Mke wangu anapenda kuwasiliana na Ex wake

mkuu..kama hajaanza kugegedana nae basi wapo on process..

la msingi mbane kweli mwanamke wako///ila in 10 years tatizo inakuja mnajuana sana..na kumbana lazma atajua kukugeuka..
suprise siku peleka watoto kwa ndugu zenu mrudi ndani wawil..funga nyumba mpeleke room funga..(bila yeye kuhisi chochote) mwisho wa siku mkiwa chumbani ndo umwambie its not a coicidence .. toa toy la pistol(hahaha kutokana na ninavyokupatia picha maana ukitoa panga atajua unaweza muonea huruma) mwambie afunguke yoote maana unaujua ukweli a to z...
kabla hamjamalizana wote..ataimba kama drake...

daah ila ase kweli wanaume tunatofautiana mkuu....mie kabla sijamuoa miaka miwili iliyopita alijua kabisa hiki kichwa kibovu akizinguaa tuuu lazma aweke mambo bayana..maana enzi zangu nilimkwida yeye na kumfwata uyo ex wake mpaka ofisin kwa ex wake kumama.ee maana alichangia sendoff jamaa hakutoka ase mjengoni.ata sendoff sikumuona..nilimwambia nikimuonaa nikimnusa nikimsikia ama zake ama zangu..afu kuna kipndi tulitoka outing kimlinzi kilimzingua sijui nini enzi izo nilipiga askari nikalala polisi(nilitokwa 200k) ila mpaka kesho akiniangalia hua animalizi maana timbwili langu analijua basii nikipiga biti ndani ya nyumba laazma ardhi itetemeke..

(ila mkuu wanawake sio wajinga,,unaishi nao kiakili sana tena san..despite mabiti yangu yoote ila lazma niwe makinii,,kabla sijatetemesha najiangalia mimi kwanza nimekosea wapi..pili kama ni tatizo sio langu namkalisha yeye chini yan tufike tamati tatzo lipo wapi kama bado aitoshi,,,namkalisha uyo third party ..na nikiona sasa mambo zengwe,,mamaaaae naunguruma naye..,,na haya mengi tulifanya before ndoa..mkioana mnatakiwa mtulize kichwa kel kwel...usimfwatilie kabisaaaa tena kabisaaa..wewe mtimizie kila kitu ..ataacha maana kuna mda wanawake wanapenda attention ndogo ndogo uwez jua mwana saiz ndo anampa ambayo wewe huumpi so jicheki wewe kwanza sana.
 



hhahahaha nimecheka sana jman khaa kweli wewe kichaa ! binafsi nasema wazi sio vyema kbs kuwasiliana na ex wako km mnapendana kwann mliachana? aisee mie haitakaa itokee ! ila ht wewe best yangu bado haupo safe sana mayb inategemea na akili ya mkeo !ninavyojua ukimpiga BEAT mkeo huwa mara nying unahari u zaid !cha muhim sana kaa naye kwa upole na upendo wa hali ya juu !nakwambia km mwanamke wako anakupenda huwa tunasema !mke asiyesema madhaifu yako huyo hana HISIA NA WW TENA ! huyu sasa muogope sana sana !
 
hehehe kweli kabisa ase....yanai ndo mana nakuwaga mpole sana na kuwa very open kabisaa...yeye nikiwa hivyo ndo mana nae anafunguka..na mpaka nimefikia kumchimba beat jua yeye kwel kakosea na hua mara nyingi anatubu kabisa kweli nimekosa na yaishe..yakiisha yanaisha kweli labda aanzishe uweru weru na mfanyakazi mwenzie ila najijua nina wivu sana ndo mana hawa ma banker hawa ahuwa nawaangaliaga sana kwa umakini..la msingi mkiwa open mnafaid sana penzi lenu...na pindi tukikwaruzan ni kutokana na mmoja wetu kuamua ku shut down hisia juu ya mwenzke...afu huyu mama wa awatoto anajivuniaga huwa mie siweziiii kulala bila kuweka sawa mahusiano yetu..
 
Maisha ya pesa au mapenzi?
mapenzi hapana mkuu..nina mkewangu tunapendana sana na naamini the same kwako..maisha tu..na kupeana michongo jinsi ya kufanikiwa..maana kila mmoja ana mchango wake..nakuaga interested kumeet new people and learn alot mkuu
 
mapenzi hapana mkuu..nina mkewangu tunapendana sana na naamini the same kwako..maisha tu..na kupeana michongo jinsi ya kufanikiwa..maana kila mmoja ana mchango wake..nakuaga interested kumeet new people and learn alot mkuu
Sawa mkuu nitakucheki
 
Kaka nimekuelewa.nimesoma shauri zako kadhaazaidi ya mara moja moja.nafanyia kazi bila ubishi.ubarikiwe extrovert
 
Got it napoleon
 
Huyo Mke wako hajitambui kabisa kama Mume wa ndoa anae anataka nini cha zaidi badala ya kutulia kwenye ndoa yake?
 
Ushawahi kuwasiliana na huyo X wa mkeo?
 
mara nyingi wanaume wanaoolewa nao wanawake si waliopenda kwa dhati bali ni circumstances za maisha. hivyo wanakuwa na watu waliokuwa nao way back na 'waliwakuna' ipasavyo-mathalan mwanaume aliyekua nae college au from secondary school-hawa huwa ni vigumu kuwatoa kichwani. nilishakua na uhusiano na binti from alevo to univ, then she got married na jamaa mwingine ambaye alikuwa serious nae kuliko mimi. hakuniambia na hadi leo hajawahi niambia kama ameolewa, ingawa anajua ninajua kua ameolewa . but amekua akiinsist tuendelee kuwasiliana. najisikia vibaya na ninamkwepa mara nyingi as yy yuko arusha mm niko dom.

muhimu mkuu muweke wazi kuwa huhitaji kuendelea kuona mawasiliano baina yao.
 
Pole mkuu,ila ndoa ni taasisi pana aisee....10 years bado anawasiliana na ex? Wewe una mchepuko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…