Mke wangu ananisimulia akitongozwa

Pole sana ndugu kwa hapo una kibarua kizito maana kizazi hiki hakijitambui
Wao kugawa gawa ni kawaida ila wapo ndugu yangu Mungu atakusaidia
Huyo mke wako mwenyewe Ni wa kizazi hiki,kwa hiyo naye Ni mgawaji tu Kama wagawaji wengine,sema kakuzidi kete,anakufunga kamba unaamini😂😂😂😂
 
Acha makasiriko mzee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi nikidanga wewe unapungukiwa nini kwani?Haya,we mwenzangu ulioa bikra?
Kukwambia ukweli kumekuuma maana mdangaji utatoa ushauri gani na usikilizwe? Ushauri wako unaona kudanga ni sawa mpaka kizazi chako kinaendeleza huo mfumo
Wa udangaji
Ubadilike na ujikubali mwili wako una heshima sio kila mtu akuvue pichu

Wapo wanawake ambao inabidi waje wawafunze mnahitaji somo kabisa wallah!!!
 
Siku akiacha kukueleza kuwa katongozwa, ujuwe kagawa mzigo
 
Huyo mke wako mwenyewe Ni wa kizazi hiki,kwa hiyo naye Ni mgawaji tu Kama wagawaji wengine,sema kakuzidi kete,anakufunga kamba unaamini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kujitunza tu mpaka ndoa na bikra ni ushindi maana mwenzie ulishagawa kabla ya ndoa na unashangilia ugawaji mpo sawa kweli? Ushazidiwa

Ukiwa mgawaji umeshindwa kuhimili tamaa zako mwenyewe
Unatoka na kila mwanaume ili iweje?
Upate nini?
Tumia japo sekunde kujifikiria sio kujibu ovyo!!

Hicho ni kizazi cha mke wa Rutu mpenda starehe
 
Kwa hiyo mkeo yupo kizazi kipi Cha Nani kisichopenda starehe?Cha Eva?au Cha Sarah?tumia akili mkeo pia Ni kizazi Cha Ruthu Hana tofauti na sie unaetutukana humu.....tatizo kakupa limbwata unabaki unahaha Sasa🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kimeniuma nini hapo Sasa?hivi Kuna jipya lipo hapa chini ya jua?walidanga kina Rahabu sembuse mie....hakuna jipya Kaka,hao wanawake wakuja kutufunza sie unaenda kuwatoa sayari gani kwanza hebu tuanzie hapo kwanza....Kama Ni wa sayari dunia ndio haohao kopo na mfuniko....jitambue wewe
 
Wanaume mwenzio wote wanakuona bwege unamalizia hasira kwangu pambana na za uso huko na vidume wenzio.
 
Sijakutukana bali umejitukana mwenyewe maana kama mwanamke unawakilisha wadangaji
Njoo ujifunze kwa mke wangu utaheshimu mwili wako huo
 
Limbwata litoke wapi? Sio kila mtu limbwata linatiki hahaha
Kumbe unapenda libwata itakuwa mumeo umfanya bushoke wewe
Maana ningekuwa mimi Huna bikra sikuoi kwa kweli

Na nahisi wewe ndio wale wale wameolewa na mtoto
 
Siku akipitishiwa ukuni ...sin uhakika km atakuhadithia ........[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sijakutukana bali umejitukana mwenyewe maana kama mwanamke unawakilisha wadangaji
Njoo ujifunze kwa mke wangu utaheshimu mwili wako huo
Huyo mkeo anayetongozwa tongozwa atanifundisha nini Mimi?yupo looseloose tu bure kabisa....hajieshimu ndio maana kila siku anatongozwatongozwa tu
 
Limbwata litoke wapi? Sio kila mtu limbwata linatiki hahaha
Kumbe unapenda libwata itakuwa mumeo umfanya bushoke wewe
Maana ningekuwa mimi Huna bikra sikuoi kwa kweli

Na nahisi wewe ndio wale wale wameolewa na mtoto
We jamaa bure kabisaaa yaani unajihisi uko sawa kabisa?Kama umegoma hujapewa limbwata Basi hauna ubongo wa kiume kabisa...... wanaume wenzio ,mwanamke huwezi hata kuthubutu kumsimulia eti nimetongozwa maana utatakiwa ueleze mlianza vipi na huyo mtongozaji we umekaaa unachekeleaaa....No wonder upo hapa unanisuta eti..... Sasa ukitaka mwanaume timamu auziwe mbuzi kwenye kiroba sio?
 
Ungempa huu ushauri mkeo anaeshinda na wanaume tofauti akitongozwa ingependeza Sana.
Kwani kutongozwa wapi pameandikwa ni dhambi?
Kosa kukubali ni kuonyesha hujiheshimu

Wewe kwenye kuwakilisha wanawake umeshindwa maana mdangaji
 
Hivi kuna ubongo wa kiume na kike? Mwanamke katika ndoa ni rafiki namba moja au unataka tuishi kama kuku
Kusema chochote ana haki kabisa na mtashauriana inabidi upewe darasa wewe naona bado mtoto
 
Ushaiita mwenzio zuzu ili hali nawe zuzu utagawanaje chumba na mwanamke kisa kushindwa kusolve matatizo? Be a man simama mwenyewe kwa kila kitu

Mke sio chombo mfanye rafiki yako atakusimulia hata ya saloon alipoenda kusuka
Wewe dhahiri una element za uzuzu kukuita hivi sijakuonea maana nikikusoma katikati ya mistari yako unaonekana ulivyo mweupe!

Unataka u-solve tatizo la mkeo kutongozwa nje ya kumwambia physical aache kukwambia hizo habari za kipumbavu?utafanyaje....tuseme utaenda wewe utongozwe ili umpunguzie mkeo shida yake ya kutongozwa?nimekushauri kiume wewe unaleta habari za kusimuliana na mkeo habari za salon!

Jitambue.
 
Kumbe una matatizo rafiki yangu mke ni rafiki yako wa kwanza hujui hilo

Hata story zozote yupo huru kwako kuliko mtu yeyote
Anza urafiki nae utaona haya na mengi zaidi
 
Huyo mkeo anayetongozwa tongozwa atanifundisha nini Mimi?yupo looseloose tu bure kabisa....hajieshimu ndio maana kila siku anatongozwatongozwa tu
Mwanamke kutongozwa ni haki yake ANA MVUTO

Kukubali hapo ndio ujinga au kujirahisisha lakini mwanamke safari ya kilomita tatu wasipogeuza shingo kwake mhhhhh ana kasoro huyo

Au ndio wale wale dume jike ISIJE IKIWA NAWE DUME JIKE???????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…