesho tukagawana vyumba au akaamkia kwao.
 
Akitongozwa na anaye mpenda usidhani utahadithiwa..atamute na atapiga mzigo.
 
Najua akinyanduliwa huwa hasimulii, wajanja sana hawa viumbe
 
Mimi mwenyewe nilikuwaga na akili kama za kwako.. mpaka Leo sitaki demu bikra[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1430][emoji1430][emoji1430][emoji1430]
Hapa sijazungumzia demu ndugu ni mke

Au hujui mke na demu vitu viwili tofauti
 
Ushaiita mwenzio zuzu ili hali nawe zuzu utagawanaje chumba na mwanamke kisa kushindwa kusolve matatizo? Be a man simama mwenyewe kwa kila kitu

Mke sio chombo mfanye rafiki yako atakusimulia hata ya saloon alipoenda kusuka
 
Ila kwakeli!

Chama pendwa, chenye wanachama wengi kuliko sisiem!

Chenye wanafunzi wanaosoma daily bila kifaulu mpaka wanaaga dunia!

Chenye kuweza kufukuza wanachama na kuwafuata kuwabembeleza ili warejee chamani kwa kuwapigia magoti!

Dah!
Nashangaa wanataka sote tuone ndoa ina karaha wakati ni paradise ndogo

Ndoa ni furaha mkipendana utoke uende wapi
Nje kuna kipi cha ziada
Vijana karibuni kwenye chama msijifunze waliokosea kuoa hawa kila muda wanalia lia

KOSEA KUJENGA NYUMBA SIO KUOA
WASOMENI WAKE ZENU KABLA YA KUOANA
 
Hata km ukimpata bikra,akiwa mdadisi atataka kuonja nje kuna Utamu gani, akigundua kuwa nje ni kutamu zaidi my friend huyo anaweza kubadilika na kuwa mbaya na hatari kupita maelezo.
 
hivi inawezekana eeeh, kupima kwa kuangalia nani kaingia na nani hajaingia
hahhahahaa, na akiingia mwenye dushe dogo kuliko lako je?

usijiaminishe sana mkuu, cha msingi furahia tu maisha mengine yatajileta yenyewe
Huyu jamaa yetu,siku ikitokea akagundua kuwa mkewe anagongwa na Wahuni fulani ataweza kunywa sumu au kujinyonga maana amemuamini Sana mkewe.
 
Akitongozwa na akaenda kugongwa hakuambii mkuu...
 
Bikira wanapatikana wapi mkuu?mi legend nataka kuoa tena baada ya ndoa yangu yangu ya kwanza kuyeyuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…