KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ujinga ku deal na mgoni wako Sasa uta deal na wangapi ? deal na mkeo maana yeye ndio main characterKununa hajujawahi kua suluhisho la kudumu kwenye migogoro Kama hiyo.
Ulichokifanya Ni kana kwamba uyo mwanamke ni unaiba tu (Mchepuko au hawala yako).
Hujaonesha Yale makucha na mAmlaka ya kiume kuonesha umekasirishwa na alichokifanya.
Na kwasababu umemsamehe kirahisi Sana, nna imani atachepuka Tena maana keshakusoma una moyo mwepesi Sana wa kusamehe haraka.
Ulitakiwa uoneshe advertise Moja matata Sana kama unamwacha Moja kwa moja.
(Hata Kama huna.mpango wa kumuacha)
Pia uyo ex wake nae umchimbe mkwara mzito Sana kwamba umejua na akiendelea dawa yake inachemka. Ajutie kabisa Ujinga aliufanya. Yaan ikiwezekana uyo kijana ndio amkimbie mkeo.
Unapojificha eti unanuna na hufunguki kwa pande zote mbili kilichokukasirisha. Eti unajifulia nguo n.k
Huo unakua Ni ufala.
Wote wanakuona Ni mwanaume mwenye wivu sana na kisirani tu. Na ulivosamehe kirahis wameshakuchora Ni mwanaume kisirani na laini asiye na msimamo kabisa.
BE A MAN and be a HUSBAND[emoji120]
Simamia ndoa yako, ilinde familia yako
Wamama nao ndio wakome na kiherehere!Sikutegemea kama ingemfanya awe na hali mbaya namna hii, yupo katika hali mbaya sana ya majuto
Mkuu bila shaka unaulizia aggregate?Ulipomuoa ulikuta ubao wa matokeo unasomaje ...?
Nimependa jinsi ulivyoliendea Hilo swala yaani kiutuuzima,sina tatizo na wewe kumsamehe,Ila nadhani kuonyesha kwamba umekereka ingebidi ungeamua aende Kwanza kwao akakae kama mwezi hivi apate kujitafakari vizur na kuona ubaya wa kitendo chake au kama wewe ni muislamu waeza kumtenga Kwa kipindi cha miezi minne atie akili Kwanza, hapo inamaana hulali nae kitanda kimoja na hukutani nae kimwili lkn mambo mengine ya huduma yanaendelea kama kawaida, hapo ataujiuliza hapa sijaachwa hivi je nikiachwa itakuwaje.Unapoingia kwenye ndoa na familia lazima uwe tayari kupambana na changamoto kama hizi.
Tatizo kubwa lilianza pale nilipogundua anachepuka na ex wake. Baada ya kuligundua hilo sikutaka kuchukua hatua za shari sana papo kwa papo, bali nilichukua hatua ambazo mpaka leo anashindwa kuelewa afanyeje, sasa imefikia hatua muda wote ni analia tu, saikolojia hayupo sawa na kama anataka kuchanganyikiwa hivi.
Baada ya kugundua kwamba anachepuka nilichukua maamuzi yafuatayo
1. Siku hiyo hiyo niliyogundua sikutaka kumuuliza kama ni kweli au siyo kweli kwa sababu nilishajihakikishia kwa asilimia 100.
2. Sikula Chakula chake, nilifika naingia jikoni na kuandaa Chakula mwenyewe (hii imeendelea hadi leo)
3. Najitahidi sana niwahi kurudi nyumbani tofauti na siku za nyuma.
4. Tukilala kitandani mimi nageukia mzungu wa nne.
5. Tangia siku hiyo sijawahi kumuomba unyumba(japo anaweka mazingira ya jambo hili kila siku)
6. Akiniuliza namjibu kidogo halafu naendelea na utaratibu wangu.
7. Kila kitu najifanyia hadi nguo chafu zote za kwangu nakusanya na kufua mwenyewe nikipata nafasi(Ninapokuta amezifua narudia kufua)
8. Simtukani wala kumuongelesha vibaya bali nafanya mambo yangu ndani ya nyumba kivyangu.
9. Baada ya kuona hivyo, akasema anataka akaonane na Mama yake(ilikuwa Ijumaa usiku, nikampatia nauli muda huo huo na kumwambia asubuhi na mapema aende, ghafla akasema ameahirisha hadi sasa yupo)
10. Nimeacha kuchangia naye kitu chochote ndani ya nyumba isipokuwa sehemu ya kulala tu(kitandani na penyewe mzungu wa nne au nalala sebuleni wakati mwingine).
