Mke wangu anapitia wakati mgumu sana hadi nimemuonea huruma

Mke wangu anapitia wakati mgumu sana hadi nimemuonea huruma

Mimi ningeendelea na huo utaratibu kama miezi 2 hivi halafu ndio ningeanza kufikiria kumsamehe tena ikiwezekana hadi awaite Raia wake muhimu na masharti yangu konki.

Mbona angesanda.
 
Tatizo kubwa lilianza pale nilipogundua anachepuka na ex wake. Baada ya kuligundua hilo sikutaka kuchukua hatua za shari sana papo kwa papo, bali nilichukua hatua ambazo mpaka leo anashindwa kuelewa afanyeje, sasa imefikia hatua muda wote ni analia tu, saiklojia hayupo sawa na kama anataka kuchanganyikiwa hivi.

Baada ya kugundua kwamba anachepuka nilichukua maamuzi yafuatayo

1. Siku hiyo hiyo niliyogundua sikutaka kumuuliza kama ni kweli au siyo kweli kwa sababu nilishajihakikishia kwa asilimia 100.

2. Sikula Chakula chake, nilifika naingia jikoni na kuandaa Chakula mwenyewe (hii imeendelea hadi leo)

3. Najitahidi sana niwahi kurudi nyumbani tofauti na siku za nyuma.

4. Tukilala kitandani mimi nageukia mzungu wa nne.

5. Tangia siku hiyo sijawahi kumuomba unyumba(japo anaweka mazingira ya jambo hili kila siku)

6. Akiniuliza namjibu kidogo alafu naendelea na utaratibu wangu.

7. Kila kitu najifanyia hadi nguo chafu zote za kwangu nakusanya na kufua mwenyewe nikapata nafasi(Ninapokuta amezifua narudia kufua)

8. Simtukani wala kumuongelesha vibaya bali nafanya mambo yangu ndani ya nyumba kivyangu.

9. Baada ya kuona hivyo, akasema anataka akaonane na Mama yake(ilikuwa Ijuma usiku, nikampatia nauli muda huo huo na kumwambia asubuhi na mapema aende, ghafla akasema ameahirisha hadi sasa yupo)

10. Nimeacha kuchangia naye kitu chochote ndani ya nyumba isipokuwa sehemu ya kulala tu(kitandani na penyewe mzungu wa nne au nalala sebleni wakati mwingine).

Sasa leo ni siku ya 6 tangia nimeanza kuishi hivyo na mke, mke wangu amenyongonyea ghafla, amekonda, amekuwa mtu wa mawazo na wasiwasi muda wote.

Katika kipindi hiki chote alijua sababu ya mimi kuishi hivyo ni yeye kuchepuka, hii ni baada ya jana jioni kuniita Chumbani na kusema anajutia sana kufanya vile na hatarudia, jambo baya zaidi akasema ameshafikiria mara mbili kunywa Sumu, anaona hana thamani tena kwangu, Dah [emoji24][emoji24] nilimwonea huruma sana na nikahamua kumsamehe tuendelee na maisha lakini naona hali haijabadilika kwake yaani ni mtu wa mawazo na wasiwasi muda wote, kiufupi anapitia wakati mgumu sana.

Wito kwa wanaume na wanawake hasa wanaoishi pamoja kama mke na mume kwa namna yeyote ile, kupigana siyo adhabu tosha ya kusuruhisha migogoro, mimi huyu mwanamke nimempa adhabu hiyo lakini naona imemnyosha kweli kweli japo naona kabisa imemuharibu kisaikolojia kabisa.

Nakumbuka msemo mmoja wa Siraha ya mnafiki ni mchozi yake mwenyewe brother nachelea kuamini kuwa mpaka hapo umepigwa chenga ya mwili we mlaini kabisa adhabu siku 6 ndio ilete sherehe za kuwa ume win na kushauri watu watumie mbinu yako aise huwajui wanawake bado sana kwahiyo unahisi alivyo kuwa akilia ndio anajuta [emoji23] brother nakupa miez 3 mpaka 6 utakamata tena mawasiliano yao tena anaombwa akapigwe tena mashine [emoji23] hayo ndio madhara ya kuoa wanawake walio fumuliwa tayari
 
Wanaaake wasanii anakuchezea usanii. Mwanamke akishapenda yupo tayari kupoteza kila kitu kwa ajili ya mwanaume anayempenda, ni dhahiri hadi akkachepuka na msela ni kuwa wewe haumo moyoni mwake.
 
