Mke wangu anapenda 'kupumua' mbele yangu. Ananidharau au ndio mapenzi yenyewe?

Na hii ni nzuri sana katika mapenzi. Sio mnakuwa mnaogopana kupita kiasi hapana
Kitendo cha kujamba ni chema sana kwani:
1. Ni ishara wazi kwamba Tumbo linafanya kazi yake ya kuchakata chakula kwa ukamilifu -vizuri.
2. Ni njia sahihi ya kuondoa hewa (gesi) tumboni na kuepusha tumbo (stomach)na utumbo (intestine)kujaa hewa na kusababisha tatizo la Bloat.
3. Ni ishara wazi (Kama ulivyobainisha hapo) kwamba mtu anakuwa yupo huru kabisa akiwa na yeye sio eti mpaka faraghani.
NB: Kwa kweli umemjibu mtoa mada kitaalam zaidi ila sijui kama atakuelewa.
 
Ndoa zina mengi hadi vijambo vipo mimi najua kuwa swala hilo kwasababu linahusu sehemu nyeti basi lifanywe kwa ustarabu unless labda kimemponyoka,ila apunguze mazoea kakuzoea kiboya wazungu wenyewe wakijamba wanasema sorry maana unakuta kimemponyoka.
 
Kutoa hewa chafu ni tukio la kimaumbile kwa binadamu lakini si uungwana au ustaarabu kutoa hewa hiyo kwa makusudi mbele za watu kwa kisingizio cha kuwa huru au kipimo cha mapenzi......

Kumnukisha mtu hewa chafu kwa makusudi kabisa so jambo la kiungwana kwa upande wangu otherwise iwe bahati mbaya.......

Mimi binafsi siipendi hali iyo na niliikemea kwa mke wangu......
 
Anataka kuwa huru na wewe, wakati huo unataka muwe rigid kama stim za umeme.

Unaweza kutoka bafuni akiwepo ukakaa uchi mbele yake kweli mkuu? Au unajificha asione uchi wako?
 
Ndoa zina mengi hadi vijambo vipo mimi najua kuwa swala hilo kwasababu linahusu sehemu nyeti basi lifanywe kwa ustarabu unless labda kimemponyoka,ila apunguze mazoea kakuzoea kiboya wazungu wenyewe wakijamba wanasema sorry maana unakuta kimemponyoka.
Huwa hawachukulii kama ni serious issue kama ss waafrika.
 
Picha yake Tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…