Mke wangu anapitia wakati mgumu sana hadi nimemuonea huruma

Mke wangu anapitia wakati mgumu sana hadi nimemuonea huruma

Unajua kuna watu hapa wananiona kama nilichofanya badoo, ila adhabu hii niliyompa imepelekea jioni hii imebidi apelekwe hospitali, pressure iko juu sana na akitoka salama Mama yake anamchukua kwanza, kwhy unaweza kuona hili Jambo nilivyomakini nalo muno.
Jamaaa wewe bwege sana, inaonekana huwajui wanawake, hakuna cha adhabu hapo, na ataendelea kugongwa tu, baada hata baada ya mwaka na this time hutakaa ujue
 
Kununa hajujawahi kua suluhisho la kudumu kwenye migogoro Kama hiyo.

Ulichokifanya Ni kana kwamba uyo mwanamke ni unaiba tu (Mchepuko au hawala yako).
Hujaonesha Yale makucha na mAmlaka ya kiume kuonesha umekasirishwa na alichokifanya.

Na kwasababu umemsamehe kirahisi Sana, nna imani atachepuka Tena maana keshakusoma una moyo mwepesi Sana wa kusamehe haraka.

Ulitakiwa uoneshe advertise Moja matata Sana kama unamwacha Moja kwa moja.
(Hata Kama huna.mpango wa kumuacha)

Pia uyo ex wake nae umchimbe mkwara mzito Sana kwamba umejua na akiendelea dawa yake inachemka. Ajutie kabisa Ujinga aliufanya. Yaan ikiwezekana uyo kijana ndio amkimbie mkeo.

Unapojificha eti unanuna na hufunguki kwa pande zote mbili kilichokukasirisha. Eti unajifulia nguo n.k
Huo unakua Ni ufala.

Wote wanakuona Ni mwanaume mwenye wivu sana na kisirani tu. Na ulivosamehe kirahis wameshakuchora Ni mwanaume kisirani na laini asiye na msimamo kabisa.

BE A MAN and be a HUSBAND[emoji120]
Simamia ndoa yako, ilinde familia yako
Wewe ndio unajua kusema ukweli, jamaa anajisifia hatua za kiutopolo na kiboya alizochukua kisha anajiona mjaaanja.
Nimpe taarifa tu huko kununa, jufua, kulala opposite vyote vilikuwa vinaripotiwa live kwa ex (mme mwenzio), na hata alipomaliza hayo maigiza uchwara yake imeripotiwa pia kwamba naona yameisha baby, jana usk kataka tunda na kaacha kujinunisha! Jamaa akaambiwa huyu niachie mimi namumudu baby! Akamalizia kwa kuambiwa i love you my baby, ngoja hali itulie kidogo nitakuletea tunda lako.

Ushauri: Jiandae kununa zaidi, nunua mashine ya nguvu ya kufua nguo nyingi, jiandae kulala mzungu wa 4×2=8, na ningejua ulipo hata mm ningekuchapia [emoji1]
 
Nimesoma uziwako nimejikuta nawaza mambo mengi sana ... kwanza unaonekana unajifariji kanakwamba ume win , umefikia hatua eti ume mwonea huruma mpaka umerejesha majeshi ,hizo ni nyege zimekurudisha lakini naomba upokee huu ukweli mchungu ... huyo mwanamke hakufai ...... ila kama unampenda komaa naye kwasabu mpaka mwanamke awe na mawasiliano na X wake , mpak akubali kuvuliwa nguo na kutombwa aiseee ni process ndefu sana ... sasa yeye kesha tombwa tena siyo mara moja na mpaka wewe ukajua bado umekza siku 6 only then unkuja hapa kujitamba kana kwamba ume shinda ....ngoja nikwambie tu umesha pigwa na kitu kizito kichwani tena ukiondoka anaku zomea ... shtuka man
Kakomaa na neno KISAIKOLOJIA, KISAIKOLOJIA, KISAIKOLOJIA, Mbona hiyo saikolojia hakuiona wala kuitumia kabla hajasalitiwa!
Anyway hawa ni wale wasiofurukuta kwa wanawake zao!
Dear ex endelea kukamua muke ya huyu jama ili kumsaidia kazi maana hawez kazi ila anaweza saikolojia.
 
Hiyo kitu inaitwa Psychological torture ni nzuri sana ila linapokuja suala la kusamehe ni vizuri ungechunguza sababu iliyopelekea akakucheat otherwise lazima atarudia tena akijua utampa psychology torture na utamsamehe tu.
 
