Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anza kufuatilia hutojuta😄Hata naelewa mkuu, huwa naona wakisimuliana na watoto wetu, nabaki nawatizama tu.
Kabisa mkuu, sema wataniona dikiteta, kama unavyojua hawa wake zetu hawanaga dogo kabisa.Ikiwa haya mambo unayajua unaweza kuwatengenezea hobby tofauti na TV watoto, mfano unaweza nunua ubao wa wa kisasa chalkboard ,mkawa mnatumia na watoto kuchambua vitabu mbalimbali.
TV iwe nadra Sana.
Kweli nenda nao taratibuKabisa mkuu, sema wataniona dikiteta, kama unavyojua hawa wake zetu hawanaga dogo kabisa.
Yaani unasahau kabisa matatizo,ni simulizi nzuri sanaaaa unachekaaa😄😄, Alooo, kwa hiyo ukiangalia cartoon na mzuka inapanda kabisa,
eee, wenzako wake zao wanakutana nao bar, bora wewe unamkuta home anaangalia tom and Jerry.Ushauri mzuri sana mkuu, nitalifanyia kazi ✍️✍️.
Hazina size zile,ukitulia utashangaa unaimba Hadi nyimbo zake,hebu tafuta Moja ya snow-white and seven dwarfsNi ngumu sana, cartoon huwa naona siyo size yangu kabisa.
🤣🤣🤣🤣watafutie familia basi😄😅 Hapana kwenye kundi lenu sitaki kujiunga kabisa.. 🚶♂️🚶♂️🚶♂️
Hata Mimi na mke wangu tunapenda katuni , tunaangalia na wenetu , tunaimba na kucheza,, Tumeangalia sana ,puss in boot last wish, saiz tunaangalia chicken run 2, oya mzee mleta Uzi angalia katuni ni tamu kuliko muvi, angalia finding Nemo mzee utajutia , mwisho wa siku utajikita addicted na animation
😁😁, Aisetunaimba na kucheza,, Tumeangalia sana ,puss in boot last wish, saiz tunaangalia chicken run 2, oya mzee mleta Uzi angalia katuni ni tamu kuliko muvi
Aha wapi siwezi mkuu, mimi na cartoon tupo mbali kabisa, ndo maana nikikuta mtu mzima anaangalia cartoon lazima nimtazame ×2mwisho wa siku utajikita addicted na animation