Mke wangu anatazama Cartoon kuliko Watoto wetu

Dah jambo dogo tu kama hilo ndio la kulilalamikia humu JF,ama kweli JF ya sasa is devoid of great thinkers.
 
• Great thinker umekula ban tena 😬😬,

• Mods watakufungulia lini tena 🤒🤒.
 
Habari wana JF, poleni na majukumu ya hapa na Pale 🤝.

• Kuhusu hili suala, naona kama ni uraibu wa mke wangu kutazama katuni na watoto kila dakika. "[uende - urudi ni katuni kwenda mbele na michezo ya hapa na pale.] "

• Mke wangu huwa anafurahia sana kutazama na kuimba pamoja na watoto wetu pindi wanapongalia katuni hiyo, na endapo watoto wetu kama watakua hawajaangalia hiyo katuni huwa akiwasimulia hadithi hizo baada ya watoto kuludi kutoka shule au kutoka maeneo yao ya kucheza. Kila nikiangalia hili suala la katuni, naona kabisa kuna kitu hakipo sawa kabisa.

• Kuhusu katika majukumu yake kama mke na mama wa watoto wetu, kwa kweli yupo vizuri sana analea watoto safi kabisa, ila kinachonipa wasiwasi mkubwa ni kuhusu hili suala la kuangalia katuni bila kupumzika. Yani wamegeuza nyumba kuwa nyumba ya katuni. [ uende - urudi ni katuni kwenda mbele ] na michezo ya hapa na pale.

• Kama kutakuwa na njia au namna yeyote ile naomba msaada wa kurekebisha hili tatizo la katuni.

"Nahisi kuna kitu kibaya, maana simuelewi kabisa kuhusu mke wangu, wakati mwingine hata haangalii sinema ninazotaka tuangalie pamoja, isipokuwa tu atajilazimisha kishikaji lakini moyo wake unakua unawaza katuni tu. Hata tukiwa tumekaa kama familia yeye na watoto wetu huendelea kupiga stori za katuni.

• "Mke wangu, mwenye umri wa miaka 33 sasa, anafurahia sana kutazama katuni zaidi kuliko hata watoto wetu. Mvulana wetu wa kwanza ana umri wa miaka 11 hadi wa mwisho ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 4.

• Naona kama mke wangu amepatwa na uraibu wa katuni hivi , wao ni kuimba nyimbo za katuni , kupiga ngoma zao na kujadili mambo ya katuni kila wakati.

• Nimejaribu kumweleza kuwa sipendi kabisa tabia ya kuangalia katuni kila sekunde lakini wapi!!! , silalamiki kwa sababu wanafurahi lakini sielewi uraibu wa mke wangu ni nini hasa?. Hata wakati watoto wakiwa hawapo karibu, yeye ataendelea kutizama filamu za katuni peke yake. Watoto Watakapofika nyumbani , atawasimulia yote aliyoyatazama na hata kuwaonyesha kwa vitendo matukio ya kuchekesha/yenye hisia.

• Tafadhali kumbuka kuwa, ameajiriwa kikamilifu na bado anafanya kazi zake kama mke na mama. Sina tatizo lolote kwa upande huo, je amezoea filamu za katuni au kuna kitu kimejificha? Au nimuache akikua ataacha mwenyewe, Maana sielewi kabisa."

• Je, kitu gani ninaweza kufanya ili kumsaidia mke wangu ? Inanisumbua sana akili yangu kwa namna fulani.

😎Hii ni story ya kijana Mwenye familia ya watoto wa tatu ✍️✍️✍️✍️.

View attachment 2856301View attachment 2856302View attachment 2856303
Bora aangalie katuni kuliko kushinda tiktok na Instagram halafu analipia na app ya mange kimambi.
Nakushauri uwe unamtafutia zile movie za animation mpya kila zinapotoka unamjazia katika external.
 
Ubaya wa katuni ni nini? Angalau wako anajituliza na katuni, na kuwa karibu na watoto, unajua wanayopitia wengine?
 
Mkuu usisumbuke naye hakika jua anayependa kuangalia katuni (animation) jua anapenda picha za uchi kwa sababu wachora katuni huwa wanaanza kuchora sehemu za siri harafu wanaundaunda na kitengeneza kitu
Hii ni roho ya kingonongono hakika
 
Ni kweli mtu, siunajua Tena sisi wazee tuliokulia Bush tunakasumba nyingi. Mtu mzima akiangalia katuni tunaona Kama ana utoto umemjaa huyo mtu.
 
Hata mimi napenda kucheza na wanangu sana, katuni nawawekea mimi nakaa nao tunaangalia, wananisimulia, hiyo imefanya nisipokuwepo wanamsumbua mama yao anipigie simu, mwanangu mkubwa huwa mpaka anaumwa, nikiwa nimesafiri.... kukaa karibu na watoto kunatengeneza bond nzuri
 
Ubaya wa katuni ni nini? Angalau wako anajituliza na katuni, na kuwa karibu na watoto, unajua wanayopitia wengine?
Nimeliona Hilo mkuu, nimepewa shule ya kutosha humu...
 
Mkuu usisumbuke naye hakika jua anayependa kuangalia katuni (animation) jua anapenda picha za uchi kwa sababu wachora katuni huwa wanaanza kuchora sehemu za siri harafu wanaundaunda na kitengeneza kitu
Hii ni roho ya kingonongono hakika
Duhhh, kwa hiyo inawezekana Ni mfuasi mzuri wa pornhub.??🙁🙁🙁.
 
Hata mimi napenda kucheza na wanangu sana, katuni nawawekea mimi nakaa nao tunaangalia, wananisimulia, hiyo imefanya nisipokuwepo wanamsumbua mama yao anipigie simu, mwanangu mkubwa huwa mpaka anaumwa, nikiwa nimesafiri.... kukaa karibu na watoto kunatengeneza bond nzuri
Hilo Ni zuri sana mkuu, kukaa na watoto kwa pamoja inawajengea kujiamini kwenye jamii , hata kuwa na uwezo wa kuchangia hoja katika halaiki Fulani.
 
Muongezee na ma cd na ma flash na mabando na mchanel angalie. Hizo zina madhara gani kiafya mkuu?
Na amnunulie mitoy ya katuni ...mito yote iwe ni mitoy ya katuni kila kona matoy kama 20 hivi ...hadi ring tone ya simu yako mwekee nyimbo za katuni....tafuta na XXX za katuni muwe mnaangalia pamoja 😁
 
Back
Top Bottom