Mke wangu anapenda kuwasiliana na Ex wake

Mkeo anaweza asiwe anafanya kitu kibaya sema wewe tu wivu wako ndio unaokusukuma kumuhisi vibaya...
Ujue huwa nashindwa kuelewa kitu kimoja. Kwa mfano we hupendi mpenzi wako avute sigara maana harufu ya mdomo wake mkiwa faragha inakukera, kisha akaamua kuacha kwa heshima yako, kunakuwa na tofauti gani na swala la kwamba yeye anakereka kuona unawasiliana na mwanaume mwengine kwa dhahiri ama kwa siri na amekuomba uache hilo swala for more than once isipokuw tu umekuwa mkaidi hutaki kuacha?
 
Kama angekuwa hafanyi chochote ya nini kung'ang'ania mawasiliano ambayo yameleta sintofahamu mara kadhaa kwenye ndoa
Hiki ndio kijisababu chao wanatumiaga mkuu, yani imeniuma kama ni mimi vile. Utaskia wasiwasi wako tu amna kitu na ukikomaa ataanza kukwambia humuamini. I been there i know the hell how it feels ila ushauri to kama watoto wako na umri mzuri kick that woman to the curbs.

At least for once in a lifetime na umpotezee haswa no calls wala hata kumtumia sh.mia mbovu na umpe ultimatum kwamba you won't put up with that mis-behaviour again maana wewe ni mume na si vinginevyo hivyo siku akijiona yupo tayari kuishi katika principles za ndoa iliyo na uaminifu then akujulishe. For now asepe kwao akajifunze tena nini maana ya mume na ndoa! Nasisitiza usimtumie hata mia mbovu mnyooshe kama ruler ajue tofauti ya kuwa single na kwenye ndoa.

That thing is called emotional infidelity, some people take it too far to the extent they start cheating. Sio huyo wako tu bali wanawake wengi wana hio tabia mkuu kaza moyo then fanya nachokushauri.
 
Amtunzie heshima kwa kugongwa nje
 
Pole sana mkuu

Nilkuwa nagombana sana na ex wangu kwa tabia kama hiyo ya mke wako.

Cha msingi mpe muda ajitafakari ikiwezekana muache aende akarudiane nae labda bado wanapendana.
Tabia ya kipuuzi sana, vipi aliiacha ama uliamua kumuacha tu?
 
Angekua ni dem ningeshaur mle tigo af achana nae,ila kama ni mke,daah,ngum sana maana watoto watapata shida,..sasa we cha msing,..ujue wanawake wana huruma sana,so kama anampenda sana huyo x kuliko wew hata ufanyaje hawez mtoa akilin,ila ataweza mtoa akilin kama akiamua yeye,so ili umfanye aamue hivyo fanya haya
1.play victim.yaan mfanye akuonee huruma,we mwite kwa upole mwambie hiv,mkewangu najua unampenda sana x wako kuliko mim,ila namii nakupenda sana,na stak kukuacha,so we endelea kua na mahusiano na huyo jamaa,siku ukichoka utanambia,..halaf unasepa,usimpe mda wa ku explain,we ondoka na usiongelee hii kitu teena,na punguza kucheka cheka,yaan fanya mgomo barid,ila mpe anachotaka,bt sio sex,akitaka sex mwambie hujiskii,ila ongeen cheken kama kawaida,ishi maisha kawaida yan,kama unadem pemben chepuka kisir sir uwe unapunguza ngale..afta 3months utakuja nambia,ataomba msamaha na hatorudia tena.
 
unaweza kumuona live ukajifia bure...unakuta mitoto yote inafana nae
 

mleta mada anasema kabsa uongo umezidi kwake ila pia makatazo katka mambo yanayo hatarisha ndoa yapo ,hiili limekua janga watu kusto achana kabsaa je na takwimu za wanandoa kutoka inje na wapenzi wao zina zidi kupanda,apige na chini tuu kwa kua hajui maana ya ndoa
 

mkuu heshma ndo kwa mwanamke ndo tunacho kiitaji sisi wanaume achana na swala la upendo koz upendo n kama bahari samtaimz una panda samtaimz unashukaa ila heshma ikisumishwa hushnda upendo
 
Ushaambiwa kitu hicho mwenzio hakipendi una utoto kiasi gani kutokuelewa kwamba swala unaliliona dogo linamkosesha raha na uhuru mume wako. How the https://jamii.app/JFUserGuide can't you understand you spouse feelings yet just ignore it!!!
 
basi haukuwakaza vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…