Kununa hajujawahi kua suluhisho la kudumu kwenye migogoro Kama hiyo.

Ulichokifanya Ni kana kwamba uyo mwanamke ni unaiba tu (Mchepuko au hawala yako).
Hujaonesha Yale makucha na mAmlaka ya kiume kuonesha umekasirishwa na alichokifanya.

Na kwasababu umemsamehe kirahisi Sana, nna imani atachepuka Tena maana keshakusoma una moyo mwepesi Sana wa kusamehe haraka.

Ulitakiwa uoneshe advertise Moja matata Sana kama unamwacha Moja kwa moja.
(Hata Kama huna.mpango wa kumuacha)

Pia uyo ex wake nae umchimbe mkwara mzito Sana kwamba umejua na akiendelea dawa yake inachemka. Ajutie kabisa Ujinga aliufanya. Yaan ikiwezekana uyo kijana ndio amkimbie mkeo.

Unapojificha eti unanuna na hufunguki kwa pande zote mbili kilichokukasirisha. Eti unajifulia nguo n.k
Huo unakua Ni ufala.

Wote wanakuona Ni mwanaume mwenye wivu sana na kisirani tu. Na ulivosamehe kirahis wameshakuchora Ni mwanaume kisirani na laini asiye na msimamo kabisa.

BE A MAN and be a HUSBAND[emoji120]
Simamia ndoa yako, ilinde familia yako
t]Tena kwa siku sita tu unamsamehe ilitakiwa hata mwezi,sema na yeye ngenye zilimzidi tu kapga mzgo kesi imeisha.
 
This shit happens for idiots man

Solutions is to make sure you fucking the Ex of your wife .... Or divorce sad when someone trying to steal ur joy
 
Yote ya nini?? Kama amediriki kuchepuka basi ni dhahiri hathamini penzi lako wala utu wako.

Maradhi mengi siku hizi ya nini kuleteana vifo mapema. Mwenye asili yake haachi. Leo ka cheat na X kesho ata cheat na Y yote akijua adhabu itakuwa kununiwa na yeye atajinyong'onyesha na wewe utasamehe.

Pale ulipogundua kacheat ndipo palipaswa pawe ukomo wa ndoa yenyewe. Mpaka wewe kujua inamaanisha aidha aliamini sana 'ujanja' wake ama alitambua kuwa wewe ni mpumbavu kwake.

Niamini hata mkisameheana hutomuangalia kwa mtazamo ule ule tena kabla ya kumkamata, daima atakuwa msaliti kwako hivyo adhabu ni yenu wote.

Umeongea point tupu hapo hakuna mke yaan mtu kachepuka unanuna siku 6 halafu unajisifu kuwa kanyooka yaani mwanamke ameonyesha dharau ya kiwango cha juu kwa jamaa kwanza jiulize kama ni kweli anakuheshimu na kukupenda kwanini aruhusu mawasiliano ya siri kati yake na X kwanin amfuate au amwite mpaka waingie chumbani amvulie nguo atombwe afiche siri mpaka wewe ukagundua kwa mbinu zako inamaana usingejua je angetubu na kulia kama alivyo fanya baada ya kujulikana jiulize ni nini wanaongea juu yako na ndoa yenu kitendo cha mkeo kutombwa na X wake tena tafsiri yake ni kuwa bado anampenda na bado anamkumbuka alivyo kuwa akimfanya thamani ya X wake bado ipo moyoni mwake yaaan wewe bado hujafikia viwango vya kumfanya amsahau X wake hivyo utapata tabu sana ikiwezekana utaambukizwa magonjwa ufe kabla ya wakati kama wewe ni Mkristo tambua usariti ndio kosa pekee linalo ruhusu kuvunja ndoa
 
Yote ya nini we nunua panga jipyaaa,, kila siku amka asubuhi noaaa rudisha ndani,, jioni ukirudi toka mishe zako chukua panga lako noaaa rudisha ndani,, kesho tena ivyo ivyo,, haki ya nani siku tatu nyingi utakua umerudisha heshima ya kiume..

