Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Huyo mke wako mwenyewe Ni wa kizazi hiki,kwa hiyo naye Ni mgawaji tu Kama wagawaji wengine,sema kakuzidi kete,anakufunga kamba unaamini😂😂😂😂Pole sana ndugu kwa hapo una kibarua kizito maana kizazi hiki hakijitambui
Wao kugawa gawa ni kawaida ila wapo ndugu yangu Mungu atakusaidia