Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Umezingua hapaMwenye tatizo ni wewe. Nani kakwambia uchunguze chunguze simu ya mkeo? Usingekuwa na kihere here cha kuigusa gusa wala usingefika hapa. Mwache arudi mme mwenzako akafaidi wewe urudi kupiga puli!
Kwa hiyo polisi ndiyo wenye matatizo/ makosa kisa wanawakamata wezi/wahalifu na wasingewakamata wizi au uhalifu usingekuwepo . Kwako unaona ni bora tusihangaike kutafuta wahalifu ilihali tunajua wapo ila tujiaminishe hawapo kwa kutokuwatafuta.
Ndicho ulichokiandika hapo juu kwa lugha nyingine.
Kulaumu njia iliyobaini tatizo ni kujipa moyo tatizo halipo kisa tu haujaweka njia ya kulibaini tatizo ilihali unajua fika tatizo lipo.