Mke wangu anapenda kuwasiliana na Ex wake

Deal na huyo x wake. Ikiwezekana mle tigo ataacha. Wanawake ni viumbe dhaifu sana walipewa akili za kuvuka barabara tu mengine ni tegemezi kwa wanaume.
 
Vip watoto ni wako lakini inawezekana jamaa ndo kwenye watoto ndo maana haachi kuwasiliana nae
 
Nimecheka kwa Sauti kali sana mpaka watu wamenishangaa hapa nilipo.Daah JF saafi sana.Huo ushauri najaribu tu kuutafakari.Umeandika kwa hisia kali sana ..maisha ya mapenzi ni kazi sana.Kati ya vitu vinavyotesa ni hapo.simu hizi ni mkubaliane tu.Ila kina mama unaweza kutana na sms ukapata strock ghafla paaaaaaa.
Kama mmekuwa mwili mmoja naogopa sana kusema kuwe na siri kwa kila mmoja,hatutendei haki ndoa zetu hata kidogo.
Na ndio maan hata mafanikiwo na ustawi wa watoto na familia kwa ujumla hauko sawa kwetu huku.Maana kila mtu anawaza lake tena baya baya juu ya mwenzi wake.Na kutenda pia.Inahitaji moyo mkuu sana kuishi kwa nyakati hizi katika ndoa zetu.
 
Upo nae mwaka wa kumi huu, lakini unatuletea story ya miaka 8 ilopita? Au sijakufahamu vizuri kwenye hio miaka?
 
True,sio muaminifu at all,au yawezekana ni wale waliokuwa wanataka kuolewa ili ajenge jina kuwa na yeye kaolewa,kwahiyo kaolewa na mtu asiempenda as a result sasa hivi anamkumbuka ex wake,ni matatizo,yako mengi sana haya majanga kwenye hii dunia..
Ni kweeli kabisa!!! Ila mwanaume asimame kwenye nafasi yake
 
Bro pole sana. Uko dhaifu sana wewe.....nna mashaka na hao watoto!!!! chunguza vema.....huyo si wako achana nae...hiyo habari yako ya mwili mmoja itakuponza.....
 
Hayo ndo matatizo ya kuoa wake za watu. Huyo ni mke wa mtu. Kama umemuonya mara kadhaa hajasikia jua huyo ni mke wa mtu.
 
Kama unaona ni tatizo na upo Dar nipe namba yako tushauriane namna ya kumkamata kirahisi.
 
Usioneshe hisia yoyote we kuwa normal tutamdaka kama unakagua simu yake acha kabisa ili nikupe mbinu tuma namba yako tuonane Dar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…