Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
muache afurahie apendacho wewe nunua tv na kisimbuzi kingine uwe unaangalia chaneli upendazoHabari wana JF, poleni na majukumu ya hapa na Pale [emoji1666].
• Kuhusu hili suala, naona kama ni uraibu wa mke wangu kutazama katuni na watoto kila dakika. "[uende - urudi ni katuni kwenda mbele na michezo ya hapa na pale.] "
• Mke wangu huwa anafurahia sana kutazama na kuimba pamoja na watoto wetu pindi wanapongalia katuni hiyo, na endapo watoto wetu kama watakua hawajaangalia hiyo katuni huwa akiwasimulia hadithi hizo baada ya watoto kuludi kutoka shule au kutoka maeneo yao ya kucheza. Kila nikiangalia hili suala la katuni, naona kabisa kuna kitu hakipo sawa kabisa.
• Kuhusu katika majukumu yake kama mke na mama wa watoto wetu, kwa kweli yupo vizuri sana analea watoto safi kabisa, ila kinachonipa wasiwasi mkubwa ni kuhusu hili suala la kuangalia katuni bila kupumzika. Yani wamegeuza nyumba kuwa nyumba ya katuni. [ uende - urudi ni katuni kwenda mbele ] na michezo ya hapa na pale.
• Kama kutakuwa na njia au namna yeyote ile naomba msaada wa kurekebisha hili tatizo la katuni.
"Nahisi kuna kitu kibaya, maana simuelewi kabisa kuhusu mke wangu, wakati mwingine hata haangalii sinema ninazotaka tuangalie pamoja, isipokuwa tu atajilazimisha kishikaji lakini moyo wake unakua unawaza katuni tu. Hata tukiwa tumekaa kama familia yeye na watoto wetu huendelea kupiga stori za katuni.
• "Mke wangu, mwenye umri wa miaka 33 sasa, anafurahia sana kutazama katuni zaidi kuliko hata watoto wetu. Mvulana wetu wa kwanza ana umri wa miaka 11 hadi wa mwisho ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 4.
• Naona kama mke wangu amepatwa na uraibu wa katuni hivi , wao ni kuimba nyimbo za katuni , kupiga ngoma zao na kujadili mambo ya katuni kila wakati.
• Nimejaribu kumweleza kuwa sipendi kabisa tabia ya kuangalia katuni kila sekunde lakini wapi!!! , silalamiki kwa sababu wanafurahi lakini sielewi uraibu wa mke wangu ni nini hasa?. Hata wakati watoto wakiwa hawapo karibu, yeye ataendelea kutizama filamu za katuni peke yake. Watoto Watakapofika nyumbani , atawasimulia yote aliyoyatazama na hata kuwaonyesha kwa vitendo matukio ya kuchekesha/yenye hisia.
• Tafadhali kumbuka kuwa, ameajiriwa kikamilifu na bado anafanya kazi zake kama mke na mama. Sina tatizo lolote kwa upande huo, je amezoea filamu za katuni au kuna kitu kimejificha? Au nimuache akikua ataacha mwenyewe, Maana sielewi kabisa."
• Je, kitu gani ninaweza kufanya ili kumsaidia mke wangu ? Inanisumbua sana akili yangu kwa namna fulani.
[emoji41]Hii ni story ya kijana Mwenye familia ya watoto wa tatu [emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578].
View attachment 2856301View attachment 2856302View attachment 2856303
Tunataka mfanye kila kitu kwa kiasiiiKuna wanaume hamna jema.
Akitulia ndani kuangalia katuni na watoto shida, akiwa mzururaji wa kwenye vidogoro nayo shida.
Ni nini mnataka??
Je nae akikufungulia uzi unapokelea simu chooni itakuwa sawa!Habari wana JF, poleni na majukumu ya hapa na Pale 🤝.
• Kuhusu hili suala, naona kama ni uraibu wa mke wangu kutazama katuni na watoto kila dakika. "[uende - urudi ni katuni kwenda mbele na michezo ya hapa na pale.] "
• Mke wangu huwa anafurahia sana kutazama na kuimba pamoja na watoto wetu pindi wanapongalia katuni hiyo, na endapo watoto wetu kama watakua hawajaangalia hiyo katuni huwa akiwasimulia hadithi hizo baada ya watoto kuludi kutoka shule au kutoka maeneo yao ya kucheza. Kila nikiangalia hili suala la katuni, naona kabisa kuna kitu hakipo sawa kabisa.
• Kuhusu katika majukumu yake kama mke na mama wa watoto wetu, kwa kweli yupo vizuri sana analea watoto safi kabisa, ila kinachonipa wasiwasi mkubwa ni kuhusu hili suala la kuangalia katuni bila kupumzika. Yani wamegeuza nyumba kuwa nyumba ya katuni. [ uende - urudi ni katuni kwenda mbele ] na michezo ya hapa na pale.
