mchawi wa kusini
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 833
- 933
Huenda seal za kudhibiti ushuzi zimekataHabari Baada ya Asubuhi
Leo sina Mada ndefu sana nataka kujua nina mke wangu anapenda Kunijambia wakati nimekaa,huwa najiuliza hii ni dharau au anamatatizo yake binafsi.
Unakuta unatulia unawaza hili na lile anajamba napata wakati mgumu sana Au huyu mwanamke sio wangu nimeoa Kwa bahati Mbaya.
Muda mwingine nafikiria huyu ananifanyia dharau Nashindwa Kuelewa hili Swala.
Msaada wenu huenda maoni yenu Kwangu Yakawa yananipa majibu.
Hapo ndiyo penzi linaimarikaSi wakati mnaoana mnakubaliana kuvumiliana kwenye shida na raha! π
Mvumilie tuu!
Ukute umeshashiba makande yako na Maziwa mtindi.mbona nikiwa nae ndani huwa halalamiki sijui kwanini kaja kunianika humuπͺ
umesahau parachichiπππUkute umeshashiba makande yako na Maziwa mtindi.
Mashuzi yanakutoka tu huna habari. ππππ
Wewe ndiye mwenye matatizo mkuu. Wanandoa kujambiana ni suala la kawaida sana. Kama wewe unajibana mbele yake, una matatizo. Kujambiana kunaongeza upendo na kuimarisha ndoa.Habari Baada ya Asubuhi
Leo sina Mada ndefu sana nataka kujua nina mke wangu anapenda Kunijambia wakati nimekaa,huwa najiuliza hii ni dharau au anamatatizo yake binafsi.
Unakuta unatulia unawaza hili na lile anajamba napata wakati mgumu sana Au huyu mwanamke sio wangu nimeoa Kwa bahati Mbaya.
Muda mwingine nafikiria huyu ananifanyia dharau Nashindwa Kuelewa hili Swala.
Msaada wenu huenda maoni yenu Kwangu Yakawa yananipa majibu.
Hahahaa. Kuna watoto/wajukuu zangu wanakuja kunishtakia eti shabani amenijambia. Nami huwa ninajibu; sasa na wewe nenda kamjambie mara nyingi na kwa nguvu zaidi.Habari Baada ya Asubuhi
Leo sina Mada ndefu sana nataka kujua nina mke wangu anapenda Kunijambia wakati nimekaa,huwa najiuliza hii ni dharau au anamatatizo yake binafsi.
Unakuta unatulia unawaza hili na lile anajamba napata wakati mgumu sana Au huyu mwanamke sio wangu nimeoa Kwa bahati Mbaya.
Muda mwingine nafikiria huyu ananifanyia dharau Nashindwa Kuelewa hili Swala.
Msaada wenu huenda maoni yenu Kwangu Yakawa yananipa majibu.
Na hii ni nzuri sana katika mapenzi. Sio mnakuwa mnaogopana kupita kiasi hapanaMaximum level of Intimacy broo
Naunga mkonoNa hii ni nzuri sana katika mapenzi. Sio mnakuwa mnaogopana kupita kiasi hapana