gwijimimi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2011
- 7,344
- 3,610
Awe makini.na.nn sasa wakati its obvious anayombewaBro unatombewa kuwa makini
Angekua hajatombewa sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Awe makini.na.nn sasa wakati its obvious anayombewaBro unatombewa kuwa makini
Tumefunga ndoa sasa yeye na mimi ni mwili mmoja,chake changu,changu chake nitaachaje kuchunguza?
Awe makini.na.nn sasa wakati its obvious anayombewa
Angekua hajatombewa sawa
Etiii...?
Awe makini.na.nn sasa wakati its obvious anayombewa
Angekua hajatombewa sawa
Ahhahaha I keep finding t very weird aiseeeAwe makini asiendelee kuliwa mali zake
Wanamsema sanaAchana nae aende kwa huyo x wake maana hajitambui. Una mkaza vizuri lakini!?
Joseverest unalala sana siku hizi, tatizo nini mkuu!?
usimuulize tena Mkuuu....we mkaze vema tuu,Habari zenu Ndugu zangu,jamaa na marafiki zangu.
Hoja iko hivi, nina mke ambaye nimedumu naye kwa mwaka karibu wa 10 na Mungu kanijalia watoto kadhaa.
Ki ukweli tunaishi vizuri mno.ni mnyenyekevu,msafi na ni mzuri mno.
Ila miaka miwili tu baada ya kumuoa nilibaini namba moja ambayo alikuwa haja isave ila ilikuwa ndiyo namba ambayo ilikuwa imepigwa mara nyingi sana.
Nilimbana mpaka akaja akakiri kuwa huyo ndiye aliyekuwa Ex boy friend wake.
Kidume nikampiga marufuku lakini ameendelea kuwasiliana naye mpaka mwezi uliopita Licha ya kufikisha mpaka kwa wazee mara kadhaa kwa sababu hiyo.
Sasa najua kuna wataalamu wa mambo ya mahusiano humu ambao mnaweza kunisaidia nifanyaje kwa sababu ki ukweli naelekea kuachana naye kwa sasa
Ngoja ukuwe ndo utayajuwa kwa sasa endelea kula chakula cha foleni.Hili ndo tatizo la kuomba msaada mbele za watoto wadogoMwenye tatizo ni wewe. Nani kakwambia uchunguze chunguze simu ya mkeo? Usingekuwa na kihere here cha kuigusa gusa wala usingefika hapa. Mwache arudi mme mwenzako akafaidi wewe urudi kupiga puli!
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Shukuru sijakufuma maana kuna kipisi cha shoka masalia ya banya mlenge nakinoa na kuridisha ndani kila mwezi.Tupa ya sita hii inaishia kwenye hilo shoka na halijawahi kumpata ninaye mtafuta
Kama hujaicopy mahali,,, you are truly a genius ma'am! !Kuna vitu vingi sna baadh ya wanaume mkioa mnaviacha,Mpka mtu anawasilian na ex wake ndani hakuko salama,kunavitu umemss alafu kwako unachukulia poa,Kwa mwenzio haviko poa labda humkuni akakunika,labda humkojoz anavyotaka,unampa zawadi,unatoka nae mitoko y maana,Huna gubu?wengine kitu kidog ataongea miez 6 anaon bora awasilian na ex wake acheke,Kuacha mke sio tiba jiulize sehem gan umepwaya
Hahahaha yaaani kama ndo mimi unanichimba biti kama hilo nitacheka sanaaa alafu nitaendelea kuwasiliana na mkeoKama una uwezo iba namba ya uyo Ex wake....mtafute mchimbe bonge la biti muulize kama ashawahi kutolewa malinda...mjambishe aswaaaa then mfuate mkeo naye mjambishe mwambie huoni hasara kuua mtu...mwambie utampoteza kwenye uso wa dunia uyo ex wake kma bomu lilopiga hiroshima kuwa hutaacha ata vumbi la kuzika
Yeye mbona hawawazi Watoto?Akili zangu zinanipeleka huko kwa zaidi ya 80% na ndiyo maana nafikiria kumpiga chini.ila nikiwaza watoto ndo nachanganyikiwa kabisa
kama kifua unacho, hack account yake ya whatsapp, utaziona chats zao na mipango yao, nami iliwahi nitokea hv, nilifanya hivyo hivyoKifua ninacho kikubwa tu.jaribu kufikiria toka 2008 ndiyo jukwaani nakuja leo.nimevulia sana