Zote nimeangalia sana tu na zingine ninazo....Mhh zote hizo katuni unazijua 😳😳
Mkewangu mm yeye na sinema zetu yaani toka asubuhi hadi usiku namwambia pata muda wa kuangalia taarifa ya habari kidogo wapi hanielewi. Kidogo kipindi hiki cha Ramadhani ndio a natazama mawaidha tena kuanzia saa Sita usiku anatazama kilekipindi cha busati LA msikiti wa kwa mtoroHabari wana JF, poleni na majukumu ya hapa na Pale 🤝.
• Kuhusu hili suala, naona kama ni uraibu wa mke wangu kutazama katuni na watoto kila dakika. "[uende - urudi ni katuni kwenda mbele na michezo ya hapa na pale.] "
Malezi aliyolelewa .Habari wana JF, poleni na majukumu ya hapa na Pale 🤝.
• Kuhusu hili suala, naona kama ni uraibu wa mke wangu kutazama katuni na watoto kila dakika. "[uende - urudi ni katuni kwenda mbele na michezo ya hapa na pale.] "
✍️.
View attachment 2856301View attachment 2856302View attachment 2856303
Bora kahawa mkuu, ila hawa akina mnyumbuliko, walisha nishinda kuwaangalia kabisa 😀😀,Watu hao wapo....especcially wale waliokulia katika maisha mazuri, kwa aina ya Wazazi wa kiafrika walihakikisha watoto hao hawana mazoea na watoto wengine wa mtaani...so company yao katika makuzi yao ni Cartoons na Movies hasa Series
Kama ni Animations ndio kabisaa hadi mimi kuna ninazopenda na naangalia na dogo
Sasa kama "The Good Dinosaur" utaiachaje? 😂
Btw, Cartoon inachangamsha ubongo kama vile kahawa/Coffee
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mchunguze vizuri nayeye sio katuni kweli!? Maana usije ikawa unamzuia mwenzio kuwapenda ndugu zake .
Nimeliona hilo, watoto wa kishua, wamelelewa kiupweke sana.. Tofauti na sisi kuku wa kienyeji, ukitika asubuhi kuludi saa mbili usiku. Then ulelewe na wazee kama hawaMalezi aliyolelewa .
Na wengi wao ni wale kutoka familia za kishua.
Miaka ya nyuma sana kuna wasela fulani walikuwa wanakaa pamoja sehemu fulani US.Mkewangu mm yeye na sinema zetu yaani toka asubuhi hadi usiku namwambia pata muda wa kuangalia taarifa ya habari kidogo wapi hanielewi. Kidogo kipindi hiki cha Ramadhani ndio a natazama mawaidha tena kuanzia saa Sita usiku anatazama kilekipindi cha busati LA msikiti wa kwa mtoro
Kweli ila ubongo na utulivu havihusiani kabisa na kwamba nikwaajili ya watoto siyo kweliAsilimia kubwa humu nimeona wanaume kwa wanawake wanapenda sana cartoon, haya masuala ya cartoon nilidhani kwa ajili watoto wadogo.
Walikuwa sahihi, ika flashnews si mpaka iwe Habari kubwa kabisa za kitaifa, Kwamba wenyewe Walikuwa hawataki hizi Habari ndogo ndogo 🤔🤔..Miaka ya nyuma sana kuna wasela fulani walikuwa wanakaa pamoja sehemu fulani US.
Basi jamaa muda wote wanaangalia basketball NBA.
Siku moja nikawauliza, hivi nyie hamtaki hata kuangalia habari mjue nchi inavyokwenda?
Wakajibu kwamba, kama kuna habari ya umuhimu sana TV zitakatisha kuonesha michezo tutapata newsflash.
Ikabidi nikubali tu kuwa kuna watu tuna maisha tofauti sana.
Walikuwa sahihi, ika flashnews si mpaka iwe Habari kubwa kabisa za kitaifa, Kwamba wenyewe Walikuwa hawataki hizi Habari ndogo ndogo 🤔🤔..
Kabisa mkuu, Kila mtu alivyozaliwa na kipaumbele chake, huwezi kumlazimisha aende upande wapili bila ridhaa yake....Walisema ikitokea habari kubwa kama 9/11 hata mchezo utasimamishwa. Hapo ilikuwa mara baada ya 9/11.
Mimi nilikubali tu kwamba kila mtu anapendelea mambo yake, kama mimi ninavyopenda habari wao ndivyo walivyopenda NBA.
Tofauti zetu mara nyingine ndizo zinafanya maisha yawe interesting.
[emoji23][emoji23][emoji23]Ninavyompenda sponsebob na mwenzeke patriki tumbo wazi huniambii kitu hata iweje ukifika muda wa hizo katun lazima niwe nyumbani kwenye channel ya niclod....now nina 35 fumba macho tuombe ee mungu baba wambingon namleta kijana huyu, huyu mke hamfai huyo ni ridhiki yangu kabisa naomba baba katkt jina la yesu waachane ili nimuoe mimi tunaendana kabis huyu kapora mke wa mtu ameeen
Biashara, ili kadi za benki ziendelee kujaaOkay mfano ukapewa nafasi ya kuedit akili yake, ungependa badala ya kuwaza katuni awe anawaza kitu gani? Wanaume, biashara, au umbea?
Naona huyo ameamua kucontrol akili yake kwa kuijaza na katuni, wewe unataka abadilike. Ukitaka kumpatia huyo sasa anza na wewe kupenda katuni ili wote muwe vikatuni na vitoto vyenu.