Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Watu hao wapo....especcially wale waliokulia katika maisha mazuri, kwa aina ya Wazazi wa kiafrika walihakikisha watoto hao hawana mazoea na watoto wengine wa mtaani...so company yao katika makuzi yao ni Cartoons na Movies hasa Series
Kama ni Animations ndio kabisaa hadi mimi kuna ninazopenda na naangalia na dogo
Sasa kama "The Good Dinosaur" utaiachaje? 😂
Btw, Cartoon inachangamsha ubongo kama vile kahawa/Coffee
Kama ni Animations ndio kabisaa hadi mimi kuna ninazopenda na naangalia na dogo
Sasa kama "The Good Dinosaur" utaiachaje? 😂
Btw, Cartoon inachangamsha ubongo kama vile kahawa/Coffee