Mke wangu anapenda kuwasiliana na Ex wake

Jamani wanawake bwana na sie?? Huyo jamaa labda hata alimtendaga na alimuacha solemba leo kapata mtu wa kumweka ndani ndo kwanza busy kuchat na yule yule aliemliza huko nyuma. Ila ndo hivyo maisha yalivyo tuvumilianeni na kurekebishana kwa upendo
 
Pole sana Mkuu, inaonekana shemeji kuna mambo bado anayamiss kwa jamaa. Jitazame upya
 
mara nyingi wanaume wanaoolewa nao wanawake si waliopenda kwa dhati bali ni circumstances za maisha. hivyo wanakuwa na watu waliokuwa nao way back na 'waliwakuna' ipasavyo-mathalan mwanaume aliyekua nae college au from secondary school-hawa huwa ni vigumu kuwatoa kichwani. nilishakua na uhusiano na binti from alevo to univ, then she got married na jamaa mwingine ambaye alikuwa serious nae kuliko mimi. hakuniambia na hadi leo hajawahi niambia kama ameolewa, ingawa anajua ninajua kua ameolewa . but amekua akiinsist tuendelee kuwasiliana. najisikia vibaya na ninamkwepa mara nyingi as yy yuko arusha mm niko dom.

muhimu mkuu muweke wazi kuwa huhitaji kuendelea kuona mawasiliano baina yao.
Kabisa kabisa!
 
Hapo nimekusoma mkubwa.ngoja nipashe kisawa sawa ili nikifika nimtishie hata kumgeuza eti eeeeee?
Nakusubili unitafute unipige na huo mkwara wako, uone kasheshe nitakalo kufanyia sio la inchi hii[emoji13] [emoji13] (Jokes)

Duuh pole mkuu, kuna kitu zaidi ya mawasiliano haiwezekani ex waachane zaidi ya 10yrs halaf bado wanawasiliana.

DNA ihusike kwa wanao huenda miungoni wa watoto wenu kati ya 3 wakwako ni 1 ndo maana jamaa anaendelea kumtafuta ili apate habari kuhusu wanae. Kwenye ndoa kuna mengi sana ya ajabu ajabu ila mengine tunakufa nayo
 
Mtoa mada. Point ninayoiona hapa ni mke wako angeacha kuwasiliana na x wake maana wewe hupendi.ila hizi negativity za kuconnect et kwamba kuwasiliana na x wako ni mambo ya mapenzi nakataa.mimi shahidi nimeolewa na ninampenda sana mume wangu kuliko kitu chochote hapa duniani ila kuwasiliana x wangu sioni shida. Nawasiliana naye vizuri tu na tunaheshimiana sana.kuachana haimaanishi kwamba ndio kuwa maadui noo eti hadi ndo mnuniane sijui nini woiiìii.nimeolewa na ameoa pia but kusalimiana na kuongea mambo ya kimaisha tunafanya hivyo na hakuna mambo ya mapenzi.so tusikariri eti kwamba kuwasiliana na x ni mapenzi au sijui unampenda zaidi ya uliyenae sasa maana sio kweli. Muhimu ni Heshima iwepo.yaani kama ni tabia ya mtu kucheat atacheat tu hata kwa hao wengine ambao sio x.so unaweza mzuia kwa x kumbe yuko kwingine.
 
Inawezekana upigi mashine vizurii.......kumjaza ujauzito sio inshu inshu unamfikisha kilelenii.....?mlie kasumbaresa......
 
Mtoa mada. Point ninayoiona hapa ni mke wako angeacha kuwasiliana na x wake maana wewe hupendi.ila hizi negativity za kuconnect et kwamba kuwasiliana na x wako ni mambo ya mapenzi nakataa.mimi shahidi nimeolewa na ninampenda sana mume wangu kuliko kitu chochote hapa duniani ila kuwasiliana x wangu sioni shida. Nawasiliana naye vizuri tu na tunaheshimiana sana.kuachana haimaanishi kwamba ndio kuwa maadui noo eti hadi ndo mnuniane sijui nini woiiìii.nimeolewa na ameoa pia but kusalimiana na kuongea mambo ya kimaisha tunafanya hivyo na hakuna mambo ya mapenzi.so tusikariri eti kwamba kuwasiliana na x ni mapenzi au sijui unampenda zaidi ya uliyenae sasa maana sio kweli. Muhimu ni Heshima iwepo.yaani kama ni tabia ya mtu kucheat atacheat tu hata kwa hao wengine ambao sio x.so unaweza mzuia kwa x kumbe yuko kwingine.
Huyo ex wako unawasiliana nae sana kwasababu zipi? kuna biashara gani mnafanya? Umezaa nae kwamba unampa taarifa za maendeleo ya Mtoto wake? Kilichokuwa kinawaunganisha ni Mapenzi hayapo tena kila Mtu amemove on hayo mawasiliano tena ya nn? Wewe kwako sio tatizo je unafikiri yule Mke wa huyo ex wako akilijuwa hilo nae atakuwa katika position gani?
Hapo unatafuta matatizo ya kujitakia katika Ndoa yako, hakuna Mwanaume anaekubali ujinga wa kiasi hicho na ukiona Mumeo amekubali hilo juwa nae ni Mume Bwege au yupo hatua 10 mbele yako!!!
 
