Mke wangu anategemea house girl afanye majukumu yote kisa tu tunamlipa ki 50,000

Mke wangu anategemea house girl afanye majukumu yote kisa tu tunamlipa ki 50,000

Samahani lakini, wife wako anakuona boya na kukuchukulia poa sana.

Umeshindwaje kuwajibika? unakuja kulalamika na kuomba ushauri kwa mambo madogo madogo kama hayo?? ni aibu kwa mwanaume' kulialia jukwaani Usipojipanga na kuendelea kuwa dhaifu utateseka sana.
 
Unafeli wapi mkuu. Mbona hilo ni swala la kumuambia wife wako directly. Aisee mi huwaga silali na kitu. Ninakuambia na tunafunga mjadala siku hiyo hiyo. Ukirudia sotakukumbusha tena ila nitafanya mwenyewe
 
Kwanin usizungumze nae na kumfungua mtazamo
Huku jf ndo tukufundishe namna ya kuongea na mkeo?
Ukimsoma vizuri utagundua jamaa ana upumbavu mwingi. Kwanza ameajiri mtoto wa miaka 16 kama house girl kitu ambacho si sawa.
Pili anashindwa kuwajibika na mambo ya familia yake anakuja kukimbilia kuomba ushauri kwa petty issue kama hiyo.
Asije akamtamani binti wa watu tu akamuaharibia maisha.
 
Samahani lakini, wife wako anakuona boya na kukuchukulia poa sana.

Umeshindwaje kuwajibika? unakuja kulalamika na kuomba ushauri kwa mambo madogo madogo kama hayo?? ni aibu kwa mwanaume' kulialia jukwaani Usipojipanga na kuendelea kuwa dhaifu utateseka sana.
Nilitaka nimwambie hivo, mke anakuona wew hadhi yako ni kuandaliwa na dada wa kazi.

Ila kama mkeo kaokoka, siku akina mchungaji wake kumtembelea utaona vile ananguvu na adabu akimuandalia chakula na vyote kwa nidham bora kabisa.
 
Binti ana miaka 16 huyo ni under age,na hiyo ni Child labour,ni kinyume cha sheria,

Huu uzi wako unathibitisha kua wewe ni dhaifu,umeshindwa kuisimamia familia yako na kua kiongozi wa Nyumba yako,kitendo cha kuleta haya malalamiko yako in public kinathibitisha hilo,

Mrudishe huyo Binti kwao kabla sheria haijachukua mkondo wake dhidi yako.

Dkt. Gwajima D
 
Back
Top Bottom