Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asije akawafundisha watoto usagaji, kama huyu wa JF Dr. MariposaMimi hakuna character maarufu wa kwenye cartoon simjui, nazijua na kuzipenda sana.
Na niko mbele kufuatilia, ikitoka tu mpya naruka nayo napeleka home tunaangalia.
Tofauti na mpira na drama za kikorea, napenda sana animation.
Hizo Cinderela, Barbie Mariposa, Little Mermaid n.k ndio kama sala ninavyozijua 😂😂
NdioSawa mkuu, Hata shemeji yetu anapenda kuangalia katuni hivyo hivyo?
Katuni ni nzuri sana zina mafundisho mazuri, kuna story ambazo zinakufanya kung'amua mambo kwa haraka, zinafurahisha sana. Ni bonge la kiburudisho hasa katuni za zamani. Hizi za sasa naona zinakosa ubunifu yaani katuni utadhani movies na muda mwingine zinakosa mvuto.
Mfano kama Ed, Edd and Eddie ile katuni ilikuwa hakuna kupumua muda wote ni visanga tu full burudani. Kuna kipindi nilitamani niishi ndani ya katuni maana zinakupa simulation tamu sana.
Mfano kama Ed, Edd and Eddie ile katuni ilikuwa hakuna kupumua muda wote ni visanga tu full burudani. Kuna kipindi nilitamani niishi ndani ya katuni maana zinakupa simulation tamu sana
Hilo halina shida mkuu, Sema tu, nilitaka nipate ushauri kidogo, 🤝🤝,muache afurahie apendacho wewe nunua tv na kisimbuzi kingine uwe unaangalia chaneli upendazo
Sent using Jamii Forums mobile app
😀, Unaona sasa mkuu, achana na masuala ya cartoons aise, hamia kwa akina "The Rock"Aisee mi ni mpenzi wa Cartoon kinoma halafu ni beard king.Sasa watu wanasema na ndevu zako hizo unaziaibisha kupenda katuni mi napenda kinoma.Hasa hasa Animation.
Kwani wewe haupendi kutazama michezo ya mpira mkuu? Ni ulaibu tu, na wala haina madhara yoyote.
Mbona sisi wanaume siku hizi tunazungumzia michezo mda wote?!
Hapo nimeelewa mkuu, ila yeye hasa time za weekends + plus na hii holiday, asubuhi, mchana, jion, yupo tu anachek cartoon 😎,Mbona sisi wanaume siku hizi tunazungumzia michezo mda wote?!
Labda mtoa mada amezoea sarakasi na masebene mambo ya utulivu kwake mwikoHana tatizo huyo na shukuru kaijua Hobby yake mapema , hio inamfanya kumuondolea stress ndogo ndogo na kufanya ndoa yako iwe tulivu. na ya amani
Sent from my 23021RAAEG using JamiiForums mobile app
Upo kama mimi mkuu, Mtu akiniambia angalia cartoon kama burudani, huwa namshangaa sana.Mimi nahisi mtu anayeangalia cartoon akiwa mtu mzima au animation au kupendelea kucheza video games kwa sana yaan kupitiliza namuona kama ana utoto mwingi ndani yake mtu30 plus cartoon,animation za nini??!!!!