Mke wangu anatazama Cartoon kuliko Watoto wetu

Mchunguze vizuri nayeye sio katuni kweli!? Maana usije ikawa unamzuia mwenzio kuwapenda ndugu zake .
Hapana mkuu, uhuru anao kabisa, familia yake yenyewe walizaliwa wawili tu...
 
Cartoon zinafundisha sanaaa… binafsi nipo kama huyo dada alieripotiwaπŸ˜…πŸ˜…
πŸ˜„πŸ˜„, Kwa hiyo Unaona bora uangalie katuni kuliko muvi za kawaida,
 
Unataka awe anashinda Facebook na insta,tiktok na matakataka kama hayo?
Katuni ni stories and i don't see anything wrong there except you have the Best wife..

Tatizo wewe haupendi katuni basi na wewe unataka wife awe hivyo.
 
😎, kumbe kuna hasara yake, ya watoto kuwafungia ndani ya gethi lenye mbwa mkali πŸ˜„

πŸ˜ƒπŸ˜ƒkulea watoto kwa kuwatunza ndani sio lazima kuwe na geti kubwa na mbwa.
Ni mazingira tu ya mipaka mzazi unawawekea watoto wako na wanakua kwenye makuzi hayo.
 
Hababa Bellerin, toma and jerry zile classic sio hizi za sasa, marsha and the bear, ziggy and sharko plus animation kibao kama pussy in the boots, rango, n.k ni poa sana
Muda fulani zinanitoa ulimwengu huu wa matabaka na kunipeleka hadi ulimwengu wa furaha isiyo kifani nacheka mwenyewe tu.... let's enjoy muda mchache wa ulimwengu huu...πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
β€’ πŸ€”, Duh hatari sana, basi na huyu ngoja niachane naye tu.
β€’ Nifah kwani kuna uzuri gani huko kwenye katuni? 😎
 
Angekuwa anapiga umbea huko barabarani ama kuongea na simu mara kwa mara ungeshamnasa vibao

shukuru amepata faraja ya moyo wake, manake unaonekana humpi mkeo muda wa kutoshaa kuongea nae
 
mimi pia nina uraibu wa kutazama katuni kupita vipindi vyote vya TV. Simu imejaa cartoon na sina mpango wa kuacha leo wala kesho.
Kumbe, hawa watengeneza katuni wanapiga hela hivi, Maana nikiangalia idadi ya wanawake wapo wengi sana.
 
Mbona ni kama jambo zuri tu maana itamsaidia kuwa karibu na watoto.
Nilishtuka kidogo nilipooona, kila time yeye na katuni tu, tofauti hata na watoto wenyewe,
 
β€’ πŸ€”, Duh hatari sana, basi na huyu ngoja niachane naye tu.
β€’ Nifah kwani kuna uzuri gani huko kwenye katuni? 😎
Ni nzuri sana, hasa animation ni kama movie tu.
Ukipata yenye story nzuri hutokaa uache.
 
Aisee, hasa nikitaka niangalie zile movie za vita, Dah hapendi kabisa, anasema najifundisha ujangili 😎.
 
Mkuu Nyafwili fikisha pole zangu kwa huyo kijana ila mwambie azoee haina namna japo mimi nilidate na Jese alipenda sana katuni na mwisho akawa ananiletea ukatuni nikambwaga chini

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
kisha we njoo umchukue huyu kivuruge wangu

β€’ πŸ˜„ Kwenye kivuruge hapo ndo atanivuluga kabisa, Ebu tuma picha yake nimuone kwanza 😎,

β€’ Kwa hiyo na wewe mkuu, unapenda cartoon?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…