Tatizo kubwa lilianza pale nilipogundua anachepuka na ex wake. Baada ya kuligundua hilo sikutaka kuchukua hatua za shari sana papo kwa papo, bali nilichukua hatua ambazo mpaka leo anashindwa kuelewa afanyeje, sasa imefikia hatua muda wote ni analia tu, saikolojia hayupo sawa na kama anataka kuchanganyikiwa hivi.

Baada ya kugundua kwamba anachepuka nilichukua maamuzi yafuatayo

1. Siku hiyo hiyo niliyogundua sikutaka kumuuliza kama ni kweli au siyo kweli kwa sababu nilishajihakikishia kwa asilimia 100.

2. Sikula Chakula chake, nilifika naingia jikoni na kuandaa Chakula mwenyewe (hii imeendelea hadi leo)

3. Najitahidi sana niwahi kurudi nyumbani tofauti na siku za nyuma.

4. Tukilala kitandani mimi nageukia mzungu wa nne.

5. Tangia siku hiyo sijawahi kumuomba unyumba(japo anaweka mazingira ya jambo hili kila siku)

6. Akiniuliza namjibu kidogo halafu naendelea na utaratibu wangu.

7. Kila kitu najifanyia hadi nguo chafu zote za kwangu nakusanya na kufua mwenyewe nikipata nafasi(Ninapokuta amezifua narudia kufua)

8. Simtukani wala kumuongelesha vibaya bali nafanya mambo yangu ndani ya nyumba kivyangu.

9. Baada ya kuona hivyo, akasema anataka akaonane na Mama yake(ilikuwa Ijumaa usiku, nikampatia nauli muda huo huo na kumwambia asubuhi na mapema aende, ghafla akasema ameahirisha hadi sasa yupo)

10. Nimeacha kuchangia naye kitu chochote ndani ya nyumba isipokuwa sehemu ya kulala tu(kitandani na penyewe mzungu wa nne au nalala sebuleni wakati mwingine).

Sasa leo ni siku ya 6 tangia nimeanza kuishi hivyo na mke, mke wangu amenyongonyea ghafla, amekonda, amekuwa mtu wa mawazo na wasiwasi muda wote.

Katika kipindi hiki chote alijua sababu ya mimi kuishi hivyo ni yeye kuchepuka, hii ni baada ya jana jioni kuniita Chumbani na kusema anajutia sana kufanya vile na hatarudia, jambo baya zaidi akasema ameshafikiria mara mbili kunywa Sumu, anaona hana thamani tena kwangu, Dah [emoji24][emoji24] nilimwonea huruma sana na nikaamua kumsamehe tuendelee na maisha lakini naona hali haijabadilika kwake yaani ni mtu wa mawazo na wasiwasi muda wote, kiufupi anapitia wakati mgumu sana.

Wito kwa wanaume na wanawake hasa wanaoishi pamoja kama mke na mume kwa namna yoyote ile, kupigana siyo adhabu tosha ya kusuruhisha migogoro, mimi huyu mwanamke nimempa adhabu hiyo lakini naona imemnyoosha kweli kweli japo naona kabisa imemuharibu kisaikolojia kabisa.
Hiyo adhabu yako ina-apply kwenye uzinzi tu. Huko kwingine utaonekana kituko.
 
Hiyo kitu inaitwa Psychological torture ni nzuri sana ila linapokuja suala la kusamehe ni vizuri ungechunguza sababu iliyopelekea akakucheat otherwise lazima atarudia tena akijua utampa psychology torture na utamsamehe tu.
Anadhani amemkomoa na kumfundisha ila Hajui wanawake akili zao zipo tofauti sanaa...!! Yani akimsamehe tu ajuee Ex ataendeleaa kula utamuu tuu...
 
Tena akiwaamemrudisha kwa wazazi wake, kule kwao atachambwa balaa na wazazi wake na ndugu zake kwa kuiletea aibu familia Yao ukweni.

Wanawake Ni Watu wanaoheshimu na kuogopa Sana walikotokea, itamuuma Sana

Siku ukija kumrudisha atakua keshanyooka vya kutosha, kutokurudia UPUMBAVU ule.
Hapo kwenyw Hatorudiaa ndo Unakoseaa.. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Huwajui wanawake vizuri kakaa..
 
Yote ya nini?? Kama amediriki kuchepuka basi ni dhahiri hathamini penzi lako wala utu wako.

Maradhi mengi siku hizi ya nini kuleteana vifo mapema. Mwenye asili yake haachi. Leo ka cheat na X kesho ata cheat na Y yote akijua adhabu itakuwa kununiwa na yeye atajinyong'onyesha na wewe utasamehe.

Pale ulipogundua kacheat ndipo palipaswa pawe ukomo wa ndoa yenyewe. Mpaka wewe kujua inamaanisha aidha aliamini sana 'ujanja' wake ama alitambua kuwa wewe ni mpumbavu kwake.

