thetruthtobetold
JF-Expert Member
- Jan 17, 2018
- 509
- 561
Yaah huwa mnatafuta justification
Hapo hatujasikia upande wa mke
Pengine jamaa shahawa zakw zinanuka
Pengine jamaa anamchomekea mchi kama ugomvi
Pengine mke mjamzito
Au pengine anatumia njia za uzazi wa mpango.
HIIIIIIIIIIIII!
Habari za Pasaka aisee?
Mwenzenu nipo sitting bado natoa macho tu hapa sielewi nikalale au niendelee kuzuga kishikaji shemeji yenu kanipiga adhabu ya nguvu ambayo anajua vizuri lazima nitaathirika moja kwa moja.
Inshu iko hivi, nina mke na mtoto moja, nimekua kwenye mahusiano na mke wangu kwa kipindi cha miaka miwili kabla ya uchumba wetu uliodumu kwa miaka minne, kwa kipindi chote cha uchumba wetu hakukua na hii shida.
Mke wangu siku hizi tukiwa tunasex hataki nimkojelee kabisa anataka nichomoe mashine na nimwage nje, na bao napewa kamoja aisee hakuna zaidi, mara moja moja huwa naotea bao mbili mpk ajisikie mwenyewe lakini.
Iwapo nitathubutu kumkojolea , anachukia sana siku nzima atakununia na kinachofuata ni kunyimwa sex ata kwa wiki nzima na wife nilishamweleza kistaarabu kabisa kwamba aninyime vyote lakini sex hapana maana hapo ndiyo kuna furaha yangu lakini habadiliki.
Sometime natamani ata nijipigie beki tatu ili nipunguze uchungu lakini nikimcheki huyu dogo anaonekana bado sana hata vichuchu vinaonyesha hajui kitu isitoshe kana aibu sana na kananiheshimu vya kutosha aiseeeeeeee nimechoka ata kuendelea kutyp lakini inaniuma sanaaaa
Jamani ebu tuambizane nyie pia kwenye ndoa zenu kuna hizi taratibu za kuzuiliwa kukojeleana?
Inawezekana humkojozi ndo maana anakwambia hataki amuachie mauteleziNishamchana vya kutosha sasa nimechoka wacha nitafute wanaopenda kukojolewa
Kazi kweli kweli..kumbe shida ni hataki kulala na utelezi, sio kuhusu kutotaka ujauzito kwa sasa.
Mh hapa mentor inanibidi kurudi shule tena..ushauri kwishney.
Ila mkuu ngoja nijaribu hii ya mwisho;
Kabla hujaanza kuendekeza hayo mawazo ya beki na kuchepuka hebu jaribu hii. Wikiendi moja hata ikiwezekana mkaomba karuhusa kazini Ijumaa..muondoke pamoja muende sehemu tulivu, get a room ambayo mtahudumiwa milo yote, yaani asifanye shughuli yeyote. Hiyo Ijumaa usizungumze chochote kizito. Kama mmenda mbugani basi mshinde kucheki wanyama tu ama kama ni hoteli tu ya kitalii basi mmeshinda ndani aidha mnacheza game ama mnaangalia movies. Vyovyote vile hakikisha hamfanyi kazi ngumu. Jioni baada ya msosi, fanya shughuli pendwa kisha note mabadiliko yoyote ya tabia.
Vyovyote vile atakavyofanya - kukupa ushirikiano bila masharti, kukupa masharti, kukupa game zaidi ya moja - vyovyote atakavyofanya usiku huo, wenye fanya kuchukua notes tu.
Kesho yake baada ya chai, mkae chini mzungumze kutokana na yaliyotokea usiku. Usiongee kwa kubembeleza lakini pia usiongee kibabe (be balanced..objective..ajue upo serious lakini). Mueleze kinachokukwaza na kwamba ungependa kujua nini hasa shida yake. Usichukulie kama ni makusudi (hata kama unaamini 100% ni makusudi..cheza na psychology yake tu). lengo lako ni kutaka mabadiliko na kurudia maisha yenu ya upendo kama zamani.
Huenda tu ameathirika kisaikolojia na unaweza kumshauri kuwaona wataalamu. Haya mambo yapo lakini ukitumia ubabe sana sana solution utakayopata ni kuchepuka tu ila ndani kwako huna amani.
Sina conclusion ya jibu lake litakuwaje, ila zungumza naye kwa kutaka kumuelewa na kuona kama mkionana na mshauri nasihi atawasaidia. Usipuuzie sana kumuona anafanya makusudi kila wakati. Mazungumzo yenu yatakusaidia sana kujua jinsi ya kusonga mbele kutoka hapo. Naamini unampenda mkeo, naye si kichaa, je ni kwa nini tabia yake imebadilika.
Ukienda kwa kumu-attack hutopata jibu..jitahidi kwenda na mentality ya kutaka kumsikiliza.
Mi alinishaniletea hizi tabia nikamchunia kumgusa kama mwezi hivi siulizii uroda akaamza kunipeleleza hadi akakuta meseji kwenye ya demu mwingine akiniambia KARIBU CHAKULA MUME WANGU!toka siku hiyo napewa uroda wa hela yoteee
Habari za Pasaka aisee?
Mwenzenu nipo sitting bado natoa macho tu hapa sielewi nikalale au niendelee kuzuga kishikaji shemeji yenu kanipiga adhabu ya nguvu ambayo anajua vizuri lazima nitaathirika moja kwa moja.
Jamani ebu tuambizane nyie pia kwenye ndoa zenu kuna hizi taratibu za kuzuiliwa kukojeleana?
Acha uboyaBeki tatu vipi. Mi mwenzio beki tatu miaka 3 nakula mke hajui
Wakati anahitaji mtoto alikuwa alali nazo?Hana sababu yoyote ya msingi, maelezo yake ni kwamba hapendi kulala na utelezi. Eti sometime hizo manii huwa zinamchafilia chupi akiwa kalala
Ahhaahhhah hahaaha umeuwa apo mwishoHii ipo sana hasa kwa ndoa changa. Kuna vibinti vinaolewa bado kupevuka matokeo yake ndo kama haya.
Binti anafikiri kaolewa kwa ajili ya kula na kulala. Amka dada umeolewa kwa ajili ya ku.to.mb.wa.