Mkuu kama umeona manyoya ujuwe.....Habari zenu ndugu zangu, jamaa na marafiki zangu,
Hoja iko hivi, nina mke ambaye nimedumu naye kwa mwaka karibu wa 10 na Mungu kanijalia watoto kadhaa.
Ki ukweli tunaishi vizuri mno ni mnyenyekevu, msafi na ni mzuri mno.
Ila miaka miwili tu baada ya kumuoa nilibaini namba moja ambayo alikuwa haja isave ila ilikuwa ndiyo namba ambayo ilikuwa imepigwa mara nyingi sana.
Nilimbana mpaka akaja akakiri kuwa huyo ndiye aliyekuwa Ex boy friend wake.
Kidume nikampiga marufuku lakini ameendelea kuwasiliana naye mpaka mwezi uliopita licha ya kufikisha mpaka kwa wazee mara kadhaa kwa sababu hiyo.
Sasa najua kuna wataalamu wa mambo ya mahusiano humu ambao mnaweza kunisaidia nifanyaje kwa sababu ki ukweli naelekea kuachana naye kwa sasa.
Baada ya kuvunja lain utagundua je ni yule jamaa huwa anamfuata mkeo au ni mkeo humtafuta huyo ex wake baada ya hapo utajua cha kyfanyaSasa miaka 10 ya pamoja umuache kisa ex? Chukua line vunja vunja msajilie nyingine problem solved.
Hata Hao watoto sio wako.Akili zangu zinanipeleka huko kwa zaidi ya 80% na ndiyo maana nafikiria kumpiga chini.ila nikiwaza watoto ndo nachanganyikiwa kabisa
Sasa siku kama yaleo best una ban nakupaje odds jomoni[emoji19]Pinga ngumi mkuu maana anazingua uyo
acha kumpa moyo wa kijinga jamaa anat...om...bewa 100% cha msingi anunue ile softwere MS TANZANIA atajua mbivu na mbivi ...ila anamegewa mali zake na kunauhakika baadhi ya watoto si wakeMkeo anaweza asiwe anafanya kitu kibaya sema wewe tu wivu wako ndio unaokusukuma kumuhisi vibaya...
😱acha kumpa moyo wa kijinga jamaa anat...om...bewa 100% cha msingi anunue ile softwere MS TANZANIA atajua mbivu na mbivi ...ila anamegewa mali zake na kunauhakika baadhi ya watoto si wake
Tatizo la kurudiana na ma ex ni risk ya maradhi.Utarudiana na ex kumbe nayeye anaex wake wamerudiana,imagine hiyo chain ilivyo ndefu mkuu!!Tafuta na wewe miongoni mwa ma Ex zako,uwasiliane nae. Ngoma draw. Wanaume wa dar punguzeni kulalamika
Wew huna uchungu, umekuja kutuchezea akili tuTumefunga ndoa sasa yeye na mimi ni mwili mmoja,chake changu,changu chake nitaachaje kuchunguza?