Sasa leo ni siku ya 6 tangia nimeanza kuishi hivyo na mke, mke wangu amenyongonyea ghafla, amekonda, amekuwa mtu wa mawazo na wasiwasi muda wote.
Katika kipindi hiki chote alijua sababu ya mimi kuishi hivyo ni yeye kuchepuka, hii ni baada ya jana jioni kuniita Chumbani na kusema anajutia sana kufanya vile na hatarudia, jambo baya zaidi akasema ameshafikiria mara mbili kunywa Sumu, anaona hana thamani tena kwangu, Dah [emoji24][emoji24] nilimwonea huruma sana na nikaamua kumsamehe tuendelee na maisha lakini naona hali haijabadilika kwake yaani ni mtu wa mawazo na wasiwasi muda wote, kiufupi anapitia wakati mgumu sana.
Wito kwa wanaume na wanawake hasa wanaoishi pamoja kama mke na mume kwa namna yoyote ile, kupigana siyo adhabu tosha ya kusuruhisha migogoro, mimi huyu mwanamke nimempa adhabu hiyo lakini naona imemnyoosha kweli kweli japo naona kabisa imemuharibu kisaikolojia kabisa.
Kununa hajujawahi kua suluhisho la kudumu kwenye migogoro Kama hiyo.
Ulichokifanya Ni kana kwamba uyo mwanamke ni unaiba tu (Mchepuko au hawala yako).
Hujaonesha Yale makucha na mAmlaka ya kiume kuonesha umekasirishwa na alichokifanya.
Na kwasababu umemsamehe kirahisi Sana, nna imani atachepuka Tena maana keshakusoma una moyo mwepesi Sana wa kusamehe haraka.
Ulitakiwa uoneshe advertise Moja matata Sana kama unamwacha Moja kwa moja.
(Hata Kama huna.mpango wa kumuacha)
Pia uyo ex wake nae umchimbe mkwara mzito Sana kwamba umejua na akiendelea dawa yake inachemka. Ajutie kabisa Ujinga aliufanya. Yaan ikiwezekana uyo kijana ndio amkimbie mkeo.
Unapojificha eti unanuna na hufunguki kwa pande zote mbili kilichokukasirisha. Eti unajifulia nguo n.k
Huo unakua Ni ufala.
Wote wanakuona Ni mwanaume mwenye wivu sana na kisirani tu. Na ulivosamehe kirahis wameshakuchora Ni mwanaume kisirani na laini asiye na msimamo kabisa.
BE A MAN and be a HUSBAND[emoji120]
Simamia ndoa yako, ilinde familia yako
Yuko POA[emoji4][emoji106]mama J hajambo
Subiri wampige pumbu vizuri ndio akili itakukaa sawa.
Sasa si unamuonea huruma, subiri atakupiga tukio wewe ndio utachanganyikiwa.
Yote nimefanyia, ila naona kama ameharibika kisaikolojia.
Adhabu kisaikolojia Ni kkubwa,Unaweza ukaona ni rahisi, lakini hii adhabu ni kali sana, pengine kuliko hata hizi ulizozipendekeza hapa
Wanawake kwa kuact wako vizur Sana,"Unaona kama umemuumiza kisaikolojia kumbe Anakupimia tu upoe poe ninahakika ana Act tu huyo hawezi achana na jeba lake"
Nakuelewa sana unajua kuna vitu vinapotokea ndani ya ndoa vinahitaji uvumilivu na uhamuzi wa busara kwanza kuliko nguvu. Waswahili wanasema unaweza kuruka mkojo ukakanyaga mavi.Nimependa jinsi ulivyoliendea Hilo swala yaani kiutuuzima,sina tatizo na wewe kumsamehe,Ila nadhani kuonyesha kwamba umekereka ingebidi ungeamua aende Kwanza kwao akakae kama mwezi hivi apate kujitafakari vizur na kuona ubaya wa kitendo chake au kama wewe ni muislamu waeza kumtenga Kwa kipindi cha miezi minne atie akili Kwanza, hapo inamaana hulali nae kitanda kimoja na hukutani nae kimwili lkn mambo mengine ya huduma yanaendelea kama kawaida, hapo ataujiuliza hapa sijaachwa hivi je nikiachwa itakuwaje.
Ila fanya Jambo ambalo litaonyesha umekereka sana
Narudia Tena,Uko sahihi ndiyo maana nilihamua nimuhadhibu hivyo kwanza.
Hapana kuuwana haitakuwa rahisi hata kidogo natumia akili na maarifa sana kukabiliana nalo.Msipoachana
Ipo siku mtauana humo
Kuna mmoja atamuwahi mwenzie
Mtoa mada anajikuta nice man,Usimuonee huruma mwanamke..