Mke wangu anatazama Cartoon kuliko Watoto wetu

Bora wako cartoon mie wangu anashinda na watoto kuangalia series za mazoombii na vampires..

Nimeonya weee asiangalie mashetani hayo na watoto ila naona ndio yupo na addicted nazo.
 
Ndio maana akaitwa mwanamke. As long as hakuna madhara. Kuna mambo inabidi U compromise ili maisha yasongeπŸ€”
Sawa mkuu, Hapo Nimekusoma 🀝
 
Naamini angekuwa mke wangu tungefurahi sana. Napenda katuni pia.

1. Dexter's Laboratory
2. The Powerpuff Girls
3. Johnny Bravo
4. Courage the Cowardly Dog
5. Ed, Edd n Eddy
6. Codename: Kids Next Door
7. Foster's Home for Imaginary Friends
8. The Grim Adventures of Billy & Mandy
9. Ben 10
10. Teen Titans Go!
11. Adventure Time
12. Regular Show
13. The Amazing World of Gumball
14. Steven Universe
15. Clarence
16. We Bare Bears
17. Craig of the Creek
18. OK K.O.! Let's Be Heroes
19. The Powerpuff Girls (2016)
20. Samurai Jack
21. Cow and Chicken
22. Chowder
23. My Gym Partner's a Monkey
24. The Marvelous Misadventures of Flapjack
25. Mighty Magiswords
26. Camp Lazlo
27. Sym-Bionic Titan
28. Young Justice
29. Over the Garden Wall
30. The Venture Bros.
31. Tom and Jerry (2014)
32. Total Drama Island
33. Uncle Grandpa
34. Victor and Valentino
35. Apple & Onion
36. Summer Camp Island
37. The Fungies!
38. Infinity Train
39. Mao Mao: Heroes of Pure Heart
40. ThunderCats Roar

Hizi zote nimeangalia kipindi hiko na baadhi ninazo series zake full hadi leo.
 
Nilikuwa nikikaa kuangalia katuni nakuwa makini na sitikisiki alafu muda ulikuwa unaenda sana. Kiasi kwamba kama kukiwa na tangazo la katuni wana familia macho yote kwangu.
 
Kwani kuna shida gani
β€’ Shida hamna shida mkuu, ila niliingiwa tu na wasi wasi kidogo, kuwa labda siyo kawaida kwa watu wengine.
β€’ Si unajua tena sisi Vijana tulio kulia vijijini, tunaamin kabisa katuni ni kwa ajili ya watoto tu.
 
Mwanamke ni kama mtoto na wakati mwingine ni zaidi ya mtoto , sasa mkuu Kama mkeo anakupa nyapu kisawasawa na nyumba anaiweka safi wakati wote mnunulie externa ya 1TB awe ana save huko cartoon zake.
 
Katuni ni nzuri sana zina mafundisho mazuri, kuna story ambazo zinakufanya kung'amua mambo kwa haraka, zinafurahisha sana. Ni bonge la kiburudisho hasa katuni za zamani. Hizi za sasa naona zinakosa ubunifu yaani katuni utadhani movies na muda mwingine zinakosa mvuto.

Mfano kama Ed, Edd and Eddie ile katuni ilikuwa hakuna kupumua muda wote ni visanga tu full burudani. Kuna kipindi nilitamani niishi ndani ya katuni maana zinakupa simulation tamu sana.
 
Duuh acha kufanya maisha kuwa magumu mkuu.


Me mwenyewe napenda cartoon. Na ni kijana mika 30+πŸ˜‚βœŒοΈ
Acha kukaza fuvu mkuu...
 
Bellerin, tom and jerry zile classic sio hizi za sasa, marsha and the bear, ziggy and sharko plus animation kibao kama pussy in the boots, rango, n.k ni poa sana
β€’ Kwa hapa kweli siwawezi, πŸ€”,
β€’ Sasa hii ya pussy in the boots??? Dah

kama pussy in the boots
 
Maelezo meeengi!! Kitu Cha kuelezea mistari miwili.

Anyway, aliluka stage,
NB: CHAI
 
β€’ Ivi huwa mnapenda yale maumbo yao yalivyo tengenezwa au story iliyopo ndani yake,
β€’ Kwa mfano zile cartoon za kunyurumbuka(pseudo movements) zile, aise anafurahia balaa.
Binafsi nafatilia story
 
Subiri akianza kuchepuka hatapata muda wa kuangalia watoto, catoon hata kuimba na watoto ataacha.
Pia unasema ni kaajiriwa na anafanya majukumu yote vizuri sasa unaposema muda wote anaangalia catoon ni muda gani tena?
Wanaume wengine hovyo kabisa.
Wanaume wengine hovyo kabisa
Asante sana mkuu' kwa mchango wako πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…