Mke wangu anapenda kuwasiliana na Ex wake

Acha kufuatilia sana,, kila mtu ana past zake,, ukiona anazikumbuka sana jua viatu ulivyo vaa havikutoshi ukilinganisha na X wake,, jiangalie wapi ulipojikwaa kisha anza upya mwendo kwa kwenda mbele wala usimuache
 
usimuulize tena Mkuuu....we mkaze vema tuu,
halafu jitahidi na wewe kuwasiliana na ex wako ila kwa wema tuu sio kukumbushia ila endelea kumkaza vizuri ataanza kuona wivu tuuu huyooo
cc:
sakayo evelyne salt snowhite khantwe
 
Mwenye tatizo ni wewe. Nani kakwambia uchunguze chunguze simu ya mkeo? Usingekuwa na kihere here cha kuigusa gusa wala usingefika hapa. Mwache arudi mme mwenzako akafaidi wewe urudi kupiga puli!
Ngoja ukuwe ndo utayajuwa kwa sasa endelea kula chakula cha foleni.Hili ndo tatizo la kuomba msaada mbele za watoto wadogo
 
Angalia kama humpelekei moto vizur ndio tatzo hasa..

Ila hawa viumbe hawaelewek, unaweza ukawa unamkaza vizur lakin akawa anamisi tabasamu, macho, hata foreplay ya mchiz, au kuna kiti kingine, au usikuye x wake alikuwa anamla kisamvu cha kopo, huwez jua, jaribu kumuwekea mazingira rafik awe muwazi kwako,

Ikishindikana muachr mkuu anaweza akakutia matatani bure. Usije mshindilia jambia.
 
Kuibiwa kupo maana hata sisi tunaiba wake za wengine swala ni kuona dalili zote miaka yote hiyo halafu hujafanya swala la kiume...ndo maana linaendelea. Mi kuna mmoja alikuwa akimpigia pigia simu wife nikainyaka namba kimyakimya nikamsaka nikampata hatasahau... na wife nikarudi nikamwambia tu endelea kutongozwa unachekacheka mpaka leo heshima..... hata kama akiendelea ila tu nisijue lolote
 
Kama hujaicopy mahali,,, you are truly a genius ma'am! !
 
Hahahaha yaaani kama ndo mimi unanichimba biti kama hilo nitacheka sanaaa alafu nitaendelea kuwasiliana na mkeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…