Nyafwili
JF-Expert Member
- Nov 27, 2023
- 4,240
- 10,561
- Thread starter
- #161
Kumbe kuna mambo siyo Mazuri humu ndani ya JF 🤔 ?Asije akawafundisha watoto usagaji, kama huyu wa JF Dr. Mariposa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe kuna mambo siyo Mazuri humu ndani ya JF 🤔 ?Asije akawafundisha watoto usagaji, kama huyu wa JF Dr. Mariposa
ice age, madagasca, zotopia, lion king nkMkuu, wewe ni animation gani unaangalia?,
• Mkuu, hii ipo sahihi kabisa,TV huwa inaharibu uwezo wa kufikiri na kutafakari na MTU anakuwa hana ile deep thinking na Mbaya zaidi Kwa watoto .
Kuangalia TV hakikisha inakuwa Mara chance Sana ikiwezekana hata kwa wiki Mara-moja. Au mbili..
Ikiwa haya mambo unayajua unaweza kuwatengenezea hobby tofauti na TV watoto, mfano unaweza nunua ubao wa wa kisasa chalkboard ,mkawa mnatumia na watoto kuchambua vitabu mbalimbali.• Mkuu, hii ipo sahihi kabisa,
Kutazama TV kwa muda mrefu inaweza kuwa na madhara kama vile uchovu wa macho, kushuka kwa usingizi, na msongo wa mawazo. Ni muhimu kupumzisha macho mara kwa mara na kudumisha usawa kati ya shughuli za kuangalia TV na maisha mengine.
Unataka upewe Nini mkuu,, huyo ndo mwanamke ambaye Kila mwanaume angependa kuwa nae,, labda wewe ndo mwenye matatizo sio yeye
Mkuu yawezekana ndo ile kauli ya kusema "penye miti hapana wajenzi" ndo natembea nayo kwa sasa.huyo ndo mwanamke ambaye Kila mwanaume angependa kuwa nae,,
Ninavyompenda sponsebob na mwenzeke patriki tumbo wazi huniambii kitu hata iweje ukifika muda wa hizo katun lazima niwe nyumbani kwenye channel ya niclod....now nina 35 fumba macho tuombe ee mungu baba wambingon namleta kijana huyu, huyu mke hamfai huyo ni ridhiki yangu kabisa naomba baba katkt jina la yesu waachane ili nimuoe mimi tunaendana kabis huyu kapora mke wa mtu ameeen
35+, unawahi home kwenda kuangalia cartoon?, Dah hii Habari mpya 😅ukifika muda wa hizo katun lazima niwe nyumbani kwenye channel ya niclod....now nina 35
Maombi bado hayafika Mbinguni mkuu, yamekwama njiani.huyu mke hamfai huyo ni ridhiki yangu kabisa naomba baba katkt jina la yesu waachane ili nimuoe mimi tunaendana kabis huyu kapora mke wa mtu ameeen
Hata naelewa mkuu, huwa naona wakisimuliana na watoto wetu, nabaki nawatizama tu.Sio Cartoon zote ni za watoto (The Simpsons ni Family even wakubwa) ila kuna kina Family Guy na Southpark hizo ni za wakubwa...
Anyway to each his/her own....