Mke wangu anapenda 'kupumua' mbele yangu. Ananidharau au ndio mapenzi yenyewe?

Fiuzi Hanaku.... 😄
 
Unajambiwa,then unakuja hapa kutuuliza! Ama!Hivi siku ya kukunyea si utaweka matangazo kwenye magazeti?Umeapa kiapo kuwa kwenye raha na shida mtavumiliana,leo imekuwaje?Anyway hebu tuambie,anajamba vya kunuka au havinuki? Je anajamba vya sauti pwaaaaaaa,paaaaaaaa au vile vya kimya mfyuuuuuuuuuuuu
 
Nipe namba yake nimuonye
 
 
Ila wakuu tuacheni masihara kuna ushuzi mwingine hauvumiliki, maana unaweza ukadhani kuna mahala wamefungulia chemba ya choo...anyway, nihali ya kawaida hiyo.Bora hata huyo mwingine anasubilia mmejifunika shuka halafu ananyamba mnabaki kukung'uta shuka tu, hapo hupati usingizi.
 
Mbona chako unakivumilia mkuu,kisayansi imethibitishwa mahusiano ya kuwa kama watoto hudumu na huleta faraja sana,mkiwa serious sana hamuwezi kusemeshana hata kama kuna jambo lipo la kushirikishana na ni la muhimu mtaogopana, mwanamke wa hivi poa sana kajiachia mazima kwa mwenza wake, wapo wanawake wanaopenda kupiga umbea na waume zao ni tuvituvitu katika mahusiano na uchochoea mapenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…