Wala hakuna matatizo ninayitafutia ndoa yangu mpendwa.mpaka nasema yes I do nilikuwa na akili zangu timamu.Nimempenda mme wangu from my heart na niliahidi kuwa mwaminifu kwake hadi kifo kitutenganishe.haya mawasiliano ya x nimekupa sababu hapo juu.hatuna mtoto nae.kisalimiana na kuongea life mimi sioni shida.hakuna mapenzi na haitakuja tokea. We respect each other.ni ujinga tu na watu wasiojiamini kuona shida mwezie kuongea na x mambo ya kawaida mradi tu mipaka isivukwe.narudia tena kuachana sio uadui na pia kama ni tabia ya mtu kucheat hata upambane nae vipi atacheat tu.kama sio kwa x basi kwa mwingine, tena katika ulimwengu huu wa sasa ambao mke wa mtu na pete zake juu mwanaume kumtongoza haoni shida ni mara chache sana mwanamke utakuta atacheat na X.wengi wanacheat na watu wanameet nao kazini ama kwenye pilikapilika za maisha.
 
Na Mume wako anajuwa kuwa unawasiliana huyo ex wako? By then kutowasiliana haimaanishi kuwa mmegombana lahasha, ila kumbuka kuwa ukaribu wenu ulitokana na mahusiano ambayo hayapo hayo mnayoongea ya maisha ni yapi? Pia hatukatai Mwanamke anaweza toka na Mwanaume tofauti na huyo ila huyo anakuwa amedhamiria kuanzisha mahusiano mapya tofauti na ex ambae ni kukumbushia tu ukizingatia wengine wanaachana huku wanapendana. Aidha kama huyu anakuona ww ni wa maana wa kuongea na wewe kuhusu maisha kwanini hakukuoa ili hiyo Mipango muifanikishe kwa pamoja?
 
Tatizo la kurudiana na ma ex ni risk ya maradhi.Utarudiana na ex kumbe nayeye anaex wake wamerudiana,imagine hiyo chain ilivyo ndefu mkuu!!
Umeona wapi nimeandika urudiane nae ?? Kuwaisliana haimaanishi mnarudiana
 
Bado jamaa anampa Dudu Mkuu. STUKA!

Habari zenu ndugu zangu, jamaa na marafiki zangu,

Hoja iko hivi, nina mke ambaye nimedumu naye kwa mwaka karibu wa 10 na Mungu kanijalia watoto kadhaa.

Ki ukweli tunaishi vizuri mno ni mnyenyekevu, msafi na ni mzuri mno.
Ila miaka miwili tu baada ya kumuoa nilibaini namba moja ambayo alikuwa haja isave ila ilikuwa ndiyo namba ambayo ilikuwa imepigwa mara nyingi sana.

Nilimbana mpaka akaja akakiri kuwa huyo ndiye aliyekuwa Ex boy friend wake.
Kidume nikampiga marufuku lakini ameendelea kuwasiliana naye mpaka mwezi uliopita licha ya kufikisha mpaka kwa wazee mara kadhaa kwa sababu hiyo.

Sasa najua kuna wataalamu wa mambo ya mahusiano humu ambao mnaweza kunisaidia nifanyaje kwa sababu ki ukweli naelekea kuachana naye kwa sasa.
 