[emoji23] [emoji23] ungeza na rungu
 
This is One Very Big Mistake....,,, Ulitumia Hisia badala ya Akili......Yaani ulishindwa kutimiza lile agizo la biblia la kuishi nao kwa Akili.......

Lingine pia Umetoa Msamaha kizembe sana,,,,huyo Muhuni hajajifunza lolote....KUACHA mwanamke inahitaji kuwa MWANAUME kweli..,,,na kama huna uwezo wa kuacha basi hata ungeonyesha kuacha huenda ingebadilisha lolote....

Be a Man, Stay Taliban...

ROBERT HERIEL aliwahi kusema Usimuonee huruma Mwanamke

"Be a Man, Stay Taliban"
🤣🤣
 
Tatizo kubwa lilianza pale nilipogundua anachepuka na ex wake. Baada ya kuligundua hilo sikutaka kuchukua hatua za shari sana papo kwa papo, bali nilichukua hatua ambazo mpaka leo anashindwa kuelewa afanyeje, sasa imefikia hatua muda wote ni analia tu, saikolojia hayupo sawa na kama anataka kuchanganyikiwa hivi.

Baada ya kugundua kwamba anachepuka nilichukua maamuzi yafuatayo

1. Siku hiyo hiyo niliyogundua sikutaka kumuuliza kama ni kweli au siyo kweli kwa sababu nilishajihakikishia kwa asilimia 100.

2. Sikula Chakula chake, nilifika naingia jikoni na kuandaa Chakula mwenyewe (hii imeendelea hadi leo)

3. Najitahidi sana niwahi kurudi nyumbani tofauti na siku za nyuma.

4. Tukilala kitandani mimi nageukia mzungu wa nne.

5. Tangia siku hiyo sijawahi kumuomba unyumba(japo anaweka mazingira ya jambo hili kila siku)

6. Akiniuliza namjibu kidogo halafu naendelea na utaratibu wangu.

7. Kila kitu najifanyia hadi nguo chafu zote za kwangu nakusanya na kufua mwenyewe nikipata nafasi(Ninapokuta amezifua narudia kufua)

8. Simtukani wala kumuongelesha vibaya bali nafanya mambo yangu ndani ya nyumba kivyangu.

9. Baada ya kuona hivyo, akasema anataka akaonane na Mama yake(ilikuwa Ijumaa usiku, nikampatia nauli muda huo huo na kumwambia asubuhi na mapema aende, ghafla akasema ameahirisha hadi sasa yupo)

10. Nimeacha kuchangia naye kitu chochote ndani ya nyumba isipokuwa sehemu ya kulala tu(kitandani na penyewe mzungu wa nne au nalala sebuleni wakati mwingine).

Sasa leo ni siku ya 6 tangia nimeanza kuishi hivyo na mke, mke wangu amenyongonyea ghafla, amekonda, amekuwa mtu wa mawazo na wasiwasi muda wote.

Katika kipindi hiki chote alijua sababu ya mimi kuishi hivyo ni yeye kuchepuka, hii ni baada ya jana jioni kuniita Chumbani na kusema anajutia sana kufanya vile na hatarudia, jambo baya zaidi akasema ameshafikiria mara mbili kunywa Sumu, anaona hana thamani tena kwangu, Dah
emoji24.png
emoji24.png
nilimwonea huruma sana na nikaamua kumsamehe tuendelee na maisha lakini naona hali haijabadilika kwake yaani ni mtu wa mawazo na wasiwasi muda wote, kiufupi anapitia wakati mgumu sana..

