Mke wangu anatazama Cartoon kuliko Watoto wetu

Mke wangu anatazama Cartoon kuliko Watoto wetu

Ikiwa haya mambo unayajua unaweza kuwatengenezea hobby tofauti na TV watoto, mfano unaweza nunua ubao wa wa kisasa chalkboard ,mkawa mnatumia na watoto kuchambua vitabu mbalimbali.

TV iwe nadra Sana.
Kabisa mkuu, sema wataniona dikiteta, kama unavyojua hawa wake zetu hawanaga dogo kabisa.
 
Hazina size zile,ukitulia utashangaa unaimba Hadi nyimbo zake,hebu tafuta Moja ya snow-white and seven dwarfs

hebu tafuta Moja ya snow-white and seven dwarfs
😄😅 Hapana kwenye kundi lenu sitaki kujiunga kabisa.. 🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️
 
Hata Mimi na mke wangu tunapenda katuni , tunaangalia na wenetu , tunaimba na kucheza,, Tumeangalia sana ,puss in boot last wish, saiz tunaangalia chicken run 2, oya mzee mleta Uzi angalia katuni ni tamu kuliko muvi, angalia finding Nemo mzee utajutia , mwisho wa siku utajikita addicted na animation
 
tunaimba na kucheza,, Tumeangalia sana ,puss in boot last wish, saiz tunaangalia chicken run 2, oya mzee mleta Uzi angalia katuni ni tamu kuliko muvi
😁😁, Aise

mwisho wa siku utajikita addicted na animation
Aha wapi siwezi mkuu, mimi na cartoon tupo mbali kabisa, ndo maana nikikuta mtu mzima anaangalia cartoon lazima nimtazame ×2
 
Back
Top Bottom