Akili zangu zinanipeleka huko kwa zaidi ya 80% na ndiyo maana nafikiria kumpiga chini.ila nikiwaza watoto ndo nachanganyikiwa kabisa[/QUOTE]

Hayo yote tisa, kumi nakushauli ukacheki DNA na hao unaowaita wanao
 
Na Mume wako anajuwa kuwa unawasiliana huyo ex wako? By then kutowasiliana haimaanishi kuwa mmegombana lahasha, ila kumbuka kuwa ukaribu wenu ulitokana na mahusiano ambayo hayapo hayo mnayoongea ya maisha ni yapi? Pia hatukatai Mwanamke anaweza toka na Mwanaume tofauti na huyo ila huyo anakuwa amedhamiria kuanzisha mahusiano mapya tofauti na ex ambae ni kukumbushia tu ukizingatia wengine wanaachana huku wanapendana. Aidha kama huyu anakuona ww ni wa maana wa kuongea na wewe kuhusu maisha kwanini hakukuoa ili hiyo Mipango muifanikishe kwa pamoja?
Kuhusu mume wangu kujua am sure anajua coz sisi hatunaga privacy simu yake yangu na yangu yake.smtms messages zinaingia kwa simu yake kama yuko busy ananiambia nimsaidie kujibu ama kupokea simu.na mimi vilevile kwanza nina tabia ya kupokeaga simu yeyote ile naziweka loudspeaker.nimezoea tu hivyo.iwe niko mwenyewe na friends ama mume wangu nshazoea kuweka loud.Kwenye kuongea kuhusu maisha haimaanishi kwamba muwe mmeoana Ndio muweze kushare what u think kitamsaidia mwenzako hapana kinacholeta mahusiano sio mapenzi tu kuna vitu vingi .na ndo maana kuoa/ama ukiolewa haimaanishi kwamba sasa usiwe na marafiki wa jinsia tofauti na wewe hapana smtms unahitaji kuwa wewe kama wewe. Huyu X tulikaa kwenye mahusiano almost three years na kulikuwa kabisa na uwezekano wa kuendelea nae but tayari nikawa nimefall kwa mume wangu basi tukaachana. Na pia sio kila X kwamba huenda umempenda sana japo mmeachana no.wengine unakuta amependa zaidi mwingine akaona tu atafute namna ya kuachana kwa amani.mi before nilikuwa naona kwa x nimefika ila baada ya kupata ajira nikakutana na mume wangu yaani moyo ulikuwa unanienda mbio nikikutana nae(japo nilikuwa na mpenzi kumbuka ambaye ndo X sasa). Asante Mungu kaniweka ndani.
 
Kuhusu mume wangu kujua am sure anajua coz sisi hatunaga privacy simu yake yangu na yangu yake.smtms messages zinaingia kwa simu yake kama yuko busy ananiambia nimsaidie kujibu ama kupokea simu.na mimi vilevile kwanza nina tabia ya kupokeaga simu yeyote ile naziweka loudspeaker.
Emoj, ahsante sana., kwahiyo kwa maelezo hapo juu ni kuwa ww mwenyewe huna uhakika kama Mumeo anajuwa kuwa huyo unaewasiliana nae ni ex wako au laah na yeye wala hajawahi kukuliza au sio? Kwahiyo bado hujajuwa kuwa nae akifahamu hivyo atalichukuliaje hilo ama sivyo bi Emoj? Ila inawezekana kwako ww sio tatizo, je ushajiuiza na kwa huyo Mke wa Ex wako yeye anaichukuiaje hali hiyo ya ww kuwasiliana na Mumewe?
Hivi kama kila Mtu anafamilia yake kuna haja gani ya kujuwa maendeleo ya ex wako ukizingatia kila Mtu ameshajenga himaya yake au bado unawivu nae?
Ila hilo la kuweka simu yako loudspeaker ukiwa na marafiki zako nimelipenda, ila je hata akikupigia Mumeo huwa unafanya hivyo hivyo?
 
Habari zenu ndugu zangu, jamaa na marafiki zangu,

Hoja iko hivi, nina mke ambaye nimedumu naye kwa mwaka karibu wa 10 na Mungu kanijalia watoto kadhaa.

Ki ukweli tunaishi vizuri mno ni mnyenyekevu, msafi na ni mzuri mno.
Ila miaka miwili tu baada ya kumuoa nilibaini namba moja ambayo alikuwa haja isave ila ilikuwa ndiyo namba ambayo ilikuwa imepigwa mara nyingi sana.

Nilimbana mpaka akaja akakiri kuwa huyo ndiye aliyekuwa Ex boy friend wake.
Kidume nikampiga marufuku lakini ameendelea kuwasiliana naye mpaka mwezi uliopita licha ya kufikisha mpaka kwa wazee mara kadhaa kwa sababu hiyo.

Sasa najua kuna wataalamu wa mambo ya mahusiano humu ambao mnaweza kunisaidia nifanyaje kwa sababu ki ukweli naelekea kuachana naye kwa sasa.
Mkuu naomba unisamehe lile biti ulinipiga mm. Kama umefikia hatua hyo, i better let ur wife
 
Back
Top Bottom