• Kama kutakuwa na njia au namna yeyote ile naomba msaada wa kurekebisha hili tatizo la katuni.
"Nahisi kuna kitu kibaya, maana simuelewi kabisa kuhusu mke wangu, wakati mwingine hata haangalii sinema ninazotaka tuangalie pamoja, isipokuwa tu atajilazimisha kishikaji lakini moyo wake unakua unawaza katuni tu. Hata tukiwa tumekaa kama familia yeye na watoto wetu huendelea kupiga stori za katuni.
• "Mke wangu, mwenye umri wa miaka 33 sasa, anafurahia sana kutazama katuni zaidi kuliko hata watoto wetu. Mvulana wetu wa kwanza ana umri wa miaka 11 hadi wa mwisho ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 4.
• Naona kama mke wangu amepatwa na uraibu wa katuni hivi , wao ni kuimba nyimbo za katuni , kupiga ngoma zao na kujadili mambo ya katuni kila wakati.
• Nimejaribu kumweleza kuwa sipendi kabisa tabia ya kuangalia katuni kila sekunde lakini wapi!!! , silalamiki kwa sababu wanafurahi lakini sielewi uraibu wa mke wangu ni nini hasa?. Hata wakati watoto wakiwa hawapo karibu, yeye ataendelea kutizama filamu za katuni peke yake. Watoto Watakapofika nyumbani , atawasimulia yote aliyoyatazama na hata kuwaonyesha kwa vitendo matukio ya kuchekesha/yenye hisia.
• Tafadhali kumbuka kuwa, ameajiriwa kikamilifu na bado anafanya kazi zake kama mke na mama. Sina tatizo lolote kwa upande huo, je amezoea filamu za katuni au kuna kitu kimejificha? Au nimuache akikua ataacha mwenyewe, Maana sielewi kabisa."
• Je, kitu gani ninaweza kufanya ili kumsaidia mke wangu ? Inanisumbua sana akili yangu kwa namna fulani.
😎Hii ni story ya kijana Mwenye familia ya watoto wa tatu ✍️✍️✍️✍️.
View attachment 2856301View attachment 2856302View attachment 2856303
Unataka awe anashinda Facebook na insta,tiktok na matakataka kama hayo?
Katuni ni stories and i don't see anything wrong there except you have the Best wife..
Tatizo wewe haupendi katuni basi na wewe unataka wife awe hivyo.
Tatizo wewe haupendi katuni basi na wewe unataka wife awe hivyo
😃😃kulea watoto kwa kuwatunza ndani sio lazima kuwe na geti kubwa na mbwa.
Ni mazingira tu ya mipaka mzazi unawawekea watoto wako na wanakua kwenye makuzi hayo.
Sawa mkuu, nikahisi labda wale wanao kulia, kwanza fence ya nyumba ni ya umeme, ukuta mrefu, mbwa mkali.😃😃kulea watoto kwa kuwatunza ndani sio lazima kuwe na geti kubwa na mbwa
Angekuwa anapiga umbea huko barabarani ama kuongea na simu mara kwa mara ungeshamnasa vibao
shukuru amepata faraja ya moyo wake, manake unaonekana humpi mkeo muda wa kutoshaa kuongea nae
Kutokana na majukumu kama unavyo jua, mda huwa ni mdogo sana, Labda siku za weekends.manake unaonekana humpi mkeo muda wa kutoshaa kuongea nae
Kumnasa vibao siyo Rahisi, mimi napenda sana kusikiliza ushauri kabla ya maamuzi.Angekuwa anapiga umbea huko barabarani ama kuongea na simu mara kwa mara ungeshamnasa vibao
Yupo sahihi kwa upande wake vita vya nini?...Acha aburudike.Aisee, hasa nikitaka niangalie zile movie za vita, Dah hapendi kabisa, anasema najifundisha ujangili 😎.
AiseeTunataka mfanye kila kitu kwa kiasiii
Mkuu Nyafwili fikisha pole zangu kwa huyo kijana ila mwambie azoee haina namna japo mimi nilidate na Jese alipenda sana katuni na mwisho akawa ananiletea ukatuni nikambwaga chini
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
mimi nilidate na Jese alipenda sana katuni na mwisho akawa ananiletea ukatuni nikambwaga chini
Relax mkuu as long as anatimiza majukumu yake kama mke na mama• Shida hamna shida mkuu, ila niliingiwa tu na wasi wasi kidogo, kuwa labda siyo kawaida kwa watu wengine.
• Si unajua tena sisi Vijana tulio kulia vijijini, tunaamin kabisa katuni ni kwa ajili ya watoto tu.
Bora wako cartoon mie wangu anashinda na watoto kuangalia series za mazoombii na vampires..
Nimeonya weee asiangalie mashetani hayo na watoto ila naona ndio yupo na addicted nazo.