Niamini hata mkisameheana hutomuangalia kwa mtazamo ule ule tena kabla ya kumkamata, daima atakuwa msaliti kwako hivyo adhabu ni yenu wote.
Mkuu unajua jamaa angeendelea nini kingefwata??

Kifo Upo Tayari afe kwa kihoro?
 
Kuna group la Whatsapp kuna mwanaumle ameandika kuwa MMEWE KANUNA BAADA YA KUGUNDUA ANALIWA yeye kasema mmewe hajui kutumia mashine vzr.
Yote uliyosema amesema hivyo hivyo. Mbinu alizotumia

1. Alijaribu kuweka mtego wa kutamanisha kwa kujiweka mzigo out. Anasema haukuweza

2. Anasema kuna wakati alikuwa anagusisha mbususukwa kalio la mmewe akapigwa kipespi.

3. Mbinu iliyomaliza. Akaweka USO WA HUZUNI NA KULIA kila mmewe akikaribia kurudi home. Anqsema mbinu hii amefundishwa na Ex wake. Hii AMEFANIKIWA
Pole kumbe ni wewe.
Ishi na mkeo usimuache

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Tatizo kubwa lilianza pale nilipogundua anachepuka na ex wake. Baada ya kuligundua hilo sikutaka kuchukua hatua za shari sana papo kwa papo, bali nilichukua hatua ambazo mpaka leo anashindwa kuelewa afanyeje, sasa imefikia hatua muda wote ni analia tu, saikolojia hayupo sawa na kama anataka kuchanganyikiwa hivi.

Baada ya kugundua kwamba anachepuka nilichukua maamuzi yafuatayo

1. Siku hiyo hiyo niliyogundua sikutaka kumuuliza kama ni kweli au siyo kweli kwa sababu nilishajihakikishia kwa asilimia 100.

2. Sikula Chakula chake, nilifika naingia jikoni na kuandaa Chakula mwenyewe (hii imeendelea hadi leo)

3. Najitahidi sana niwahi kurudi nyumbani tofauti na siku za nyuma.

4. Tukilala kitandani mimi nageukia mzungu wa nne.

5. Tangia siku hiyo sijawahi kumuomba unyumba(japo anaweka mazingira ya jambo hili kila siku)

6. Akiniuliza namjibu kidogo halafu naendelea na utaratibu wangu.

7. Kila kitu najifanyia hadi nguo chafu zote za kwangu nakusanya na kufua mwenyewe nikipata nafasi(Ninapokuta amezifua narudia kufua)

8. Simtukani wala kumuongelesha vibaya bali nafanya mambo yangu ndani ya nyumba kivyangu.

9. Baada ya kuona hivyo, akasema anataka akaonane na Mama yake(ilikuwa Ijumaa usiku, nikampatia nauli muda huo huo na kumwambia asubuhi na mapema aende, ghafla akasema ameahirisha hadi sasa yupo)

10. Nimeacha kuchangia naye kitu chochote ndani ya nyumba isipokuwa sehemu ya kulala tu(kitandani na penyewe mzungu wa nne au nalala sebuleni wakati mwingine).

Sasa leo ni siku ya 6 tangia nimeanza kuishi hivyo na mke, mke wangu amenyongonyea ghafla, amekonda, amekuwa mtu wa mawazo na wasiwasi muda wote.

Katika kipindi hiki chote alijua sababu ya mimi kuishi hivyo ni yeye kuchepuka, hii ni baada ya jana jioni kuniita Chumbani na kusema anajutia sana kufanya vile na hatarudia, jambo baya zaidi akasema ameshafikiria mara mbili kunywa Sumu, anaona hana thamani tena kwangu, Dah [emoji24][emoji24] nilimwonea huruma sana na nikaamua kumsamehe tuendelee na maisha lakini naona hali haijabadilika kwake yaani ni mtu wa mawazo na wasiwasi muda wote, kiufupi anapitia wakati mgumu sana.

Wito kwa wanaume na wanawake hasa wanaoishi pamoja kama mke na mume kwa namna yoyote ile, kupigana siyo adhabu tosha ya kusuruhisha migogoro, mimi huyu mwanamke nimempa adhabu hiyo lakini naona imemnyoosha kweli kweli japo naona kabisa imemuharibu kisaikolojia kabisa.
Ulifanya kosa kubwa kumzuia asinywe sumu.
Biblia yangu inasema usimwache mwanamke mchawi aishi.
Siku akisema anataka kunywa sumu ni PM fasta nikuletee BOTOX au nyongo ya mamba anywe aende zake.
 
Back
Top Bottom