Mke wangu anapenda kuwasiliana na Ex wake

Mke wangu anapenda kuwasiliana na Ex wake

Km wana mawasiliano ndani ya miaka 8, pole mkuu lindunduru nina uhakika mkeo ...
Enewey, mtafte jamaa mwambie *friendly* aache mazoea na mkeo.
Mwambie mama watoto ni jinsi gani unakwazika na mawasiliano yao friendly. Ikishndkana ha2a kali zichukuliwe..
Asante

_@Satan_
 
Umeona manyoya, basi ........
 
Habari zenu ndugu zangu, jamaa na marafiki zangu,

Hoja iko hivi, nina mke ambaye nimedumu naye kwa mwaka karibu wa 10 na Mungu kanijalia watoto kadhaa.

Ki ukweli tunaishi vizuri mno ni mnyenyekevu, msafi na ni mzuri mno.
Ila miaka miwili tu baada ya kumuoa nilibaini namba moja ambayo alikuwa haja isave ila ilikuwa ndiyo namba ambayo ilikuwa imepigwa mara nyingi sana.

Nilimbana mpaka akaja akakiri kuwa huyo ndiye aliyekuwa Ex boy friend wake.
Kidume nikampiga marufuku lakini ameendelea kuwasiliana naye mpaka mwezi uliopita licha ya kufikisha mpaka kwa wazee mara kadhaa kwa sababu hiyo.

Sasa najua kuna wataalamu wa mambo ya mahusiano humu ambao mnaweza kunisaidia nifanyaje kwa sababu ki ukweli naelekea kuachana naye kwa sasa.
Mkuu kama umeona manyoya ujuwe.....
 
Sasa miaka 10 ya pamoja umuache kisa ex? Chukua line vunja vunja msajilie nyingine problem solved.
Baada ya kuvunja lain utagundua je ni yule jamaa huwa anamfuata mkeo au ni mkeo humtafuta huyo ex wake baada ya hapo utajua cha kyfanya
 
mtafute huyo anayeitwa X, mwambie utamtanguliza mbele za Haki akiendelea na tabia yake, huyo mke fungia ndani tandika mangumi mpaka aitapike hiyo namba....., baada ya hapo wasikilizie, its either wataacha au wife atakimbia mwenyewe (hii ndo itakuwa poa siyo wewe eti unakusanya wazee)
 
Akili zangu zinanipeleka huko kwa zaidi ya 80% na ndiyo maana nafikiria kumpiga chini.ila nikiwaza watoto ndo nachanganyikiwa kabisa
Hata Hao watoto sio wako.
Kuna wanawake huwa wanaokuwa ili kutimiza mahitaji yao ya kifedha, kimwili anarudi Kwa mpenziwe wa mwanzo na atamzalia watoto ndani ya ndoa yako.
 
Na wewe tafuta mschana mdogo ambaye utakuwa unaongea naye hadharan. Akikuuliza mwambia ni X wako. Tena mweke kwenye profile yako kabisa. Nafikiri atajirekebisha. Na ikiwezekana mnunulie marashi mazuri na makali ili siku umemgegeda urudi unanukia. The akikuuliza mwambie kuna staff nafanya naye kazi tulipishana labda ndo harufu yake
 
Hata picha ya profile usimwambie ni ya x, just mwambie imejiweka bila kujua., akisema itoe toa, baada ya wiki weka tena. Jibu liwe hilohilo. In short mpe majibu ya kumuudhi tu. Huwa wanaumia sana wanawake kufanywa wajinga
 
Huyu jamaa anafanya shughuli gani? Angalia kama shughuli zake au mizunguko yake inaweza kukupa nafasi ya kumdhuru, mmalize asee. Ila kua makini jela ipo.

Mimi mpaka nilipofikia hapa, nilishakataa kusumbuliwa akili na mwanamke, nitaumizwa kichwa na maisha pamoja na kuandalia watoto maisha yao ya baadae siku nisipokua duniani.

Ukiona mkeo anawezakukufanya usiishi kwa amani au unaweza kuharibu maisha yako kwa kupata ulemavu au kwenda jela nakushauri achana nae kisha lea watoto wako.

Kama huyo wako anaongea nini na huyo ex wake kwa miaka yote hiyo na yeye keshakua mke wa mtu?.
 
tafuta sehemu uende na mkeo mbal na nyumban mkakae hata siku kadhaa katika mahaba mazito muoneshe jinsi unampenda na muulize akikuta unafanya hvyo atafanyaje ?? mwambie hupend HIYO TABIA pia mfanyie vitu hujawah fanya kwake na some gift mpe huko huko....na amwambie huyo ex wake by force kuwa mume wake hatak tuwasiliane


ASIPOACHA MKUU ntakwambis cha kufanya ....
 
Tafuta na wewe miongoni mwa ma Ex zako,uwasiliane nae. Ngoma draw. Wanaume wa dar punguzeni kulalamika
Tatizo la kurudiana na ma ex ni risk ya maradhi.Utarudiana na ex kumbe nayeye anaex wake wamerudiana,imagine hiyo chain ilivyo ndefu mkuu!!
 
Mim siwez kuoa mtu nisiyemjua vizur,afadhal nikaoa ndugu yang kuliko upuuz wa hiv, mtu mnakutana sijui chuo ,sijui kazin au kwny party mnaamua kuoana bila kujua background ikoje, ni Bora ukasome then uje kuoa mtu aliyekuwa Unamuona, mtaime akifika f4 au hata f6 ( kikubwa uwe serious na kutafuta pesa, women are dreamless)kikubw usimnyanyase tu mtoto wa watu., Huwez kusikia upuuz wa hiv en mtu kama huyu huw Hana series ya maex
 
Dah, kwanza una moyo mpaka kupeleka kwa wazee maana hiyo ni aibu, binafsi ikitokea na ikathibitika hakuna mjadala ni kufunga virago tu, kama watoto hata mwehu anazaa ntashindwaje mie mzima kuwatunza. Akili za wanawake wanajua wao na ukiendekeza vijitabia vyao ndo utajikuta umejinyonga tu.
 
Back
Top Bottom