Wito kwa wanaume na wanawake hasa wanaoishi pamoja kama mke na mume kwa namna yoyote ile, kupigana siyo adhabu tosha ya kusuruhisha migogoro, mimi huyu mwanamke nimempa adhabu hiyo lakini naona imemnyoosha kweli kweli japo naona kabisa imemuharibu kisaikolojia kabisa.
Sasa baada ya yeye kuomba msamaha na kujutia, ulitakiwa umpe TALAKA na si kuendelea kuishi naye tena.
 
Kununa hajujawahi kua suluhisho la kudumu kwenye migogoro Kama hiyo.

Ulichokifanya Ni kana kwamba uyo mwanamke ni unaiba tu (Mchepuko au hawala yako).
Hujaonesha Yale makucha na mAmlaka ya kiume kuonesha umekasirishwa na alichokifanya.

Na kwasababu umemsamehe kirahisi Sana, nna imani atachepuka Tena maana keshakusoma una moyo mwepesi Sana wa kusamehe haraka.

Ulitakiwa uoneshe advertise Moja matata Sana kama unamwacha Moja kwa moja.
(Hata Kama huna.mpango wa kumuacha)

Pia uyo ex wake nae umchimbe mkwara mzito Sana kwamba umejua na akiendelea dawa yake inachemka. Ajutie kabisa Ujinga aliufanya. Yaan ikiwezekana uyo kijana ndio amkimbie mkeo.

Unapojificha eti unanuna na hufunguki kwa pande zote mbili kilichokukasirisha. Eti unajifulia nguo n.k
Huo unakua Ni ufala.

Wote wanakuona Ni mwanaume mwenye wivu sana na kisirani tu. Na ulivosamehe kirahis wameshakuchora Ni mwanaume kisirani na laini asiye na msimamo kabisa.

BE A MAN and be a HUSBAND[emoji120]
Simamia ndoa yako, ilinde familia yako
we mbona mama J huwa anachepuka
 
Nimesoma uziwako nimejikuta nawaza mambo mengi sana ... kwanza unaonekana unajifariji kanakwamba ume win , umefikia hatua eti ume mwonea huruma mpaka umerejesha majeshi ,hizo ni nyege zimekurudisha lakini naomba upokee huu ukweli mchungu ... huyo mwanamke hakufai ...... ila kama unampenda komaa naye kwasabu mpaka mwanamke awe na mawasiliano na X wake , mpak akubali kuvuliwa nguo na kutombwa aiseee ni process ndefu sana ... sasa yeye kesha tombwa tena siyo mara moja na mpaka wewe ukajua bado umekza siku 6 only then unkuja hapa kujitamba kana kwamba ume shinda ....ngoja nikwambie tu umesha pigwa na kitu kizito kichwani tena ukiondoka anaku zomea ... shtuka man
 
Yote ya nini?? Kama amediriki kuchepuka basi ni dhahiri hathamini penzi lako wala utu wako.

Maradhi mengi siku hizi ya nini kuleteana vifo mapema. Mwenye asili yake haachi. Leo ka cheat na X kesho ata cheat na Y yote akijua adhabu itakuwa kununiwa na yeye atajinyong'onyesha na wewe utasamehe.

Pale ulipogundua kacheat ndipo palipaswa pawe ukomo wa ndoa yenyewe. Mpaka wewe kujua inamaanisha aidha aliamini sana 'ujanja' wake ama alitambua kuwa wewe ni mpumbavu kwake.

Niamini hata mkisameheana hutomuangalia kwa mtazamo ule ule tena kabla ya kumkamata, daima atakuwa msaliti kwako hivyo adhabu ni yenu wote.
you are very right !!!
 
Babee hili zumbukuku nimelipiga movie moja hatari ya kinaija kashanisamehe [emoji23][emoji23] sasa mpenzi nivumilie angalau miezi mitatu nimpotezee maboya huyu pimbi halafu nitakuletea utamu wako sawa mpenzi mic u.

(KINACHOENDELEA INBOX)
 
Back
Top Bottom