Mke wangu anapitia wakati mgumu sana hadi nimemuonea huruma

Hii mbinu lazima mwanamke akimbie nyumba au aitishe kikao cha dharura pande zote mbili
 
Kwaio mkuu ulitaka ukimkamata achangamke? She is too smart for that, anajua wewe una vihuruma ndio maana anaigiza hivyo, and yes hajakosea, umesamehe kama alivyotarajia.

Kujitilisha huruma ni moja ya silaha KUBWA sana ya wanawake.Apo sio muda wewe ndo kibao kitakugeukia, utaanza kuona guilty kwa hali uliyomfanya apitie.

Mke Mzinzi sio mtu bro.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Umeshindwa mapema vibaya mno.
Mapema hii umemuonea huruma?
Mnalala chumba kimoja?

Very soon mnaanza kukulana.
Na muda mfupi watarudiana..

Mwanamke msaliti haachagi mkuu
 
Lakini wakati mwingine na sisi wanaume huwa wababe sana! Hivi sisi wanaume huwa hatuchepuki na ma X wetu? Basi unefanya vizuri kumsamahe, hilo tanuru alilopitia limemtosha! Mpige mashine mpaka aseme basi, hiyo ndiyo iwe adhabu nyingine!
 
Lakini wakati mwingine na sisi wanaume huwa wanabe sana! Hivi sisi wanaume huwa hatuchepuki na ma X wetu? Basi unefanya vizuri kumsamahe, hilo tanuru alilopitia limemtosha! Mpige mashine mpaka aseme basi, hiyo ndiyo iwe adhabu nyingine!
Sikutegemea kama ingemfanya awe na hali mbaya namna hii, yupo katika hali mbaya sana ya majuto
 
Yote ya nini we nunua panga jipyaaa,, kila siku amka asubuhi noaaa rudisha ndani,, jioni ukirudi toka mishe zako chukua panga lako noaaa rudisha ndani,, kesho tena ivyo ivyo,, haki ya nani siku tatu nyingi utakua umerudisha heshima ya kiume..
 
Kama unaweza tafuta sababu halisi kwanini alichepuka? Ndoa yenu ina miaka mingapi? Bila kutatua chanzo cha kuchepuka- hali itajirudia. Inawezekana na wewe mwenyewe unatakiwa kwenda darasani - wanaume wengi wanadhani wanajua kumbe - hawajui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…