Mke wangu anapenda 'kupumua' mbele yangu. Ananidharau au ndio mapenzi yenyewe?

Anaku-beep na Sim 2, jiongeze.
 
sema nini mkuu uhuru usivuke mipaka, asijisahau sana kiasi kwamba hata mbele ya wageni wetu anafanya tuvitu kama huto..maana mazoea hutega tabia.
 
Unataka akajambie wapi mkuu?

Ukikereka na kujamba kuna siku utakereka akikoroma, akipumua, akinya....n.k

Unataka awe anajificha?
 
Unaita mafanikio ila ni umemtisha tu. Hana tena uhuru na wewe.

Ni sawa wewe uwe na mwanamke urudi mchana kule halafu aseme ila unarudi sana mchana. Halafu wewe kuanzia hiyo siku hurudi tena.

Anaweza akaona afadhali ila ni amekufukuza. Ndicho kilichotokea hapo
 
Nyie si mnasema kama haujawahi kusikia waubavu wako akijamba jua anakuficha siri nyingi sana?
 
Anataka!...
 
Kwani standard ni kupumulia wapi inatakiwa “officially”?
Sijaongelea apumulie puani, nimesema shida ya mtoa mada sio kwanini anapumua, shida yake ni kwanini apumue mbele yake mara nyingi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…